Nyie wanaume mna maneno mazuri kweli

Nyie wanaume mna maneno mazuri kweli

Nimemuona mwambie aendelee nimpe Busha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila una roho ngumu unakufa na tai shingoni kila kinachoendelea unakiona
 
That's too much.. yn me mwanamme akiniletea izo story nyng ndo mwanzo wa kumkataa, napendaga wanaoenda straight forward and also money talks...[emoji6]
Hayo maneno yoooote hutoambiwa siku moja au wakat mmoja na si lazima yawe hayo,yanaweZa yakafanana na hayo ila matam.
Ujue wanawake mnapenda kusifiwa,na mnahtaj attention sana so ni rahis kuingia kingi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila una roho ngumu unakufa na tai shingoni kila kinachoendelea unakiona
Tatizo shuni tunajulikana humu. Sasa mimi nikutwe kule natamka vile vitu daah...hailipi labda kuvitamkia pm kwako.
 
Tena cha hali ya juu,unakuta wanaume wengine domo zege wanaamua tumia pesa na bado unakuta hawapati kitu ,Ila kuna waliobobea asee hata bila muamala wa tigo au halotel au voda,yaani akianza panga maneno hapo mdada\mwanamke kachanganyikiwa kwa maneno, kikubwa kwanz mwanaume inatakiwa ajue kupanga maneno mambo ya pesa badae
Sure bro,
Wewe upo sahihi kabisa,na huo ndo uanaume
 
mh wana maneno matamu sana wakiwa wanataka utam, tena ukute man ana ham na papuch, atabembeleza huyooo, ukimpa tu anaanza tena mambo yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtuvumilie
 
Huyu ni ex wako anataka mzigo tena na inaonekana we mwenyewe una hamu ya kukumbushia ndio maana haujamtolea nje moja kwa moja.

Na jamaa ashakujulia kuwa we ni mdhaifu kwenye mashairi, ukishatumiwa tu unalegeza msimamo fasta.

Mpe tu atakuwa amebadilika, na pia bado unampenda.
 
Huo muda wa kupanga maneno mengi namna hii naupata wapi na kwakuomba nini kikubwa hivyo? Pesa ndio maneno yangu, asienapesa akariri maneno hayo.
Unadhan ataambiwa maneno yooote kwa wakat mmoja?
Hapo kuna maneno mpaka ya kusuluhisha ugomvi.
Hizp hela kwani anapewa at once???
Ulimi ni silaha kuliko pesa
Watch Out[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom