Nyepesi Nyepesi - 7 April Rebranded as Double K's Day!

Hakuna kuchakachua
Ukijaribu unapoteza viungo muhimu.

Viungo vya pilau kama mdalasini, ushawaza sijui nini

Oooohhh Kong's Plliiiz...

Hebu edit hii post yako afu andika " NB; Rukhusa kuchakachua"

Maana nimeapa sitaki tena kutia neno juu ya hili sokomoko la huyu marehemu "K" mpya
 
Nilijua tu na mie lazima nipate cha kuanzishia sred kufuatia kifo cha Msanii Maarufu.

Inasemekana, kuna uwezekano wa tarehe 7 April kuitwa :A S new:Double K's Day.:A S new:
Hii inatokana na kwamba Kanumba na Karume walipumzika tarehe hiyo.

Na ni Public Holiday, kazi kwenu kununua nguo za siku kuu na mapilau. Ndo hivyo!:smash:

Mmh, yaani kila ukijipindua ni Kanumba tu
Niko napika sredi langu, lazima liwafunike wote
.

hivi huyu ni wewe huyuhuyu??
 
Ndo huyu huyu
images


nimeona hii itakufaa
 
Ushindwe na ulegee hadi spea zako za mwili zichomoke.

Bado nina safari ndefu sana!

Kongosho jitahidi siku yako ya kudanja iwe same day ili Jei efu tuwe tunasherehekea Triple K...
 
nimeifungua hii kwa ajili ya double "K" hata sijakuta nilichozania...!

Hata mie! Title ya thread hii ilinikumbusha thread fulani niliyoisoma kwenye jukwaa fulani jamaa akiarifu kwamba mpenzi wake wa kike ana K mbili! Basi mie nilienda huko!
 
Hata mie! Title ya thread hii ilinikumbusha thread fulani niliyoisoma kwenye jukwaa fulani jamaa akiarifu kwamba mpenzi wake wa kike ana K mbili! Basi mie nilienda huko!

looh...wewe ndo ulisepa parefu zaidi yangu aiseee...
 
Back
Top Bottom