Nyie mmemuelewa mama ?

Nyie mmemuelewa mama ?

Wamarekani bwana wamechezea mavi hukooo wameona sio wanaacha,
Huku sasa ndo tunaanza.

Vijana wa watu waharibike weee waje watoe ushuhuda 50yrs later!

Third world indeed!
 
Kwanza ushoga ni nini? Nimegundua Wwatanzania wengi hawajui hata ushoga ni nini, na hapo ndipo tatizo linapoanzia.
Hilo somo baki nalo ufundishe wanao na wajukuu zako!

Mtu yeye yuko msafi celibate hachezei mavi, halafu atoke atangazie watoto wa watu wanaojitafuta wachezee mavi!
 
Hilo somo baki nalo ufundishe wanao na wajukuu zako!

Mtu yeye yuko msafi celibate hachezei mavi, halafu atoke atangazie watoto wa watu wanaojitafuta wachezee mavi!
Kwani nani katetea kutangazia watoto?

Kutangazia watoto habari za sex yoyote,gay or straight,hakujatetewa hapa.

Na hihondiyo kasema Samia. Usihoelewa nini?
 
Niliwahi kusema hapa kwamba hakuna juhudi za makusudi za kukomesha huu ujinga. Simuoni Rais wala kiongozi yoyote mwenye nia ya dhati ya kukomesha ufuska huu. Wanajali matumbo yao tu hawaangalii vizazi vyetu
Unamsubiri raisi aje akulinde usibanduliwe? Anza kwenye familia yako kulea watoto wako katika makuzi yenye maadili.
 
Jana aliteleza........ kusema watu wazima inaleta maswali mengi sana
 
Kwani nani katetea kutangazia watoto?

Kutangazia watoto habari za sex yoyote,gay or straight,hakujatetewa hapa.

Na hihondiyo kasema Samia. Usihoelewa nini?
Sijui hujui au unajitoa ufahamu Watoto as early as grade 6 wanapewa sex education, na lazima tuwape elimu ya ngono na mahusiano as soon as they hit puberty
 
Kwanza ushoga ni nini? Nimegundua Wwatanzania wengi hawajui hata ushoga ni nini, na hapo ndipo tatizo linapoanzia.

Yanikama wewe unavyoweza kuwa mtu straight (unavutiwa na opposite sex) lakiniukaamuakuwa celibate, na mashoga nao wanawezakuwa hivyo hivyo,wanavutiwa na same sex halafu wako celibate.

Ushoga ni kuvutiwa na same sex, ushoga si kufanya sex na samesex tu.
Ndo hivyo kama mtu yuko celibate (msafi) atuambie mambo ya anayovutiwa ya nini?

"Hey I don't fπck but damn sex with dogs is just 👌🏾"
 
Sijui hujui au unajitoa ufahamu Watoto as early as grade 6 wanapewa sex education, na lazima tuwape elimu ya ngono na mahusiano as soon as they hit puberty
Wewe vigumu hata kukuelewa, kwa sababu una changamoto ya kujieleza.

Sasa hapa unatetea hii sex education au unaipinga?
 
Hii ndio kauli ya mwisho! Kauli ya Taifa....Sasa iko wazi hata mikataba waliyosainishana juzi hapa na Camara harris....hili la ushoga lilikuwa ajenda kuu iliyomleta VP Camara....

Aibu Sana hii....Raisi Kuunga Mkono Ushoga mbele ya hadhara!...

Haya ndiyo matokeo ya kuongozwa na Mzanzibari
 
Ndo hivyo kama mtu yuko celibate (msafi) atuambie mambo ya anayovutiwa ya nini?

"Hey I don't fπck but damn sex with dogs is just 👌🏾"
Hapa umefanya logical fallacy inaitwa "strawman argument".
 
Kazi inaendelea!
 
anatuharibia kwakweli, inamaana UISLAM wake unaruhusu hiyo michezo anayoipigia debe?. Maadili yamemomonyoka kuanzia kwa viongozi kuja chini sasa
 
Hapa umefanya logical fallacy inaitwa "strawman argument".
It's a matter of time before you're back here advocating for beastiality and incest and other deviances in the name of human rights
 
Watoto hamna, halafu mnatoa sex education. Kwa watoto wa nani mnatoa hiyo education?
 
Back
Top Bottom