Nyimbo kali za kuingilia ukumbuni kwa maharusi

Nyimbo kali za kuingilia ukumbuni kwa maharusi

tafuta ngoma moja inaitwa mkono wa Bwana alafu iweke deck 1 alafu tafuta ngoma ya 20 mama Roda Au ya kamilion iweke deck 2 kwenye virtualdj alafu hio ya Deck 2 I lop kwenye bet alafu mkono wa bwana acha itembee
Huo ndo utundu wangu wangu WA kufanya wainguao ukumbini waniheshimu
 
Ndoa ni lie ileeee michepuko mnasemajeeee....tumejipangaaaa mwaka huuu tumejipangaaaaa....tumejipangaaaa acha waisome nambaaaa...Hiyo ni remix ya ToT ukiuweka itapendeza sasa!
 
Wimbo wowote wa amba lulu, giggy money, shilole au mwanamuziki yoyote wa aina hiyo!
Au ule wa piga makofi mtunzi nimemsahau.
 
Wimbo ambao niliingilia ukumbini ni "ule wa Diamond na Mpoto waliimba juu ya mabomu ya Mbagala".

Sababu ya kufanya hivyo: Mke wangu alikuwa anazingua sana kuolewa baada ya yale mabomu nyumba yao ikabomoka akakosa pa kuishi nikavuta jiko kwa msaada wa Mabomu.

Asante sana Mabomu.
 
[emoji444] [emoji445]ccm ni ile ilee oooh ni ile ileee[emoji447] [emoji449]
Simfahamu muimbaji so niwie radhi mkuu.
 
Back
Top Bottom