Nyie mmemuelewa mama ?

Nyie mmemuelewa mama ?

Na nukuu maneno haya amesema hivi “Msiwalegeze watoto wetu fanyaneni wakubwa kwa wakubwa watoto waache”

Chawa nawasubiri muandamane kuunga mkono au kumpongeza mama yenu karuhusu fanyaneni wakubwa lazima tutaelewana tu dhambi tulioifanya itaturudiaView attachment 2581271
Rais amenukuliwa vibaya
 
Nadhani mleta mada Una uelewa duni Sana wa kupambanua mambo.
Rais anaposema fanyianeni wakubwa hapo anatumia fasihi kufikisha ujumbe Kwa mataifa makubwa kwamba hayo mambo ya upinde wafanyiane wao Kwa wao na sio kuyaleta Kwa watoto(watanzania).
 
Hapo hata mie umenifumbua macho. Kama alimaanisha hivyo kweli.
 
Niliwahi kusema hapa kwamba hakuna juhudi za makusudi za kukomesha huu ujinga. Simuoni Rais wala kiongozi yoyote mwenye nia ya dhati ya kukomesha ufuska huu. Wanajali matumbo yao tu hawaangalii vizazi vyetu
Mkuu,jukumu la kunusuru TAIFA unalo wewe Kwa kulea watoto wako kwenye maadili na pia kuwalinda dhidi ya huo huaramia. Mashoga unaowaona Leo waliharibiwa wakiwa watoto na watu wanaowazunguka.

Angalia ile Crip ya shoga aliyefungwa kule Mbeya. Anasema alianza kufanyiwa akiwa darasa la nne
 
Na nukuu maneno haya amesema hivi “Msiwalegeze watoto wetu fanyaneni wakubwa kwa wakubwa watoto waache”

Chawa nawasubiri muandamane kuunga mkono au kumpongeza mama yenu karuhusu fanyaneni wakubwa lazima tutaelewana tu dhambi tulioifanya itaturudiaView attachment 2581271

Yaan mama buana kuongea apunguze sana au afanye mazoezi
 
Ivi ni kipi bora? Mtoto kuharibiwa au mtu mwenye akili na misuli.? Ninavyojua ukimkatili mtoto unajenga taifa lenye watu wasio na utu, wasioamini na kuweza kuzalisha kwa maendeleo ya Taifa lao.
 
Na nukuu maneno haya amesema hivi “Msiwalegeze watoto wetu fanyaneni wakubwa kwa wakubwa watoto waache”

Chawa nawasubiri muandamane kuunga mkono au kumpongeza mama yenu karuhusu fanyaneni wakubwa lazima tutaelewana tu dhambi tulioifanya itaturudiaView attachment 2581271
Rais huyu hana marufuku, yeye ni kama awamu ya pili! Mambo mabaya, iwe ni wizi, ushoga, ubadhirifu, daima atatoa jinsi ya kuyaendeleza na sio kupiga marufuku.
 
Na nukuu maneno haya amesema hivi “Msiwalegeze watoto wetu fanyaneni wakubwa kwa wakubwa watoto waache”

Chawa nawasubiri muandamane kuunga mkono au kumpongeza mama yenu karuhusu fanyaneni wakubwa lazima tutaelewana tu dhambi tulioifanya itaturudiaView attachment 2581271
Mambo ya Pemba Lamu Pate Mombasa yabaki huko huko asituletee huku
 
Back
Top Bottom