Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

Aah..kula nguruwe ni matusi, ww vp? Nguruwe ni kama samaki anasaidia kuongeza uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo bila upendeleo, unafiki au chuki binafsi ambalo hilo ndo tatizo lako. Sasa ukianza kula nguruwe atakusaidia kutibu huo ugonjwa wako!

Out of topic, useless information
 
Huoni hata haya kusema sabuni zilipatikana? labda Arita. Umasikini wakati wa nyeyere inaonesha hukuuona wewe, wote makata mbuga. vijijini makaniki mtindo mmoja, mjini ma krimplini. Kula unakimbiza gari litashusha duka gani tena hujui ni nini kitashushwa. Magari mafuta foleni, jumapili hakuna ruksa magari kutembea. Dhiki mtindo mmoja, kutoa chakula mkoa mmoja kupeleka mwingine marufuku, mageti eti ya kipindupindu. Dahhh, wadanganye wasio yaona. Niliyaona.

Shida tunazo hadi sasa hivi ama huzioni?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Unatuuliza sisi tena??

Mimi sijawahi kumuita, sintamuita wala watoto hawatawezi kumuita nikiwa hai!

Kwa ufupi hawezi kuwa baba labda huko kwenu..

Ustaadh salam aleykum?

Hukulazimishwa ndugu hata Hayati Julius Nyerere yote sawa tu; vipi jibu langu la Somalia unalo?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Ustaadh salam aleykum?

Hukulazimishwa ndugu hata Hayati Julius Nyerere yote sawa tu; vipi jibu langu la Somalia unalo?

Chama
Gongo la Mboto DSM

Aleykum Salaam,

Kumbe siyo lazima sasa thread ndefu namna hii ya nini kama ni swala la choice?? si muitana huko huko kwenu mkipenda mnaweza kumuita mungu pia awaombea mfutiwe madhambi who cares..lol

Sijaona hiyo ya somalia ni issue gani??
 
Akili zenyewe ndio hizo mnakatazwa kuzaa halafu mnaitwa baba. Huko huko kanisani.

Mama Faiza Foxy hivi huna hata jirani mmoja wa kikatoliki hapo mtaani kwako? Sumu ya UDINI imekupanda lakini tahadhari Barubaru si mwenzetu likitokea anapo pa kukimbilia hata kauli zake zinajionyesha wazi mfano wakati tunapomzungumza Raisi mh. Kikwete na nchi yetu yeye hutumia kauli hizi, "Raisi wenu", "nchi yenu" huyu bwana muangalie kwa mapana na marefu. Hawa ndio kama kina Maalim Seif waliwafanya wenzao wakikimbilia Somalia ukimbizini huku wao wamekaa mezani wankula kuku kwa mrija.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Mama Faiza Foxy hivi huna hata jirani mmoja wa kikatoliki hapo mtaani kwako? Sumu ya UDINI imekupanda lakini tahadhari Barubaru si mwenzetu likitokea anapo pa kukimbilia hata kauli zake zinajionyesha wazi mfano wakati tunapomzungumza Raisi mh. Kikwete na nchi yetu yeye hutumia kauli hizi, "Raisi wenu", "nchi yenu" huyu bwana muangalie kwa mapana na marefu.

Chama
Gongo la Mboto DSM

Wewe una udini kwa faizy tu, huoni akifanya wengine siwapendi wanafiki
 
Shida ipi ulionayo? Tukusaidie japo ki mawazo maana hiyo ndio shida kubwa ya Watanzania. Mafursa yaliyojaa haya halafu mtu analia shida. Unachekesha!

Mama Faiza Foxy unaongelea watanzania au Wagerazani?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Na wewe unashida tukusaidie?

Alhamdullillah Mola amenijalia kidogo shida sina, msingi wa elimu nilioupata kutokana na sera za Mwl. Nyerere umenisaidia sana kwenye maisha yangu.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Kuna watu wamejenga hoja ya kidini kuwa "katika Uislamu hakuna baba". Hii si kweli hata kidogo. Qurani Tukufu yenyewe inaweka wazi jambo hili kwamba wapo wanaoitwa "baba" kati ya wanadamu na tena ni waamini. Katika Surat Affat (37:102 na kuendelea) tunaona kuwa Ishmaeli anamuita Ibrahim "Baba". Waislamu wanaamini kuwa Mitume wote hata kabla ya Mohammed (SAW) walikuwa ni Waislamu. Kuwa hata Ibrahim alikuwa ni Muislamu. Kwa hiyo kama ni kweli hivi (Italiki na Msisitizo mweuzi wangu)

Basi alipo fika makamo ya kwenda na kurudi pamoja naye, alimwambia: Ewe mwanangu! Hakika mimi nimeona usingizini kuwa ninakuchinja. Basi angalia wewe, waonaje? Akasema: Ewe baba yangu! Tenda unavyo amrishwa, utanikuta mimi, Inshallah, katika wanao subiri (37:102)

Na katika sura hiyo hiyo Qurani inawasifia manabii wengine waliotangulia na inapofika kwa Nabii Ilyas (Elia) inasemwa hivi:

Na
A hakika Ilyas bila ya shaka alikuwa miongoni mwa Mitume
lipo waambia watu wake: Hamwogopi?
Mnamwomba Baa'li na mnamwacha Mbora wa waumbaji
Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wenu na Mola Mlezi wa baba zenu wa zamani? 37:123-126

Kitu pekee ambacho kiko wazi katika Qurani na katika mafundisho ya Uislamu ni kuwa Mungu si Baba. Ukisoma mistari inayofuatia hapo chini hili liko wazi kabisa. Na kwa wanaosoma historia ya dini ni kuwa Uislamu umekataa kabisa toka mwanzo Kumuita Mungu "Baba" kwa sababu Wakristu walikuwa wanamuita Mungu "Baba" na iliaminika kana kwamba wanamaanisha Mungu alichukua mke akazaa naye. Hili Qurani Tukufu inalikataa hata kwenye sura hii:

Ati ni kwa uzushi wao ndio wanasema
Mwenyezi Mungu amezaa! Ama hakika bila ya shaka hao ni waongo!
Ati amekhiari watoto wa kike kuliko wanaume? 37:151-153

Pia tunaona katika Sura 33:6 kuwa wake wa Mtume ni "mama wa waamini" na ndio maana hata leo Waislamu wanamuona Bi. Khadijah kama "mama yao". Je, kama mke wa nabii (kama mstari unavyosema) ni "mama" wa waumini je nabii mwenyewe anaweza kuchukuliwaje? Hasa ukizingatia kuwa Qurani inawatambulisha wale manabii wa zamani (hiyo sura ya 37) kuwa ni "baba" wa zamani? Je manabii nao ni kama baba zetu?

Kumbe ni rahisi kuona kuwa:

a. Uislamu unatambua nafasi ya "ubaba" na kuwa haikatazi kumuita mtu "baba". Katika Biblia labda ni kali zaidi kwa sababu Yesu ndiye alisema wazi kuwa "Usimwite mtu yeyote baba hapa duniani kwani baba yenu ni mmoja tu aliye mbinguni!" Mathayo 23:9.

b. Uislamu unakataza kumuita Mungu "Baba" kwa sababu Mungu "hakuzaa wala hakuzaliwa". Na ni kinyume na mafundisho yaliyokuwepo ya Wakristu waliomuita Mungu "Baba yetu".

c. Kama ndivyo ilivyo kwamba Qurani inawatambulisha mitume waliotangulia kama "baba" ni wazi kuwa haikatazwi kumuita mtu "baba" moja kwa moja; inakataza kumuita Mungu "baba". Na tunafahamu inaposema wake wa nabii ni "mama" wa waamini sidhani kama kuna mtu anaamini kwamba inasema huyo "mama" alizaa waamini wote kimwili. Ni wazi ni cheo na nafasi ya heshima ambayo mama hao wanazo. Hili ni kweli pia kwa wale manabii. Wanapoitwa "baba" zetu si kwa sababu waliwaingilia mama zetu!

Hivyo, hoja ya kuwa Nyerere hafai kuitwa 'baba' haina msingi na kuwa mtu aliyezaa asiitwe 'baba' nayo haina msingi vile vile!

Nasimama kusahihishwa.
 
@mwanakijiji

Naomba uombe msamaha haraka sana kwa ku-quote aya Qur: 37:126 inasema

"Mwenyezi Mungu Mola wenu na mola wa wazee wenu wa mwanzo"

Hakuna sehemu inayosema baba yenu

Hivi wewe mbona mtu mnafiki sana kuharibu aya za Allah lol huna aibu
 
Mwanakijiji mkuu wangu hapa unakosea kabisa kwa sababu Ismail ni mtoto wa kuzaliwa na Ibrahim, hivyo kumwita baba inaswihi na hata hayo uloyasoma yanazungumzia baba zao kweli wa uzazi na sio mtu yeyote..
Waloyasema FaizaFoxy na Topical kuhusu Uislaam ndio ukweli, huwezi kumwita mtu yeyote baba kwa sababu ktk Uislaam hatuna titles za utaifa zaidi ya Utukufu wako kwa mwenyezi Mungu. Hivyo neno Baba lina maana yake kama mzazi na haliwezi kutumika hovyo..

Katika utaratibu wa Kikristu ndio unakuta neno baba linatumika popote kwa sababu ukiristu na utawala vinafungamana ktk mambo mengi sana. Na ndio maama mimi huwa sina tatizo mnaposema Yesu ni mtoto wa Mungu ikiwa ni ktk tafsiri zetu maana Padre huitwa Baba na mwanamke huitwa Sister. Mungu na yesu waakiitwa Lord hivyo ni hadi mtu ajue vizuri matumizi ya maneno haya ndani ya Ukristu ndio anaweza kuzungumza kwa ufasaha..

Kifupi kuvunja ubishani huu, kuwa mwarabu ama kutumia lugha ya kiarabu haina maana ndio Uislaam, Uislaam ni dini ambayo mwarabu, mrangi na mchagga anatakiwa yeye kuifuata kama mwongozo wa maisha yake. Wapo waarabu wengi sana ambao sii waislaam na matumizi ya lugha ni kama kiswahili ukisema - Mungu mkubwa haikufanyi wewe uwe mkristu lazima useme Allahu Akbar ndio uwe muislaam wakati hata waarabu wakristu watasema hivyo hivyo..hii ni lugha tu lakini mwambie Mdanganyika akisikia Allahu Akbar basi ndio Uislaam.

Waarabu kwa tamaduni zao wanaita baba wa Taifa lakini haina maana ndio Uislaam kwa sababu huyo huyo mwarabu muislaam baba yake wa kambo hatamwita baba..Huu ni mchanganyiko wa culture na dini lakini hakuna kitu baba kwa mtu ambaye sii mzazi wako wa kiume.
 
Mwanakijiji mkuu wangu hapa unakosea kabisa kwa sababu Ismail ni mtoto wa kuzaliwa na Ibrahim, hivyo kumwita baba inaswihi na hata hayo uloyasoma yanazungumzia baba zao kweli wa uzazi na sio mtu yeyote..
Waloyasema FaizaFoxy na Topical kuhusu Uislaam ni kweli na huwezi kumwita mtu yeyote baba kwa sababu hatuna titles za utaifa zaidi ya Utukufu kwa mwenyezi Mungu. Hivyo neno Baba lina maana yake na haliwezi kutumika hovyo..

Na katika utaratibu wa Kikristu ndio unakuta neno baba linatumika popote kwa sababu ukiristu na tawala vinafunagamana ktk mambo mengi sana. Na ndio maama mimi huwa sina tatizo mnaposema Yesu ni mtoto wa Mungu ikiwa ni ktk tafsiri zetu maana Padre huitwa Baba na mwanamke huitwa Sister. Mungu akiitwa Lord na Yesu pia hivyo ni hadi mtu ajue vizuri matumizi ya maneno haya ktk Ukristu ndio anaweza kuzungumza..

Kifupi kuvunja ubishani huu, kuwa mwarabu ama kutumia kiarabu haina maana ndio Uislaam, wapo waarabu wengi sana ambao sii waislaaam kama kiswahili ukisema - Mungu mkubwa haikufanyi wewe uwe mkristu. Waarabu kwa asili wanaita baba wa Taifa lakini haina maana ndio Uislaam kwa sababu huyo huyo mwarabu muislaam baba yake wa kambo hatamwita baba..Huu ni mchanganyiko wa culture na dini lakini hakuna kitu baba kwa mtu ambaye sii mzazi wako wa kiume.

Kwanza aombe msamaha huyu jamaa yako ni mnafiki mkubwa anachezea Aya za Allah...

Hakuna sehemu kwenye Quran katika aya alizoweka inayosema baba zenu..

This is third time jamaa anafanya makusudi kabisa na kitabu cha Allah???
 
Jihabari reefu, kuandika kooote huko unataka tumuite Nyerere "baba"? Unanchekesha, huo ni ukatoliki. Hata Kikwete sijamsikia akimuita hivyo Nyerere. Upelekeni ubaba kanisani, huku wananchi tuwacheni tumuite Mwalim Nyerere.

Hakuna Muislaam anaefata Uislaam wake atathubutu kumuita Nyerere baba, labda wale mnakutana kwenye mabaa.

This is really sad! Eti hata kikwete hujamsikia akimuita hivyo Nyerere! Kweli we should never underestimate the predictability of stupidity!

This is really sad! Eti hata kikwete hujamsikia akimuita hivyo Nyerere! Kweli we should never underestimate the predictability of stupidity!

Nani alokwambia kikwete ni uislam ndugu??

Uislamu ni zaidi ya kikwete
 
Hayo wala sina tatizo nayo, hayo ni "by the way" mimi nipo kwenye u "baba" tu.

Baba Mtakatifu, Baba Askofu, Baba Mchungaji wakondoo, na sasa mnataka kutubambikia "baba" wa Taifa. Kama si udini ni nini? Pelekeni u baba wenu kanisani huku mitaani Muacheni nyerere abaki kuwa Rais wa Kwanza wa JMT.

Je "Baba Mzazi au Baba Watoto" ni ukatoliki pia?

Back
Top Bottom