Amanikwanzaa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2023
- 252
- 462
Watu wamesubiri mpaka Jana saa 5 usiku horaa, dah kuishi kwa kutegemea kila mwisho wa mwezi ni kama indirect depression š
Waajiliwa wengi wa Tanzania akili zao zimedumaa.Kwani mnapataga trh ngapi huo mshahara?maana trh 30bado
Basi nyie mnawahi sana. Kama mnapokea Tarehe 8 huku Serikalini ni Tarehe 23.Mkuu unafanya kazi wapi huko na sisi tuje? Tarehe hizi unaulizia mshahara, huku sekta binafsi mpaka tarehe nane. Kama boss hayupo mtaambiwa msubiri mpaka harudi ili asaini cheki.