hahahaPiga kikulacho wa Mr. Nice maana humo ukumbini kuna ambao tayari washamgegeda
Hehehe wimbo wenyewe ule una mdundo wa singeli, sasa wewe mtoto wa kilokole utauweza..?!!Nyooo
Huu wimbo wa taratibu hvyo watu wanaingiaje nao ukumbin unaaibisha heheMalaika by nyashinski
Hehe hivi ulishaona ma-harusi wanatoka jasho..?Huu wimbo wa taratibu hvyo watu wanaingiaje nao ukumbin unaaibisha hehe
huku kumewaka si kitoto ahaaaa naupenda sana ule wimbo.dogo alijitahidi sema bongo wapo busy na diamond na alikibaWimbo wa ambalulu watakoma
Muda huo diamond na alikiba wamebakiza bifu tu hata hawaimbi cha maanahuku kumewaka si kitoto ahaaaa naupenda sana ule wimbo.dogo alijitahidi sema bongo wapo busy na diamond na alikiba
ndo hapo sasaMuda huo diamond na alikiba wamebakiza bifu tu hata hawaimbi cha maana
Nafikiri unaitwa "Na wewe tu " wa 2Berry's ft Shirko"Mi nataka kuwa na weee, kuwa na wee tuu.
Mi nataka kuwa nawee, kuwa na wee tu."
Huu wimbo unaitwaje na ni wa msanii gani?
Berry black"Mi nataka kuwa na weee, kuwa na wee tuu.
Mi nataka kuwa nawee, kuwa na wee tu."
Huu wimbo unaitwaje na ni wa msanii gani?
Huyo ni chaguo lakooo...chaguo lako ♩
Nakumbuka hilo jina. Asante sana.Nafikiri unaitwa "Na wewe tu " wa 2Berry's ft Shirko
Nakumbuka hilo jina. Asante sana.
Wimbo naukubali sana katika nyimbo za sasa za mahaba za kucheza.
Kuna mdogo wangu mmoja anajifanya Mkatoliki sana mkuda mkuda hivi kwenye mambo ya kukubali kwamba kashikwa mpaka kakubali kuoa.
Basi Papa alivyokuja Marekani 2015 naye akawa anataka kuja kwenye ule mkutano.
Nikamwambia, ukifika usipange hoteli kwa sababu wewe mdogo wangu halafu hatujaonana miaka mingi, fikia kwangu ukiweza, tupate wasaa wa kukaa pamoja na kuongea vizuri.
Ombi zuri la kaka mkubwa kwetu kukataliwa ni nadra, akakubali.
Basi baada ya ziara ya Papa kuisha tukawa tupo nyumbani, vyakula kidogo, wine kidogo, nikasema niko na wabongo ngoja niwakumbushe nyumbani. Nikawapigia huo wimbo.
Jamaa ni zile aina za "siwezi kucheza muziki", lakini nilipompigia wimbo huo, mwenyewe alimuita mke wake wacheze.
Wote wakasema wanauzimia sana huu wimbo.
Nikajua si peke yangu.
Asante sana kwa kunikumbusha jina la msanii nitautafuta niusikilize tena.
Huu wimbo unahusika sana kwa maharusi kwa sababu ni mtu anajieleza mapenzi yasiyoisha yake kwa mpenzi wake. Pia, anaelezea anavyotaka kuwa na mpenzi wake huyo mmoja tu. Perfect for harusi.
Youtube link hii hapa
Yani mtu ukimfanyia au akikufanyia dedication ya wimbo huu lazima u melt tu.Ooh ahsante pia kwa link. Haha naona dogo uzalendo ukamshinda; enzi zetu huo wimbo ulitufaa sana kwa dedication kwa le mbabes mweeh
Shirko uzalendo haujamshinda toka kitambo alikuwa anaimba tu ila ni producer mmoja mzuri saana na mwenye kipaji...huyu black ndiye anajikongoja.Ooh ahsante pia kwa link. Haha naona dogo uzalendo ukamshinda; enzi zetu huo wimbo ulitufaa sana kwa dedication kwa le mbabes mweeh