Nyie nyumba ndogo muache waume za watu wakae na familia zao kesho

kumbe hufai kuambiwa siri! usimshtue ataacha kukasirika banaa

wengine wanasema muondoke ili na wao wapate chance ya kuvinjari na small houses zao, kwa hiyo si ajabu mkatibuliwa makusudically.....lol!

hehehe,mbona ww unagawa pipi mie sisemi? afu wifi yangu akijua,itakua sooo! sasa makobe ttutawajuaje? manake inabidi usiwake kwa kweli!

Iyo ni kama sadaka pia ni zawadi kwa walofunga, so haigombi!! Alafu nishakustukia wewe unataka kuja kudoea eee?

Nanyi nyumba kubwa jitahidini kutupatia kile ambacho huwa tunakipata kwa nyumba ndogo na tunakikosa hapa nyumbani. Vinginevyo hata bila vi-sms tutaongoza kwenda nyumba ndogo wenyewe.

hehehe, hako ka-small hause nako kanakua na big house yake. naye akitoka tu huko home nae anatoka. hii ni ilani ya chama lol
aiseee! Hivi kumbe nimeropoka ee?? Dah! Ila ndo vizuri wote mtulizane nyumbani, hako ka small house nako kana wake pembeni jamani!! Mweeh!

mara hii umeshaanza kunitenga? siku ile ilikua besdei bana,ntalipa baada ya idd! usinihujumu banaa!
Iyo ni kama sadaka pia ni zawadi kwa walofunga, so haigombi!! Alafu nishakustukia wewe unataka kuja kudoea eee?

mara hii umeshaanza kunitenga? siku ile ilikua besdei bana,ntalipa baada ya idd! usinihujumu banaa!

sasa we meno menyewe ndo kwanza umeota juzi tu alafu unataka kuyaharibu kwa kula pipi, why?? Ungekuwa bado haujaota meno kabisa, ningekupa! Lol!

hahahhaha si wenyewe kuna ambavyo tunavikosa kwenu ndio tunapata kwa vidumu lo!jishike mkaka mbona kesho balaa mnajiona mko pafect eehe mtajibeba mwaka huu!
Nanyi nyumba kubwa jitahidini kutupatia kile ambacho huwa tunakipata kwa nyumba ndogo na tunakikosa hapa nyumbani. Vinginevyo hata bila vi-sms tutaongoza kwenda nyumba ndogo wenyewe.

Nashangaa; yani wanaume wanaongea kusema wamewawekea wake zao kufuli
hahahhaha si wenyewe kuna ambavyo tunavikosa kwenu ndio tunapata kwa vidumu lo!jishike mkaka mbona kesho balaa mnajiona mko pafect eehe mtajibeba mwaka huu!

acha watoke na nyumba ndogo ili na sie tupate nafasi ya kuwa na small house zetu pia. siku hizi kutoka ni kuliana timing,tena anajidai hata simu hapigi kumbe ndo na mie staki mawasiliano. werrraaa werraa! eid njema jamani,lol

Eh Kingásti wee umenichekesha kweli kweli maana nimekumbuka tit for tat.

Back
Top Bottom