Nyie wanaume mna maneno mazuri kweli

Nyie wanaume mna maneno mazuri kweli

Haha sijashtuka japo hii imenibamba nimeirudia kusoma more than 10mn.

"Njoo basi hata unidandanye kuwa bado nathamani kwako ili tu unisogezee siku za kuitazama hii dunia inukayo jasho la dhambi.
Teh teh...
Yaani watu wengine ushawishi waliobarikiwa kwenye mapenzi wangeuelekeza kwenye siasa. Daah JAKAYA CHA MTOTO.
 
Huo muda wa kupanga maneno mengi namna hii naupata wapi na kwakuomba nini kikubwa hivyo? Pesa ndio maneno yangu, asienapesa akariri maneno hayo.
 
Hiki ni kipaji
Tena cha hali ya juu,unakuta wanaume wengine domo zege wanaamua tumia pesa na bado unakuta hawapati kitu ,Ila kuna waliobobea asee hata bila muamala wa tigo au halotel au voda,yaani akianza panga maneno hapo mdada\mwanamke kachanganyikiwa kwa maneno, kikubwa kwanz mwanaume inatakiwa ajue kupanga maneno mambo ya pesa badae
 
Hapo wanawake hunifurahisha sana yani hata uwe unamtonngoza anakuwa hoi ,uwanjani napo hoi ,eeeeh eeeeh zinakuwa kibao ,Mara kung'ata kucha ,daa madada wanashida asee
Na hapo ndipo huwa tunapochukulia point.

Zamani nilikuwa naangalia porn unashangaa midada inaongea hovyo kwenye tendo kuja kupata experience kumbe zile fiction bhn mwendo ni eeeh yes mmmh oooh [emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom