Aliandika wapi mandela kua aliamini kua nyerere was the best,?na kama mwisho wa dunia haupo ni nini kinacho kufanya uutaje mwisho wake ilihali huna huakika nao,bimaana ulio andika inawezekana kua huna huakika nayoMandela kiukweli kabisa hata yeye aliko anajua kwamba Nyerere was best of the best na yeye hapaswi kujilinganisha naye, umaarufu wa Mandela umekolezwa na mabepari tu baada ya kuwalegezea na kukubaliana na matakwa yao!
Mandela ataendelea kuthamini mchango wa Nyerere kwa South Africa hadi mwisho wa dunia kama kweli upo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mandela hajawahi wala hawezi kumkaribia Nyerere ni promo za wazungu hivi ulishawahi kusikia ni rais gani mstaafu ambaye anafikiliwa kutangazwa mwenye heri hayo mengine ni mambo ya kufukirika
You're a great thinkerHuwezi linganisha kocha na mchezaji, inabidi kocha kwa kocha au mchezaji kwa mchezaji, mchezaji, wakati Mandela yuko jela huku Nyerere ni rais, halafu Nyerere kapambana kama nchi na sio kama individual wakati Mandela kapambana kama individual. Nyerere had nothing to loose yeye kama Nyerere maana resources zote zilizotumika ni za nchi, kwa hiyo credit ibabebwa zaidi na nchi tofauti na Mandela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaposikia Marekani ni taifa kubwa unadhani ni nani aliifanya Marekani kuwa taifa kubwa?Natofautiana na wewe, nchi haiwezi kubeba credit kwa sababu bila msukumo wa Baba wa Taifa nchi isingefanya lolote.
Inabidi kuwe na kiongozi wa kuhamasisha raia wa nchi yake ili kushiriki katika msukumo/kampeni ya kufanikisha jambo fulani vinginevyo bila huo uhamasishaji kampeni hiyo isingefanikiwa kwa kukosa msukumo.
Umaarufu wa Mandela ulianzia pale alipohukumiwa kunyongwaWalimpenda toka alipokubali kuwalamba miguu. Wewe jiulize Mandela amefanya nini cha kumfanya maarufu?
Sent using Jamii Forums mobile app
wait a minute..Nyie mnachekesha kweli? Hakuna la maana alilofanya Mandela Africa?
Kukaa jela miaka 27 unaona ni jambo la kawaida?
Mandela alipoteza mke, watoto na ndugu akiwa jela, aligoma ofa zote za makaburu akachagua kufia jela ili South Africa iwe huru, halafu leo useme hajafanya kitu?
Wewe ukifungwa miezi 6 utaomba pooo... Halafu leo umdharau Mandela?
Unachekesha kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mnachekesha kweli? Hakuna la maana alilofanya Mandela Africa?
Kukaa jela miaka 27 unaona ni jambo la kawaida?
Mandela alipoteza mke, watoto na ndugu akiwa jela, aligoma ofa zote za makaburu akachagua kufia jela ili South Africa iwe huru, halafu leo useme hajafanya kitu?
Wewe ukifungwa miezi 6 utaomba pooo... Halafu leo umdharau Mandela?
Unachekesha kweli
Mkuu Swali ni aliifanyia nini Africa cha kumkumbuka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe mkuu. Mandela alikuwa kibaraka cha wazungu.Mandela hajawahi wala hawezi kumkaribia Nyerere ni promo za wazungu hivi ulishawahi kusikia ni rais gani mstaafu ambaye anafikiliwa kutangazwa mwenye heri hayo mengine ni mambo ya kufukirika
Pale kapuyanga sana. Mandela alikuwa snitch tu.Ulivyosema kuwa Nyerere anazidiwa na Mandela tu' ndo ikawa mwisho wangu wa kusoma na amini umekosea sana.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Mkuu nimempa Nyerere hadhi yake inayompasa, lakini Mandela pia ni mtu wa aina yakewait a minute..
Mandela huyu huyu tunaemjua? Mandela huyu mwanzilishi wa ANC na mfuasi wa itikadi za Mwl. Nyerere? Are you talking the same Mandela aliyekimbilia Tanzania na kupewa hifadhi na mwl. Nyerere na kusaidiwa fedha, chakula na malazi? na unamzungumzia Nyerere aliyekuwa anaamua nani awe Rais kwa ukanda wote wa kusini mwa jangwa la sahara...kama leo Marekani inavyofanya! Really? btw, umeshasoma report za Henry Kissinger kumhusu Mwl.Nyerere in 1976? Mandela did great things, ila kumlinganisha na mwl. JKN is another contempt...
I respect your analysis, Ila nashauri ukasome kwa undani wasifu wa hao jamaa...
Nina maswali yangu yafuatayo
1. Nani alishuhudia hayo maagano ya kuzimu?
2.kuna ubaya gani mtu kubeba kifimbo ?