Nyie wanaume mna maneno mazuri kweli

Nyie wanaume mna maneno mazuri kweli

hahaa sasa hapo utakuta demu alikuwa ngumu mwisho siku wayaaa
 
86d97d626f5453cbb78f9c6f20e93a95.jpg
Hawa wanapatikana nchi gani mkuu
 
Haha sijashtuka japo hii imenibamba nimeirudia kusoma more than 10mn.

"Njoo basi hata unidandanye kuwa bado nathamani kwako ili tu unisogezee siku za kuitazama hii dunia inukayo jasho la dhambi.
Maneno haya yamenikumbusha ule msemo wa "you fake it you make it" unajisemeae ngoja nimjaribu kuwa narudi kakini sirudi kamwe unajifanya kuwa unamsuza roho yake kumbe ndio moja kwa moja unanasa
 
Wavulana bhana...!! Kwasisi wanaume tunacheza na muamala tu...!!
 
Lazima kubembeleza kwanza asee,papuch kuipata kazi siyo kama nguo kariakoo,suala la papuch inabidi uwe mpole kabisaa ,sasa hapo akisha onja kama chumvi imekolea au bado ndo ataanza mizengwe au atatulia muendeleze penze

Raha ya papuchi pia ukiitolea jasho kama hiyo... sio maharage ya Mbeya...
 
Khaaa!!
Hivi mpaka ukamalize maneno yote hayo papuchi yake si unakuwa umeshaichoka??
Maana sipatii picha namna nnavyopanga kuchepuka na mtu ndio nianze kuongea yote hayo.!!

Mimi nakupa ukweli na pete yangu ya ndoa unaiona.
Hutaki unaenda, umependa tunaendelea.
Mambo ya kuumizana vichwa yaishie huko vyuoni
 
Maneno mazuri yameumbwa kusikilizwa na wanawake maana mioyo yao inahitaji kusikia maneno mazuri hata kama ni ya uongo
 
Kuna baadhi ya wanaume wamebarikiwa sana,,ukikosea tu ukajirudisha ndo Kwisha

"Usiniache kwenye dunia ya maumivu, Usiniache kwenye mvua ya sononeko,.. Njoo unirudishie tabasamu kwenye maisha yangu.. Njoo unibusu nabusu lako litokomeze maumivu haya ..Bado nahitaji joto tamu la huba toka kwako .. Njoo basi unifute machozi.. Nirudishie zile siku tamu ambazo baridi iliponisurubu usiku.. kimbilio langu lilikuwa kumbatio kwenye mwili wako .. Bila uwepo wako kwangu, tafsiri ya neno maisha ni ukatili.. Njoo basi uniambie unanipenda tena..

Kila ufikapo usiku nimekuwa kiumbe nayezama kwenye bahari ya machozi. Sababu moyo wangu umepondeka sana..
Nirudishie furaha ktk maisha yangu.. Njoo nakoleo ya upendo ili niitumie kulizika neno huzuni.. Tabasamu lako ni wakili pekee awezaye kunitoa ndani ya hili gereza la mateso ya upweke..

Njoo ufungue kinywa chako chenye meno meupe yaliyo ktk mpangiko sanifu.. kisha utoe kibali ili ulimi wako unitamkie kuwa bado unanipenda ...Njoo basi hata unidandanye kuwa bado nathamani kwako ili tu unisogezee siku za kuitazama hii dunia inukayo jasho la dhambi.

Yanini nikudanganye kuwa ntakuhonga dunia?! ..Bila ulazima nijiongezee kifurushi cha dhambi ya kujitakia?!!.. Ilikhali najua dunia njia?!!.. Neno nakupenda sitoacha kukwambia.. Sababu neno nakupenda licha ya uchache wa herufi zake.. lina thamani zaidi chochote chini yahizi mbingu. Hasa linaposimama kama kamusi kwenye swala la kuzitafsiri hisia za moyo uliobeba shehena nzito ya upendo wa kweli.. Kama huu upendo nilionao mimi kwako.''

Huyu mtu utamjibu nini
XQOS549M.imethibitiswa umepokea......

Tuma txt inayoanza hivyo tu huo ushairi utahangaika tu
 
Ukimuona mwanaume ana maneno mengi kwenye kutongoza ujue hana hela
 
Khaaa!!
Hivi mpaka ukamalize maneno yote hayo papuchi yake si unakuwa umeshaichoka??
Maana sipatii picha namna nnavyopanga kuchepuka na mtu ndio nianze kuongea yote hayo.!!

Mimi nakupa ukweli na pete yangu ya ndoa unaiona.
Hutaki unaenda, umependa tunaendelea.
Mambo ya kuumizana vichwa yaishie huko vyuoni
Utam wa hiyo kitu uitolee jasho kidogo ili hata siku umepewa unajiliza ooh beb huu utam kwa nini hukunipa siku zote..siyo maharage ya mbeya
 
Vile anamwambia gal wake "ntakupa dunia na vilivyomo" nawe mwanamke vile point hiyo ndo unakubali , then siye tutakaa wapi??
 
Utam wa hiyo kitu uitolee jasho kidogo ili hata siku umepewa unajiliza ooh beb huu utam kwa nini hukunipa siku zote..siyo maharage ya mbeya
[emoji23][emoji23][emoji23] pesa tu itakuongelesha bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom