Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

Sijawahi kuona mtu mtu ambaye akili zake zimekaa tenge kama wewe, what a flawed ideas. Unawezaje kusema baba linatumika kwa Wakatoliki wakati huohuo unaandika na unajua linatumiwa katika familia. Sasa Nyerere ni baba wa Taifa la Tanzania kama alivyo yule wa Pakstani, China na wengine aliowataja Mchambuzi. Rejea post yangu na baba wa taifa wa Pakstani na nenda ka-google father of nation Pakistani.
Faiza hana tatizo na Baba wa Taifa Muislaam mwenzake. Sifa hii haistahili Mwalimu kwa sababu ya Ukatoliki wake basi. Ikitokea historia ya taifa hili ikaandikwa upya na AbdulWahid Sykes akapewa heshima hii, nadhani msimamo wa Faiza utalegea kidogo. Hakumkemea Mzee Mohamed alipowaita wazee hawa baba zake.
 
Sisingizii dini yangu napinga kuletewa "title" za kikatoliki "kidini" zikawa za kitaifa huo ni udini wa hali ya juu, halafu mtu akipinga nyie ndio wa kwanza kumuita mdini, wakati ukweli mnauona.

Neno Rais linatokana na Kiarabu "Ray'es". Kumbuka unaongea na FF hapa, ni cheo kipi cha kanisa ni Rais? ustake kuzuga hapa.

Wewe FF ukapimwe mirembe haraka. Unajaza JF uwongo hapa acha kuwa kama dalali wa shetani. Sasa I will tell you, Ruwachii ni nani? kama wewe ni mbumbumbu uliza utaelimishwa. Ruwaichii ni rais wa TEC yaani rais wa baraza la maaskofu (Wakatoliki) Tanzania, kipo cheo cha Rais katika structure ya kanisa Katoliki. Tatizo lako wewe unaleta dhana ya kibaguzi na kuligawa taifa letu vipandevipande. Hakuna mpumbaavu utakaye mwaminisha kuwa Mkristo hawezi kutumia cha uislam na Mwislamu hawezi kutumia cha Mkristo. Mbona wakristo na waislamu wanaoana na kuishi vizuri. Mbona familia zetu zimechanganya Wakristo na Waislamu. Mbona tunatumia maandiki yenye asili ya kiarabu na kiroma kwa pamoja. Ndiyo maana siyo ajabu kama wakatoliki wakakopa neno linalotokana na kiarabu na vilevile neno baba linatoka kwenye familia. Ni kawaida therefore kutumia maneno Rais katika taasiai za dini katika serikali na siasa na pia kutumia neno baba katika familia, serikalini na katika siasa. Tatizo lako unafikira katika mstari mmoja ulionyooka. ndiyo maana you are myopic.
 
Hata awe Muislaam kashushwa na uzi wa hariri, hakuna u baba wa taifa katika Uislaam. Kuna baba yangu tu aliyenizaa, Hata Mwenyeezi Mungu siruhusiwi kumuita baba Kiislaam, ni kumshushia hadhi yake, hata Mtume Muhammad (SAW) kiongozi wa Waislaam wote siruhusiwi kumuita baba, itakuwa Nyerere au Karume? khaa, unanchekesha!

Nenda kajinyonge sasa, huu ndio fundamentalist wa Qaeda na Alshabab. Nyerere ni baba wa taifa la Tanzania na wengine wapo wengi akiwemo wa China na Pakstani. Google father of Nation of Pakstani
 
Mchambuzi I salute you! Its simply siplendid. Seriously reading this piece..I felt so emotional. Eee bwana I still have hope for my country when I read thoughts of this kind!

Together, our country will move forward.
 
The Mother of all wars!

Kwani hao hawana watoto wanaokwenda na majina hayo? kama wanao na wakaitwa hivyo sioni ubaya ila kuwa Mrs. Fulani (ambae si baba yako ndio mbaya Kiislaam, Kiislaam ni Bint Fulani). Lakini kuwa Mama wa fulani si mbaya kabisa hata kuwa baba wa fulani ambae unae si mbaya.

Nadhani umenielewa.
Mama Salma Kikwete ndiye anapaswa akuelewe na wake wote wa viongozi Waislaam nchi hii. Wanakosea sana kutumia majina ya waume wao huku Uislaam haulitambui hilo. Mwambie JMK amshtue.
 
Nenda kajinyonge sasa, huu ndio fundamentalist wa Qaeda na Alshabab. Nyerere ni baba wa taifa la Tanzania na wengine wapo wengi akiwemo wa China na Pakstani. Google father of Nation of Pakstani
Tena akiamua kujinyonga mie nimeshamtayarishia kamba, hana haja ya kuinunua. Baba wa Taifa (Google search returns about 261,000 results in 0.17 seconds). Au Google ni ya kikiristo?
 
Tumsubiri Mchambuzi aliyeenda library. Mi aniulizie tu hansard ambamo Chacha Wangwe yumo.Na utaratibu wa kuzipata.
 
Naona huelewi Kiswahili, Mama Kikwete, hivi Ridhwan sio Kikwete? akijiita Mrs. Jakaya Kikwete, hapo ndio kosa. Funguka kidogo.
Ridhiwani sio Kikwete na wala sio mwanae. Wewe mshauri akatae kuitwa Mama Salma Kikwete. Mzee Gharib yeye nasikia ana wanne na afya ile!
 
Sina tatizo kumuita baba yangu mzazi baba au wewe kumuita baba yako baba, hilo linajulikana na ukisoma posts zangu utaelewa kuwa hapo hakuna utata. Hilo la Pakistan, China, Uingereza sina uhakika nayo hayo na sina ushahidi nayo na watu wamepinga huko juu, inawezekana kabisa hayana ukweli na hata kama ni kweli wanaita hivyo basi hawana ilmu ya Kiislaam kama ni nchi ya Kiislaam. lakini kama nchi si ya Kiislaam nimeshasema huko juu, unaonesha wewe unakurupuka na husomi mijadala yote, wacha baba hata kuna nchi inaitwa vatikan Mkuu wao wanamuita Papa, Baba Mtakatifu, hiyo ni wao na si mimi. Mimi mafundisho yangu ya Kiislaam hayaniruhusu kumuita yoyote baba zaidi ya baba yangu aliyenizaa. Naomba pitia mnakasha maana naona haya nimeshayajibu.

Sasa kama huna uhakika kwa nini unaleta chuki hapa za kijinga si uulize uelimishwe. Halafu kama ni kweli unabishana na ukweli? Kama ndiyo basi wewe akili zako zimepungua sana. Soma post yangu No. 245. Na hapa na-copy sehemu yake.

Mohammad Ali Jinnah December 25, 1876 – September 11, 1948) was a 20th century lawyer, politician, statesman and the founder of Pakistan. He is popularly and officially known in Pakistan as Quaid-e-Azam ("Great Leader") and Baba-e-Qaum ("Father of the Nation"). Google hapa: Muhammad Ali Jinnah | Quaid-e-Azam (Father Of Nation) @ Pakistan Herald. Halafu google wikipedia ambapo umechakachua dakika chache zilizopita. Paliandikwa father of Nation saa moja iliyopita ninyi wafitini wa Nyerere mmebadilisha muda huu na kuweka pater of Nation ila mlisahau kuondoa kwenye picha yake neno baba wa Taifa kama alivyo Nyerere baba wa taifa la Tanzania likabaki.
For other uses, see Jinnah (disambiguation).
[TABLE="class: cms_table_infobox cms_table_vcard"]
[TR]
[TH="class: cms_table_n, colspan: 2, align: center"]Father of the Nation
Muhammad Ali Jinnah
محمد علی جناح[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Muhammad Ali Jinnah (Urdu: محمد علی جناح, Audio (help·info); December 25, 1876 – September 11, 1948) was an absoloute ledge! Muslim lawyer, politician, statesman And the founder of Pakistan. He is popularly and officially known in Pakistan as Quaid-e-Azam (Urdu: قائد اعظم - "Ali G") and Baba-e-Qaum (بابائے قوم) ("Pater of the Nation"). Hapo kwenye bracket ndiko mlikobadilisha lakini kwenye picha yake pamebaki kuandikwa father of Nation. Nyerere ni baba wa Taifa la Tanzania. Hata Kikwete ameanza kumwita hivyo pamoja na ungangari wake. Rejea hotaba yake ya Iddi iliyopita
 
Hoja yangu ya msingi hapa ni kwamba Bunge liliridhia Nyerere kuitwa BABA WA TAIFA, na ninaendelea kutafuta taarifa hizo niziweke humu. Suala hilo lilitamkwa bungeni between 2003 au 2005;

Kuhusu hoja kwamba MOD to freeze the discussion, nadhani unge shauriana nae wewe moja kwa moja kuafikiana au kutoafikiana juu ya hilo;

Vinginevyo, binafsi naona kuna mambo ya msingi mengi sana ambayo tunaweza kuyajadili, including wewe kuendelea kukwepa thread yangu that i addressed kwako na kwa faiza na wengine; angalau tuanze mjadala kwa kusema kwamba - kwavile mchambuzi hajaweka taarifa rasmi za bunge kuridhia Baba wa Taifa kuwa Nyerere, basi mimi GAMBA LA NYOKA simtambui Nyerere kama baba wa taifa; Naomba tamko lako rasmi tadhafali ili nijue unasimama wapi, kama ni suala la bunge, imani ya dini na neno baba, au mengine ambayo nimeshayaeleza ili wakati natafuta taarifa za bunge, mimi na wewe tuendeleze mjadala kwa hoja, na kama hauwezi endelea kutokana na suala la bunge, basi tamka hivyo na mimi na wewe tuishie hapo, na niendelee na wengine, unless MOD afunge thread kama unavyomshauri. Ni hayo tu kwa sasa;

bwana Mchambuzi wewe unasema mimi nakwepa hoja yako, mbona unakuwa msahaulifu mimi nasimamia ndani ya hoja yako ile ile, ulipotamka wazi tofauti kati ya heshima ya "baba wa Taifa " na "Raisi bora" ukasema wazi kwamba "Ubaba wa Taifa" ni jambo la kisheria, NIKAKUOMBA ULETE HIYO SHERIA ILI BASI TUPROVE KWAMBA MWALIMU NYERERE NI "BABA" WA TAIFA KWA MUJIBU WA SHERIA BADO HUJAILETA HAPA JAMVINI.

Sasa basi unaposema kwamba Bunge limeridhia Nyerere kuitwa baba wa Taifa kati ya mwaka 2003 na 2005, basi maana yake mwaka 2002 kurudi nyuma hakuwa baba wa Taifa, UNLESS OTHERWISE UBADIRISHE USEMI WAKO KWAMBA "UBABA" WA TAIFA NI HESHIMA YA KISHERIA.

NDIYO MAANA NI MUHIMU SANA UKATULETEA SHERIA INAYOMTAMBUA NYERERE KAMA BABA WA TAIFA, LA SIVYO HILI LITAENDELEA KUWA NI MAONI YA MTU MMOJA MMOJA.

sasa wewe unataka kujua maoni yangu kuhusu "Ubaba wa Taifa", maoni yangu ni haya yaafuatayo.
(1) WAASISI WOTE WA TAIFA LETU WENYE MCHANGO MZITO , KAMA NI WA KIUME BASI NI MABABA WA TAIFA, NA WA KIKE NI MAMA WA TAIFA.
(2) UBABA WA TAIFA SIYO LAZIMA UWE RAISI WA KWANZA, KUWA RAISI NI MGAWANYO WA KAZI TU, LAKINI MTU YEYOTE ALIYEFANYA JUHUDI KUBWA ZA KULINUFAISHA TAIFA ZIMA WAKATI ULE WA UASISI WA TAIFA LETU BASI NI BABA WA TAIFA, KWA MAANA HIYO MTU KAMA KAWAWA NA KARUME SENIOR NINAWAONA KAMA MABABA WA TAIFA.

(3) NYERERE NINAMUONA PIA KAMA BABA WA TAIFA

(4) MPAKA MIAKA TAKRIBAN 30 HIVI YA UCHANGA WA TAIFA, NACHUKULIA KAMA MWENDLEZO WA UASISI KWA HIYO MTU YEYOTE ATAKAYETUMIKIA TAIFA KWA UADILIFU MKUBWA NA KUWA KATIKA NAFASI YA MAAMUZI MAZITO YA UMMA NA KUFANYA VYEMA BASI NI BABA WA TAIFA, KWA MAANA HII NAMUONA SOKOINE KAMA BABA WA TAIFA, NAMUONA ALHAJI MWINYI KAMA BABA WA TAIFA.

KWA NINI NYERERE HAWEZI KUWA BABA WA TAIFA PEKE YAKE?

(1) TANZANIA IMEUNDWA NA NCHI MBILI HURU ZANZIBAR NA TANGANYIKA, NYERERE SI MUASISI PEKE YAKE, YUPO MZEE KARUME, KAMA HOJA NI UASISI WA TANZANIA BASI NDO AWE BABA WA TAIFA BASI NA MZEE KARUME ANASTAHILI AWE BABA WA TAIFA

(2) KAMA NI SUALA LA UTENDAJI KAZI KIPINDI CHA UTAWALA WAKE BASI TUMEONA KASORO NYINGI SANA ZA UTENDAJI WAKE WA KAZI SITAKI KUZIRUDIA( KUNA MADA MAALUM KABISA YA HILO HAPA JF).

(3) KAMA TUKIKUBALI KWAMBA ZANZIBAR WANA MTU WAO WANAYESTAHILI KUMUITA BABA WA TAIFA, BASI NYERERE HAWEZI KUWA BABA WA TAIFA PEKE YAKE MAANA TAYARI UPANDE MMOJA WA MUUNGANO TAYARI UNA MTU AMBAYE ASHAPEWA HESHIMA HIYO.

NI NINI TOFAUTI YANGU KATI YANGU MIMI NA WEWE?
(1) WEWE UNASEMA UBABA WA TAIFA NI JAMBO LA KISHERIA, MIMI NASEMA SIYO LA KISHERIA
(2) WEWE UNASEMA HESHIMA YA "UBABA" WA TAIFA NI YA MTU MMOJA TU, MIMI NINASEMA WENGI AMBAO NI WAASISI WA TAIFA WANASTAHILI HESHIMA HII.

TUENDELEE NA MJADALA
 
Hayo hayanipi shida wanaomwita hilo jina hawaujui Uislaam. Mimi kumuita mtu baba asiyenizaa ni NO. Na nnauhakika ni wengi wengine walio kama mimi.
Kama unayakubali basi wewe ha hao unaowasema mnaishi katika ulimwengu wa giza ambao haukubaliani na ukweli. Hata vichaa hula jalalani wanaona sawa tu kama ulivyo wewe na wenzako.
 
Hayo hayanipi shida wanaomwita hilo jina hawaujui Uislaam. Mimi kumuita mtu baba asiyenizaa ni NO. Na nnauhakika ni wengi wengine walio kama mimi.
Uhakika sasa kwamba huyo unaemwita baba ndiye kweli! Si unajua akina mama mlivyo wabambikaji? Ingekuwa mama aliyekuzaa kweli.
 
Nimgemuita Ammi au Mzee na si baba, hakuna cha baba wa kambo, huo si utamaduni wa Kiislaam.

Nilichogundua,kupitia kwa Mohamed Said,wewe na wengineo katika majukwaa mbalimbali ni kuwa.. Waislamu wengi kwa njia mbalimbali wameamini,ama kuaminishwa kuwa kuendelea kwao polepole ni kutokana na influence ya Ukatoliki tangu enzi ya Nyerere.Mi ni Mkristo na si mkatoliki.Ila ninadhani idadi kubwa,kama si wakatoliki wote[achilia mbali wakristo kwa ujumla wao]..hawajui, hawana ufahamu huo kuwa wamewahi au mpaka sasa wako priviledged zaidi ya imani nyingine. Ndiyo maana utaona dada FF unabishiwa na kuitwa mdini. Na hata waislamu wanaoswali mfano msikiti wa Tambaza,wao na familia zao haya wala hawajishughulishi nayo ama hawajui tu! Ila linganisha na wanaoswali Mtoro,Sheikh Idrissa,n.k. ndo kuna hiyo type nyingine.
 
Riwaichii na Rais ni wapi na wapi?, sema hakuna neno lingine mbadala ndio mkalizuwa hilo kuwa ni Rais. Rais ni neno la Kiarabu "Ra'yes" sasa usitake kutuaminisha kuwa Kiswahili kina maneno ya Kiroma, lakini kuwa kina maneno Kiarabu sina haja hata ya kukupa darsa kwa hilo, hata neno Swahili lenyewe ni Kiarabu. Hilo Ruwaichii kikabila gani hicho kichina? ukweli ni kuwa sijawahi kulisikia leo ndio mara ya kwanza. Na usitake kulibadili kwani watu wa kanisa mmezowea kubadili majina.

Wala likiwepo halina tatizo kwani ma Rais ni wengii tu wapo hata makampuni, Lakini baba hilo ni kanisani tu na baba yangu mzazi. Maana kanisani kuna ma baba ambao hata kuzaa hawaruhusiwi.

Nimefahamu kilicho nyuma unadhani utafanikiwa kuwagawa watu kwa misingi ya dini. Hautafanikiwa kwa sababu Tanzania tumeingiliana sana na wakristo na waislamu. Siyo ajabu mwislamu kuwa na mke mkristo, au mkristo kuwa na mke muislamu. Ndio maana hata Wakatoliki wanamwita Ruwaichii Rais wa TEC. Sasa nakwambia kama binadamu sisi kwa asili ni ndugu na dini si kitu cha kugawa watu kuwa huyu ni ndugu kwa vile ni dini moja. Tunaishi kama jamii. Kwa akili zako za kibaguzi zilizokaa tenge unadhani mkirsto hatakula nyama aliyochinja muislamu. Au muislamu hatahudhuria msiba wa Mkristo au Mkristo kuhudhuria msiba wa muislamu au hata kusaidiana kwa mambo mengine ya kijamii. Thesis yako ya kibaguzi haikubaliki Tanzania ila inakubalika katika dunia yako ya peke yako na wenzako kama vichaa wanavyoishi dunia ya peke yao na wanaona sawa tu.
 
Riwaichii na Rais ni wapi na wapi?, sema hakuna neno lingine mbadala ndio mkalizuwa hilo kuwa ni Rais. Rais ni neno la Kiarabu "Ra'yes" sasa usitake kutuaminisha kuwa Kiswahili kina maneno ya Kiroma, lakini kuwa kina maneno Kiarabu sina haja hata ya kukupa darsa kwa hilo, hata neno Swahili lenyewe ni Kiarabu. Hilo Ruwaichii kikabila gani hicho kichina? ukweli ni kuwa sijawahi kulisikia leo ndio mara ya kwanza. Na usitake kulibadili kwani watu wa kanisa mmezowea kubadili majina.

Wala likiwepo halina tatizo kwani ma Rais ni wengii tu wapo hata makampuni, Lakini baba hilo ni kanisani tu na baba yangu mzazi. Maana kanisani kuna ma baba ambao hata kuzaa hawaruhusiwi.
Ndiyo maana nasema akili zako ziko shoti, you are not consistent. Mwanzo umesema hakuna cheo cha rais katika ukristo. Nimekwambia Ruwaichi ni rais wa TEC, unabadilika kama kinyonga.
 
Kwenye page 13 .. nimejaribu kuonesha ubaba..mpaka likatumika kwa Mwl Nyerere.
 
ETI BABA WA TAIFA !!!!!!!! kuna mijitu inapenda kutukuza mtu eti wanampa heshima huko aliko hana heshima hata kidogo heshima yake iliisha siku alipo pigiwa mizinga 12 baada ya hapo hana heshima tena na ndio maana wana sema watu wakatoe heshima zao za mwisho lakini kwa upande mwingine nisiwalaumu kwasababu hata yesu mulimpa heshima kuwa yeye ni mungu kwahiyo huu ni muendelezo

Kuna watu wengine ni wataalamu wa kutowa maneno ya kejeli kama Boko haram! Kuna watu wengine walifundishwa kudharau kila kisichokuwa na uhusiano na dini yao kama Boko haram! Masuali ya dharau waulizayo hudhalilisha hata kile wakiaminicho kama Boko haram! Kama kumwita Nyerere baba wa taifa ni jambo la mshangao, je tutajie sasa mwengine anayestahili kuwa baba yetu wa taifa, tuache kushangaa tu kama Boko haram! Kama Nyerere alipewa heshima hiyo na wa-Yesu aka wa-kristo, kumbe Nyerere hakuwa rais wa wa-Muhammad aka wa-Islam, akiwemo Boko haram? Yesu kuwa Mungu ni imani ya wafuasi wake sasa kwa nini inakusumbueni Boko haram? Dini zetu ni tofauti kila kitu kama vile Yesu/Muhammad, Mungu/Allah, Biblia/Kuruan...haya ni mambo ya raia wa nchi yetu kama wewe Boko haram! Lakini nchi yetu ndiyo tumbo la mama yetu, halijuwi huyu ni mtoto wa kike au kiume, Mwislam, mkristo, Mpagan na kuendelea, au siyo Boko haram? Lakini Nyerere ni baba ya taifa la Tanganyika na Tanzania

Merry Christmas, Happy New Year
 
Back
Top Bottom