Nyie mmemuelewa mama ?

Nyie mmemuelewa mama ?

Mbona M7 na Ruto wana uthubutu wa kusema wazi kuwa hawataki ushoga kwenye nchi zao?
Sisi kama nchi tunaweza kusema tu kuwa haki za binadamu tunakubali, lakini kipengela cha ushoga ni HAPANA!
Kusema haki za binadamu unakubali, lakini haki za mashoga hutaki ni contradiction.

Ni sawa na kusema haki za binadamu unakubali, lakini hutaki haki za wahindi kuwa na dini yao.

Eti kwa sababu kwenu wengi ni Waislamu na Wakristo.

Mashoga nao ni binadamu. Hata kama ni minorities, wana minority rights.
 
Watumiaji wa madawa ya kulevya na Ma Dada poa nao ni Binaadamu,Kama tumeamua kuachaa mashoga wale starehe yao bila bughuzaa,na hao nao waachwe wale vyao bila bughuzaa! Kila Mtu atapambana na Madhara yake mwenyewe huko mbeleni!!
 
Hii ni "whataboutism". Hapa tunaongelea mashoga, ambao kuna mikataba ya kimataifa tumesaini inayolinda haki zao.

Hao madada poa na watumiajiwa madawa ya kuleya hakuna mkataba wa kimataifa tuliosaini wa kulinda haki zao za kujidunga na kujiuza.

Soma

Freedom from discrimination on the grounds of sexual orientation is found in the Universal Declaration of Human Rights (UDHR) and the International Covenant on Civil and Political Rights (ICCPR).

Na nukuu maneno haya amesema hivi “Msiwalegeze watoto wetu fanyaneni wakubwa kwa wakubwa watoto waache”

Chawa nawasubiri muandamane kuunga mkono au kumpongeza mama yenu karuhusu fanyaneni wakubwa lazima tutaelewana tu dhambi tulioifanya itaturudiaView attachment 2581271
Hapo tulipigwa na kitu kitu usoni
 
Kwani huyu nani, chunga kizazi chako serikali haitoi malezi bora kwa mtoto wako hakuna mtu analazimishwa kuwa shoga. Kuwa shoga au msagaji ni matakwa ya huyo anayetaka kuwa. Kwahiyo me sioni kosa la Mkuu wa nchi.

Chakwanza ni Mwanamke kwahiyo amethibitisha kauli yangu kuwa Wanawake asilimia 90 wanasapoti ushoga kwakuwa Mshoga nao ni wanawake wa pili. Nadhani naeleweka kwahiyo cha kufanya mkanye mwanao hakuna wakukulelea mtoto wako .. endelea kuwa bize uache familia matokeo ni kama
 
😁 Mkuu wa nchi anajua uchafu huu kitambo.... kumbe tiyari wako huru.
Taifa ili tutachomwa moto walahi.
 
Mimi nadhani Rais ajiepushe kujadili mada hizi. This is too low kwa hadhi ya cheo chake.

Yeye mwenyewe inaonyesha hayaelewi haya mambo, anayatolea maelezo kwa hisia tu. Anatoa misimamo kulingana na upepo unapoelekea jambo ambalo ni hatari.
 
Naunga mkono hoja..wakubwa watajijua na mik#ndu yao.. lakini kuwaharibu watoto Ni ukatili
Ndio maana Uganda wakubwa wakichenjuana adhabu Ni miaka 20.. lakini mkubwa akimfanya mtoto adhabu Ni kifo..shubamiti !
 
Sasa wakubwa wakiwa mabwabwa, kizazi kipya kitatoka wapi?
 
Nadhani mleta mada Una uelewa duni Sana wa kupambanua mambo.
Rais anaposema fanyianeni wakubwa hapo anatumia fasihi kufikisha ujumbe Kwa mataifa makubwa kwamba hayo mambo ya upinde wafanyiane wao Kwa wao na sio kuyaleta Kwa watoto(watanzania).
Acha uongo mzee, hata Samia akiona hii comment yako anaona kabisa unamsingizia
 
Ex-LGBTs

Nimemuelewa sana huyu mbabu wa 11:34

Comments nazo si haba

Screenshot_20230409-153919.jpg

Screenshot_20230409-153720.jpg

Screenshot_20230409-154338.jpg

Nasikia ukitaka kutoka huko wanakuwa wakali kwerikweri

Screenshot_20230409-153944.jpg

screenshot_20230409-154204-jpg.2582320
 
.

Hapo ndipo watu wengi wanapofeli, wana judge mambo bila kuyajua, yani mtu akisikia ushoga anajua ni kufirana tu, wakati kuna mashoga wako celibate!
Kama wako celibate wanatutangazia ushoga wa nini?

Just to inform us that they fantasize about men?

To give a heads up to someone who would like to play with shit?
 
Kama wako celibate wanatutangazia ushoga wa nini?

Just to inform us that they fantasize about men?

To give a heads up to someone who would like to play with shit?
Kwanza ushoga ni nini? Nimegundua Wwatanzania wengi hawajui hata ushoga ni nini, na hapo ndipo tatizo linapoanzia.

Yanikama wewe unavyoweza kuwa mtu straight (unavutiwa na opposite sex) lakiniukaamuakuwa celibate, na mashoga nao wanawezakuwa hivyo hivyo,wanavutiwa na same sex halafu wako celibate.

Ushoga ni kuvutiwa na same sex, ushoga si kufanya sex na samesex tu.
 
Back
Top Bottom