Nyie mmemuelewa mama ?

Nyie mmemuelewa mama ?

Na nukuu maneno haya amesema hivi “Msiwalegeze watoto wetu fanyaneni wakubwa kwa wakubwa watoto waache”

Chawa nawasubiri muandamane kuunga mkono au kumpongeza mama yenu karuhusu fanyaneni wakubwa lazima tutaelewana tu dhambi tulioifanya itaturudiaView attachment 2581271
Samia kaongea kwa kuelewa kuwa Tanzania ishasaini mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu. Labda watu ambao hamjatoka Tanzania, au hamjafuatilia hili jambo kwa karibu kimataifa, mnaweza kuwa na ugumu wa kuelewa hili jambo kutokana na muktadha wa kimataifa. Kimataifa, haki za mashoga ni sehemu ya haki za binadamu. Yani ni sawa na haki za watu weusi kutotaka kubaguliwa kwa rangi ya ngozi zao.

Ndiyo maana hata kabla Samia hajawa rais,Makonda aliwaandama mashoga, halafu ikabidi Waziri wa Mambo ya Nje Marehemu Balozi Dr. Mahiga aje kusawazisha mambo na kusema maneno yale yalikuwa ni ya Makonda binafsi. Si ya serikali. Na jibaba mwenyewe anayependa kuwasema mabeberu (Jiwe) alikaa kimya. Kwa sababu alijua mziki ule ni wa kimataifa hatauweza.

Samia hana ubavu wa kulianzisha kwenye ushoga wakati kila siku anaongea na kina Kamala Harris wanampa somo, na yeye misaada anaitaka.

Zaidi, suala la ushoga kwa watu wazima ni jambo la kulindwa ki faragha za kikatiba , nchi za kidemokrasia hazibagui watu kwa dini, rangi, kabila, umri wala sexual orientation. Mkianza kubagua watu kwa sexual orientation kwa sababu ni minorities tu, basi hakuna sababu ya kutobagua minorities wengine wowote.

Samia kasema exactly alichotakiwa kusema katika ulimwengu huu.

Watu wazima wana haki ya kufanyana wanavyotaka, si kazi ya serikali wala kazi yako kuwaingilia.

Watoto wadogo hawatakiwi kuingiliwa kivyovyote vile, bila kujali ushoga au straight.

Ila, naelewa Watanzania wengi sana bado hawaelewi suala la autonomy.

Yani ni hivi, kama wewe usivyopenda ushoga na ukaachiwa kuwa na haki zako uwe na mtu wa different sex, kuna watu hawataki kuwa na mtu wa different sex wanataka kuwa na mtu wa same sex. Kama wewe usivyitaka kulazimishwa ufanye usichotaka, na wao pia hawataki kulazimishwa wafanye wasichotaka.

As long as ni watu wazima, hawajalazimishwa, wewe kinachokuwasha ni nini?

Serikali iache kufukuzana na wezi aliowataja CAG ije kuangalia nani anamfira nani? Kwa watu wazima wenye akili zao na walioamua wenyewe kufanyana wanachotaka?

Na nyie watu wazima mnaona sawa hilo?

Mimi si mshabiki wa Samia, lakini katika hili namuunga mkono.

Zaidi ya argument za kidini, ambazo ni mufilisi katika nchi secular, hakuna argument dhidi ya ushoga kwa watu wazima waliokubaliana katika nchi inayothamini uhuru wa watu binafsi inayoweza kusimama.

Ila, Watanzania wengi hatuelewi uhuru binafsi ni nini, ndiyo maana watu wanapinga ushoga kwa mkumbo.

Wakati matatizo yao mengi makubwa ni ya kiuchumi, na wanayakubali tu bila ya kuyapinga.

Ni kama vile dini zime short circuit akili za watu wawe wana prioritize mambo yasiyo na priority, wakati mambo ya priority yanaachwa.
 
Hatari sana...
Na baadhi ya wakubwa kikatiba bado ni watoto maana wenye umri wa 18+ wanatambuliwa kama wakubwa ndo sababu huruhusiwa kuoa, kupiga Kura, nk🙄
 
Kwa mantiki hii basi hata wadada wanaojiuza wachwe na wasisumbuliwe kukamatwa maana ni watu wazima wana haki ya kuamua, Si ndio tumefika huko?

Watumiaji wa madawa ya kulevya ( bangi nk) waachwe maana wana haki ya kuamua! Hakuna sababu ya kuwa na sheria maana kila mtu ana haki ya kuamua!

I see! Njaa haijawahi kumuacha mtu salama!
 
Wanaojiuza na wanaotumia madawa ya kulevya hawana mikataba ya kimataifa inayotetea haki zao.

Unalinganisha mambo tofauti.

Kitu cha kulinganisha hapa ni hivi.

Je, wewe ambaye si shoga, ungelazimishwa kuwa shoga ungejisikiaje?

Au, leo ungekuwa katika dunia ambayo wengi ni mashoga, halafu wewe si shoga unabaguliwa, kwa sababu si shoga, watu wanakulazimisha uwe shoga, ungejisikiaje?
 
Na nukuu maneno haya amesema hivi “Msiwalegeze watoto wetu fanyaneni wakubwa kwa wakubwa watoto waache”

Chawa nawasubiri muandamane kuunga mkono au kumpongeza mama yenu karuhusu fanyaneni wakubwa lazima tutaelewana tu dhambi tulioifanya itaturudiaView attachment 2581271
Ana kitu huyu, atafika mbali 😀
 
Au, leo ungekuwa katika dunia ambayo wengi ni mashoga, halafu wewe si shoga unabaguliwa, kwa sababu si shoga, watu wanakulazimisha uwe shoga, ungejisikiaje?
Umeuliza maswali ambayo ni illogical.
Hayana mantiki kabisa. Yaani kwasababu uko tofauti ndio ushindwe kujisimamia?

Swali la msingi ni je, hao wanaofanya, wanafanya ili iweje? Nini athari za wao kutofanya?

Tujue wazi ushoga ni tendo la mwanaume kumuingizia mwanaume mwenzake uume kwenye sehemu ya haja kubwa.
Kimaumbile mifumo ya binadamu imegawanyika katika hali tofauti.

Tukizungumzia mfumo wa uzazi, ndio maana mwanamke ana uke unaouruhusu mbegu za mwanaume kwenda kurutubisha mayai.

Sasa huko kwenye sehemu ya haja kubwa unabadili matumizi na ndio maana athari ni kubwa. Watu wanaoza. Wanatokwa na kinyesi muda wote na inabidi kuvaa diapers kama watoto.. Ifike mahali tuache kutetea huu upuuzi. Hata hao wanaofanyiwa hujuta sana baadae!
 
Umeuliza maswali ambayo ni illogical.
Hayana mantiki kabisa. Yaani kwasababu uko tofauti ndio ushindwe kujisimamia?

Swali la msingi ni je, hao wanaofanya, wanafanya ili iweje? Nini athari za wao kutofanya?

Tujue wazi ushoga ni tendo la mwanaume kumuingizie mwanaume mwenzake uume kwenye sehemu ya haja kubwa.
Kimaumbile mifumo ya binadamu imegawanyika katika hali tofauti.

Tukizungumzia mfumo wa uzazi, ndio maana mwanamke ana uke unauruhusu mbegu za mwanaume kwenda kurutubusha mayai.

Sasa huko kwenye sehemu ya haja kubwa unabadili matumizi na ndio maana athari ni kubwa. Watu wanaoza. Wanatokwa na kinyesi muda wote na inabidi kuvaa diapers kama watoto.. Ifike mahali tuache kutetea huu upuuzi. Hata hao wanaofanyiwa hujuta sana baadae!
Mawali yangu si illogial, labda wewe huelewi logic ya mingi ya autonomy katika sexuality.

Kitu cha msingi katika sexuality ni haki ya mtu kujichagulia.

Pia, ukisema kwamba kuwa tofauti hakukufanyi ushindwe kujisimamia, basi unatetea haki ya mashoga kusimamia haki zao hata wakiwa tofauti.

Kwanza kabisa elewa kuwa ushoga si kuingiliana kimwili tu, tofautisha sexual orientation na sexual act.

Hapo ndipo watu wengi wanapofeli, wana judge mambo bila kuyajua, yani mtu akisikia ushoga anajua ni kufirana tu, wakati kuna mashoga wako celibate!

Lakini, hata kwenye hilo.

Mwanamme mtu mzima akiamua kumuingilia mwanamme mwenzake nyuma, wote wamekubaliana, wewe kinachokuuma ni kipi?

Inakupunguzia nini wewe mtu ambaye unahusika na mahusiano ya wanaume kwa wanawake?

Tuanze hapo kwanza.
 
Kwa mantiki hii basi hata wadada wanaojiuza wachwe na wasisumbuliwe kukamatwa maana ni watu wazima wana haki ya kuamua, Si ndio tumefika huko?

Watumiaji wa madawa ya kulevya ( bangi nk) waachwe maana wana haki ya kuamua! Hakuna sababu ya kuwa na sheria maana kila mtu ana haki ya kuamua!

I see! Njaa haijawahi kumuacha mtu salama!
Bora umemjibu! Sikuamini alichoandika
 
Kwa kauli kama hizi zinavunja moyo sana
Sana. Misaada imepewa umuhimu kuliko maadili, bora vijana waharibikiwe kuliko tukose madaraja, ma v8 na neti za mbu. Tumeshindwa kabisa kuacha kutegemea misaada pamoja na rasilimali zote hizi?
 
Mawali yangu si illogial, labda wewe huelewi logic ya mingi ya autonomy katika sexuality.

Kitu cha msingi katika sexuality ni haki ya mtu kujichagulia.

Pia, ukisema kwamba kuwa tofauti hakukufanyi ushindwe kujisimamia, basi unatetea haki ya mashoga kusimamia haki zao hata wakiwa tofauti.

Kwanza kabisa elewa kuwa ushoga si kuingiliana kimwili tu, tofautisha sexual orientation na sexual act.

Hapo ndipo watu wengi wanapofeli, wana judge mambo bila kuyajua, yani mtu akisikia ushoga anajua ni kufirana tu, wakati kuna mashoga wako celibate!

Lakini, hata kwenye hilo.

Mwanamme mtu mzima akiamua kumuingilia mwanamme mwenzake nyuma, wote wamekubaliana, wewe kinachokuuma ni kipi?

Inakupunguzia nini wewe mtu ambaye unahusika na mahusiano ya wanaume kwa wanawake?

Tuanze hapo kwanza.
Something must be wrong somewhere!

Kwakuwa tumeamua kuanzisha mjadala, acha tu tuendelee...

Unapaswa kufahamu kwamba kwenye maisha kuna masuala ya kisiasa, kidini, kiuchumi, kijamii nk.

Kwenye masuala ya kisiasa kwa mfano, unadhani kwanini taifa moja linapopigana na taifa jingine; mataifa mengine huingilia kati? Kwanini wasiachwe tu wapigane kadri watakapoishia?

Vivyo hivyo kijamii, watu tunategemeana kiutamaduni, mila na desturi. Unaporuhusu mila au desturi fulani zisizofaa kuingia katika jamii, unaathiri jamii nzima.

Huwezi kukaa kimya eti kwasababu ni maamuzi yao!
 
Umeuliza maswali ambayo ni illogical.
Hayana mantiki kabisa. Yaani kwasababu uko tofauti ndio ushindwe kujisimamia?

Swali la msingi ni je, hao wanaofanya, wanafanya ili iweje? Nini athari za wao kutofanya?

Tujue wazi ushoga ni tendo la mwanaume kumuingizia mwanaume mwenzake uume kwenye sehemu ya haja kubwa.
Kimaumbile mifumo ya binadamu imegawanyika katika hali tofauti.

Tukizungumzia mfumo wa uzazi, ndio maana mwanamke ana uke unauruhusu mbegu za mwanaume kwenda kurutubusha mayai.

Sasa huko kwenye sehemu ya haja kubwa unabadili matumizi na ndio maana athari ni kubwa. Watu wanaoza. Wanatokwa na kinyesi muda wote na inabidi kuvaa diapers kama watoto.. Ifike mahali tuache kutetea huu upuuzi. Hata hao wanaofanyiwa hujuta sana baadae!
 
Rais huyu hana marufuku, yeye ni kama awamu ya pili! Mambo mabaya, iwe ni wizi, ushoga, ubadhirifu, daima atatoa jinsi ya kuyaendeleza na sio kupiga marufuku.
Walamba asali. hivi watoto wao ni upinde au ndo kuuza Wana wa wenzao.
 
una hoja,usikilizwe...
IMG_20230407_121125.jpg
 
Ivi ni kipi bora? Mtoto kuharibiwa au mtu mwenye akili na misuli.? Ninavyojua ukimkatili mtoto unajenga taifa lenye watu wasio na utu, wasioamini na kuweza kuzalisha kwa maendeleo ya Taifa lao.
Shida hawa jamaa wenyewe walianza utotoni so sio swala la kusema tuache ni watu wazima, vijana wadogo wanaingia balehe wako hatarini kuingizwa kingi.
 
Nadhani mleta mada Una uelewa duni Sana wa kupambanua mambo.
Rais anaposema fanyianeni wakubwa hapo anatumia fasihi kufikisha ujumbe Kwa mataifa makubwa kwamba hayo mambo ya upinde wafanyiane wao Kwa wao na sio kuyaleta Kwa watoto(watanzania).

Tusitetee uongo, kauli yake sio nzuri.
 
Back
Top Bottom