Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

Ndugu yangu usitake kuzunguka saana,
Kumbuka waazungu wanasema in order to build something strong it helps to start with best and possible materials. Sasa msingi mbovu uliowekwa na Nyerere ndio unawamaliza sasa.

Katika hiyo msingi mibovu ya nyerere umo pia wa kufuta ujinga? Je unaweza kuondoa umasikini na maradhi kwenye jamii yenye watu wajinga?Ukijibu hayo ndio utaona wewe ndio unaaza kuzunguka zunguka. Na mpaka mwisho wa hi comment yako utakuwa umeshahama kwenye hoja nyingine na ukimbia hii. Tuendelee..........

Kumbuka kuwa alisema bayana ili Tz iendelee inahitaji vitu vinna yaani watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Nikuulize ni kipi Tz imekikosa mpaka wakti wa Nyerere aliweza kuasisi ulanguzi na uhujumu uchumi kitu ambacho kimekomaa na leo umekuwa ufisadi?
Uongozi bora sio wa mtu mmoja. Huwezi kumlaumu nyerere sababu ya tamaa ya viongozi wengine walijua baada ya uhuru ni zamu yao na sio zamu ya wananchi kufaidi. Kwa hiyo Tanzania inakosa viongozi wa mfano wa Nyerere. Vingozi wa leo wanakuwa wa kwanza kujimbiizia mali. Tumeona Wanajigawia nyumba za masaki na mambo mengine mengi. Tunaona wanavytangalliza maslahi yao kwanza kwenye mambo ya Posho. Wakati wa nyerere sio Viongzi na uongozi ulikuwa ni WITO.

Angalia sasa. Kiongozi bora ni yule mwenye VISION. Mawaziri na wabunge wa enzi y nyerere nawahurumia sana. Tuko nao mtaani kama watu wa kawaida. Lakini hawa wa sasa Wamefanya siasa kuwa kama kampuni binafsi. Ni mambo kama hayo ndiyo yanamfnya kuwa kiongozi wa aina yake.

Kuhusu nyerere kuasisi ulanguzi hilo halina ukweli hata chembe. Hizo ni tamaa za viongozi wachache na sabotageiliyofanywa na mfumo wa kibepari.Otherwise unachangia kwa kutumia ushabiki na hisia.

Lakin hata ,agazeti yenu usomi. Je hujui kama Tz ni nchi ya tatu toka chini kwa kutembeza kibakuli yaani ombaomba duniani? fuatilia income per capital.
So how does this relate to Nyerere.!!!!!!!!! Nyerere alitemebeza bakuli na hakupewa pesa za kutosha kufanikisha mipango yake. Aligoma ufuta masharti aliyoona hayafi kwa wananchi. Hiyo ni sifa mojawapo ya kiongozi bora kuamua jambo kwa msalhi ya taifa na ma mrefu na sio kuangalia miaka 5 au 10 tu.
Kuna tofauti ya kiongzoia anayekopa kuwezesha wananchi wapate elimu bure na yule anayeopa kununua ndege ya Rais. Huini hapo kuwa kuna STRATEGIC , VISIONARY leader(Nyerere) na foreman( Waliofuata)??????

Kwa hiyo kwako kwe kikwete na Mkapa kutembeza bakuli mzigo wote na lawama unamuendea nyerere.!!!!!?????? Nyerere alitemebza bakuli akanyimwa sababu hakutaka kufuata masharti ya ajabu ya "wakubwa". Waliofuta wanatembeza bakuli na wanapewa mipesa lakini mbna kuna watu hawaoni tofauti. Je uanjua deni a Tanzania Huyo nyerere alilicha shilingi ngapi na hawa wanaooneana wanafanya kazi wanatumia kiasi gani cha mkopo .

Nimekuambia weka hapa data unazotumia tuongee lugha moja. Na usisahau hapa tunamuongelea nyerere Uomba omba wa tazania leo au jana sio wa nyerere
 
kuna mtu flani juzi alikuja na thread ya kumbeza baba wa taifa eti alikuwa dhaifu......nilimshangaa sana..
 
Kwanza kabisa mimi sikubaliani na hilo "baba" wa Taifa, huo ni ukatoliki na hutumika kanisani kuwaita wachungaji "baba", kumuita "papa" "baba" mtakatifu.

Hii nchi Nyerere aliikuta ina watu wa imani tofauti na ameondoka ametuwacha watu wa imani tofauti, kwanini mtubambikie vyeo vya kikatoliki na Kikristo? hamuoni kuwa huo ni "udini" wa wazi wazi?

Hakuna "baba" wa Taifa, huo ubaba alipewa na nani na kwa ridhaa ya nani? msitujaze ujinga.



MMh mambo ya kidini tena? Huwa hayatufikishi popote na huwa hakuna makubaliano kwenye hili. I am taking a diferent side....

Lakini kuna ambao wana argue kwamba mjerumani ndio baba wa Taifa. It was the German who stoped the tribal wars (Ngni and Matengo), ngoni and Mkwawa, and other places.....

Germans stoped the tribal wars and make people to settle and produce cash crops (this is another dilema, cash crops for colonial govt).

And so on and on,,,,,,,

(please note that I am not opposing the idea of Nyerere kuwa baba wa Taifa, ila nimechangia hoja)
 
Nataka niseme maneno machache baada ya kusoma makala yakokwamba:
Nyerere was a Great Leader ever happened in Africa! huenda ni kiongozi bora kuliko kiongozi yeyote Barani Afrika katika karne husika!
 
Ndugu yangu usitake kuzunguka saana,

Kumbuka waazungu wanasema in order to build something strong it helps to start with best and possible materials. Sasa msingi mbovu uliowekwa na Nyerere ndio unawamaliza sasa. Kumbuka kuwa alisema bayana ili Tz iendelee inahitaji vitu vinna yaani watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Nikuulize ni kipi Tz imekikosa mpaka wakti wa Nyerere aliweza kuasisi ulanguzi na uhujumu uchumi kitu ambacho kimekomaa na leo umekuwa ufisadi?

Lakin hata ,agazeti yenu usomi. Je hujui kama Tz ni nchi ya tatu toka chini kwa kutembeza kibakuli yaani ombaomba duniani? fuatilia income per capital.


Na wazungu hao hao wamesema If the foundation is not strong enough to sustain the house demolish and build a new one. Kwa hiyo mantiki ya kudai eti Mwl. Nyerere aliweka misingi mibovu ni muflisi tumeshakuwa na marisi 3 tangu Mwl. Nyerere aondoke madarakani; nadhani hoja zimekushia ikiwa kama Mwl. Nyerere aliasisi ulanguzi na uhujumu uchumi ni kiongozi wa Tanzania alipiga vita hivyo hadharani? Mwl. Nyerere alipinga kwa nguvu zote kuwa ombaomba, pia hakuna ajabu ya kuomba unapopungukiwa hata OMAN haijitoshelezi kwa kila kitu huomba pale inapofemea.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Maduka ya kaya yaliuza mpaka sabuni za kuogea na kufulia sio chakula pekee. Zote hizo zilipatikana kwa resheni

Barubaru hapo umepindisha kidogo ilikuwa tunajadili futari; lakini pamoja na yote sabuni zilizipatikana; pointi ya muhimu ni hii UMASIKINI UMEKITHIRI KWA KIASI KIKUBWA kuliko hata ilivyokuwa wakati wa Mwl. Nyerere.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Barubaru:
Kiongozi wa nchi lazima awe na kipao mbele. Nianze ha makala ya jamaa hapo juu G. Washington alikuwa na kipao mbele cha kuungunisha mataifa kazaa ili kupata umoja wenye Nguvu. ALIFANIKIWA.
Nyerere alikuwa na kipao mbele cha kukomboa nchi za Kiafrika na kuhakikisha watanzania wote wanapata elimu bila kujali uwezo wao kwa kifedha.ALIFANIKIWA.
Jommo Kenyatta alikuwa na kipao mbele cha kuhakikisha kenya inakuwa huru. ALIFANIKIWA.
NIAMBIE KWA KUTIMIZA MALENGO YAKE HAYO. KWA NINI ASIHESHIMIWE?
JK alitueleza ataleta maisha bora kwa kila mtanzania - AMESHINDWA, Je tumheshimu?
Mwinyi alisema atatoa uhuru kwa kila mtanzania kufanya anavyotaka ndiyo sababu waislam waliamua kuvunja mabucha ya nguruwe bila kushtakiwa- ALIFANIKIWA

Ndugu yangu usitake kuzunguka saana,

Kumbuka waazungu wanasema in order to build something strong it helps to start with best and possible materials. Sasa msingi mbovu uliowekwa na Nyerere ndio unawamaliza sasa. Kumbuka kuwa alisema bayana ili Tz iendelee inahitaji vitu vinna yaani watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Nikuulize ni kipi Tz imekikosa mpaka wakti wa Nyerere aliweza kuasisi ulanguzi na uhujumu uchumi kitu ambacho kimekomaa na leo umekuwa ufisadi?

Lakin hata ,agazeti yenu usomi. Je hujui kama Tz ni nchi ya tatu toka chini kwa kutembeza kibakuli yaani ombaomba duniani? fuatilia income per capital.

 
Maduka ya kaya yaliuza mpaka sabuni za kuogea na kufulia sio chakula pekee. Zote hizo zilipatikana kwa resheni
Hivi huko kwenu Oman hakuna mitandao unaweza kujinafasi na wajomba zako? Kila siku hukosekani JF
 
Nyerere alianza lini kuitwa "baba wa taifa"?

A. Mara baada ya uhuru
B. Baada ya Azimioo la Arusha
C. Baada ya kustaafu
D. Baada ya kufariki

Jibu wanalo subiri uone watavyopindisha majibu

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Nyerere day is a public holiday by law.

So is Karume day.

In the URT Nyerere day is in Public holiday act, na Employement Ordinance, cap. 366.

Ukimfanyisha mtu kazi in Nyeree day, unamlipa double.... hi ni sheria ya nchi. Na investors wote lazima waambiwe hili.

Marekani wana president's day pia..... na hizi sheria hutumika kumtabua au kumuenzi baba wa Taifa.

Kwa hiyo Nyerere legally anatambulwa kama baba wa taifa.

Washington's Birthday is a United States federal holiday celebrated on the third Monday of February in honor of George Washington, the first President of the United States. It is also commonly known as Presidents Day (sometimes spelled Presidents' Day or President's Day). As Washington's Birthday or Presidents Day, it is also the official name of a concurrent state holiday celebrated on the same day in a number of states.

Titled Washington's Birthday, a federal holiday honoring George Washington was originally implemented by an Act of Congress in 1880 for government offices in the District of Columbia (20 Stat. 277) and expanded in 1885 to include all federal offices (23 Stat. 516). As the first federal holiday to honor an American citizen, the holiday was celebrated on Washington's actual birthday, February 22.[SUP][1][/SUP] On January 1, 1971, the federal holiday was shifted to the third Monday in February by the Uniform Monday Holiday Act.[SUP][2][/SUP] This date places it between February 15 and 21, which makes the name "Washington's Birthday" in some sense a misnomer, since it never lands on Washington's actual birthday, February 22.
 
Hivi huko kwenye Oman hakuna mitandao unaweza kujinafasi na wajomba zako? Kila siku hukosekani JF

Waunguja wa mtandao wao Zanznet hatii mguu huyo ndiyo sababu hakosekani JF

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Hayo wala sina tatizo nayo, hayo ni "by the way" mimi nipo kwenye u "baba" tu.

Baba Mtakatifu, Baba Askofu, Baba Mchungaji wakondoo, na sasa mnataka kutubambikia "baba" wa Taifa. Kama si udini ni nini? Pelekeni u baba wenu kanisani huku mitaani Muacheni nyerere abaki kuwa Rais wa Kwanza wa JMT.


Jamani msisahau kufanya DNA za baba zenu, mama tu ndio 100%, msije mkawa mnaita baba walezi BABA kitanda hakizai haramu!

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Mtuambie nyie mnaomuita baba, sisi tutajuwaje? tunaona mnakurupuka, mara "baba", mara mwenye heri, mara mnataka kumpa utakatifu, kwa jema lipi? halafu mtuulize sisi mmeanza kumuita lini? Mnanchekesha!

Mama Faiza Foxy umeaanza kuyapindisha toa jibu ili Mwanakijiji asahihishe mtihani

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Ndugu yangu usitake kuzunguka saana,

Kumbuka waazungu wanasema in order to build something strong it helps to start with best and possible materials. Sasa msingi mbovu uliowekwa na Nyerere ndio unawamaliza sasa. Kumbuka kuwa alisema bayana ili Tz iendelee inahitaji vitu vinna yaani watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Nikuulize ni kipi Tz imekikosa mpaka wakti wa Nyerere aliweza kuasisi ulanguzi na uhujumu uchumi kitu ambacho kimekomaa na leo umekuwa ufisadi?

Lakin hata ,agazeti yenu usomi. Je hujui kama Tz ni nchi ya tatu toka chini kwa kutembeza kibakuli yaani ombaomba duniani? fuatilia income per capital.


Aah...ni ww barabaru? Naona na ww unatuonyesha kwamba umeenda shule kidogo!
 
Hiyo kauli yako tu inakuhakikishia kuwa baba ni mmoja tu, aliyekuzaa. Wewe ulisikia ma "baba" kikatoliki wanazaa? si mpaka walikache kanisa kama nanihii vile.
Anza kula nguruwe haraka sana, itakusaidia upate akili na kusamehewa dhambi zako zote!!
 
"Ukiona mtu anaanza matusi ujuwe umemshinda kwa hoja".
Aah..kula nguruwe ni matusi, ww vp? Nguruwe ni kama samaki anasaidia kuongeza uwezo wa kufikiri na kupambanua mambo bila upendeleo, unafiki au chuki binafsi ambalo hilo ndo tatizo lako. Sasa ukianza kula nguruwe atakusaidia kutibu huo ugonjwa wako!
 
Nyerere alianza lini kuitwa "baba wa taifa"?

A. Mara baada ya uhuru
B. Baada ya Azimioo la Arusha
C. Baada ya kustaafu
D. Baada ya kufariki

Unatuuliza sisi tena??

Mimi sijawahi kumuita, sintamuita wala watoto hawatawezi kumuita nikiwa hai!

Kwa ufupi hawezi kuwa baba labda huko kwenu..
 
Back
Top Bottom