Acha kutumia VPN, zina changamoto zake lukuki.Ni VPN gani naweza tumia kwenye desktop computer?
Asante sama. Nimejaribu inakuwa supported na wimdows 10Acha kutumia VPN, zina changamoto zake lukuki.
Njia salama ni hii:
1. Fungua: 1.1.1.1 — The free app that makes your Internet faster.
2. Download kwenye vifaa vyako vyote: Simu, PC etl
Claudflare ni kampuni kubwa huduma ni bure na hakika; Tofauti na VPN ambapo speed inaminywa hadi ulipie.
---
Nipo jf kwa msaada wa 1.1.1.1
View attachment 3485961
View attachment 3485960
Yaani umetuita sisi wakorofi tena manyambisi halafu unategemea msaada kweli!, nenda katubu kwanza hiyo dhambi yako kanisani halafu uludi hapa tukupe muongozo.
- Mimi binafi natumia Win 11.Mimi nina windows 7 ultimate??
Shida ya Watz wengi ni ujuaji mwingi, kijana chukua madini usitake kujua mengi utakata moto masikini.Mkuu ni urudi sio uludi
As ante Sana MwalimuAcha kutumia VPN, zina changamoto zake lukuki.
Njia salama ni hii:
1. Fungua: 1.1.1.1 — The free app that makes your Internet faster.
2. Download kwenye vifaa vyako vyote: Simu, PC etl
Claudflare ni kampuni kubwa huduma ni bure na hakika; Tofauti na VPN ambapo speed inaminywa hadi ulipie.
---
Nipo jf kwa msaada wa 1.1.1.1
View attachment 3485961
View attachment 3485960
Hii nzuri mkuu,nlikuwa siijui..naona iko speed mnooAcha kutumia VPN, zina changamoto zake lukuki.
Njia salama ni hii:
1. Fungua: 1.1.1.1 — The free app that makes your Internet faster.
2. Download kwenye vifaa vyako vyote: Simu, PC etl
Claudflare ni kampuni kubwa huduma ni bure na hakika; Tofauti na VPN ambapo speed inaminywa hadi ulipie.
---
Nipo jf kwa msaada wa 1.1.1.1
View attachment 3485961
View attachment 3485960
Speed sanaHii nzuri mkuu,nlikuwa siijui..naona iko speed mnoo
- Fikisha elimu kwa kila mwana JF ambaye hayopo online kwa changamoto za kimtandao.Hii nzuri mkuu,nlikuwa siijui..naona iko speed mnoo
Shukrani sana mkuu ntafanya hivyo,nmelazimika ku un install ka vpn ambako nlikuwa natumia.- Fikisha elimu kwa kila mwana JF ambaye hayopo online kwa changamoto za kimtandao.
Kama hivi
Hatari mkuu,mlikuwa hamjatujuza mapema aiseeSpeed sana
overAcha kutumia VPN, zina changamoto zake lukuki.
Njia salama ni hii:
1. Fungua: 1.1.1.1 — The free app that makes your Internet faster.
2. Download kwenye vifaa vyako vyote: Simu, PC etl
Claudflare ni kampuni kubwa huduma ni bure na hakika; Tofauti na VPN ambapo speed inaminywa hadi ulipie.
---
Nipo jf kwa msaada wa 1.1.1.1
View attachment 3485961
View attachment 3485960
Shida ya Watz wengi ni ujuaji mwingi, kijana chukua madini usitake kujua mengi utakata moto masikini.
Sawaa, usiongee kwa sauti kubwa basi, unanivua nguo mchana kweupe!...Mkuu,ukiandika uLudi huoni ajabu?
Halafu kujifunza hakuna mwisho ukikosolewa kubali
Hii inachagua baadhi ya vifaaAcha kutumia VPN, zina changamoto zake lukuki.
Njia salama ni hii:
1. Fungua: 1.1.1.1 — The free app that makes your Internet faster.
2. Download kwenye vifaa vyako vyote: Simu, PC etl
Claudflare ni kampuni kubwa huduma ni bure na hakika; Tofauti na VPN ambapo speed inaminywa hadi ulipie.
---
Nipo jf kwa msaada wa 1.1.1.1
View attachment 3485961
View attachment 3485960
We huogopi 😂Mkuu,ukiandika uLudi huoni ajabu?
Halafu kujifunza hakuna mwisho ukikosolewa kubali