Nyie nyumba ndogo muache waume za watu wakae na familia zao kesho

Nyie wadada mnaonyemelea waume za watu tunaomba kesho siku kuu muwaache wanaume wakae na familia zao na kusheherekea. Kesho muwe wavumilivu mtafute shughuli yoyoye tu ya kufanya. Acheni ku beep na vi message visivyo na maana.

Angalizo

Yaani we umeamsha hata nawaliokuwa wamelala, ndo watawakamatilia kisawa sawaa!! Hapo mke sasa akili kumkichwa, ukitaka wa kwako ashikwe na atashikwa kweli! Ohooo........shauri zenu!

acha watoke na nyumba ndogo ili na sie tupate nafasi ya kuwa na small house zetu pia. siku hizi kutoka ni kuliana timing,tena anajidai hata simu hapigi kumbe ndo na mie staki mawasiliano. werrraaa werraa! eid njema jamani,lol

haaa! Ma mkwe wa kambo!!

nampa 10 mins, tusije tukajipanga pamoja kwenye foleni,lol! aliye juu mfuatioe hukohuko. afu pipi za eid itakuaje sasa?
hahahahahaaaa......hakyanani King'asti unanifurahisha kweli! So baba anatoka, mama nae anatoka, na watoto je?

sema mwali wangu wa kambo! tena ww nnavyokupenda, huyu mwanangu wa kambo akikusumbua tu uniambie nikutaftie na ww small house. ni vicious cycle hii,hata baba mkwe wako anajua!

haaa! Ma mkwe wa kambo!!

Na wake zetu watulize mizuka ili tutulie home maana mkitibua tu, ndio tunacheki line ya pili.
Nyumba ndogo zinajua kesho ni family day na kesho kutwa ni ya kwao.
Hiyo mbona huwa inaeleweka tu!?

hehehe,mbona ww unagawa pipi mie sisemi? afu wifi yangu akijua,itakua sooo! sasa makobe ttutawajuaje? manake inabidi usiwake kwa kweli!
Kumbe ndo zako ee? Haya bana! Pipi nitagawa kesho msikitini ila kwa wale makobe tafadhali msije kuchukua!!

Na wake zetu watulize mizuka ili tutulie home maana mkitibua tu, ndio tunacheki line ya pili.
Nyumba ndogo zinajua kesho ni family day na kesho kutwa ni ya kwao.
Hiyo mbona huwa inaeleweka tu!?

wengine wanasema muondoke ili na wao wapate chance ya kuvinjari na small houses zao, kwa hiyo si ajabu mkatibuliwa makusudically.....lol!

Back
Top Bottom