Nyarusi aliyetekwa naye pia ni CHADEMA?

Nyarusi aliyetekwa naye pia ni CHADEMA?

ni muhimu kuacha kiburi,

mtu alete fujo kwenye zoezi la uandikishaji wapiga kura aachwe tu...

Lazima alambe virungu kadhaa na akarestishwe korokoroni ili baadae akiachiwa asema huo ushirikina na kiki ya kutekwa huenda chadema wakamchangia chochote kitu.

Muhimu zaidi, chadema acheni ulevi mara moja 🐒
Wewe kwangu ulisha aga dunia; haupo tena. Sasa kama ni msukule wako unao endelea hapa, sina muda wa kujihusisha nao.
Haya nilisha kufahamisha mara kadhaa humu humu. Sijibishani na upumbavu.
 
Hii chuki inayojengwa ni mbaya Sana sana

..kuna chombo nje ya Polisi kinafanya mambo hayo.

..chombo hicho inawezekana kimeundwa kisheria, au nje ya sheria.

..lakini sio jambo zuri kuwa na mazingira ambapo Polisi wanashindwa kuzuia uhalifu.

..hao watu hata kama wako kisheria, kuna hatari siku moja wakatoka nje ya mifumo ya kisheria. Yaani wakawa na uongozi na uratibu wao wenyewe na kuwa kama magenge ya MAFIA.
 
Hali inazidi kuwa tete kwa utekaji na waliopo juu wapo kimya.
 
Wewe kwangu ulisha aga dunia; haupo tena. Sasa kama ni msukule wako unao endelea hapa, sina muda wa kujihusisha nao.
Haya nilisha kufahamisha mara kadhaa humu humu. Sijibishani na upumbavu.
muerevu bado una mihemko kidogo na hilo ni pepo :pedroP:
 
Unawaita polisi paka? Huu ni upuuzi sana..eti polisi vibaka

..Ni polisi wanaoenenda kama vibaka, au wahuni fulani.

..Kwa mfano, unajiuliza kwanini hawavai uniform wakati wakitekeleza majukumu yao?

..Na huyo jamaa wa Chadema aliyekamatwa, ana bahati kuna watu walioshuhudia tukio lake, na VIDEO zimetoka, vinginevyo angepotea mazima.
 
Kisheria ukifungua hii case dhidi ya Mdude whether its defamation case and actually it would be playing in that ground unajua unachotakiwa kuthibitisha mkuu ili mdude aonekane ni mkosaji?
 
Ninachoweza kuthibitisha nikua polisi sio paka wala vibaka sasa yeye atuthitishie hiyo allegation ya kua polisi ni paka na vibaka basi.
 
..Ni polisi wanaoenenda kama vibaka, au wahuni fulani.

..Kwa mfano, unajiuliza kwanini hawavai uniform wakati wakitekeleza majukumu yao?

..Na huyo jamaa wa Chadema aliyekamatwa, ana bahati kuna watu walioshuhudia tukio lake, na VIDEO zimetoka, vinginevyo angepotea mazima.
Tatizo mnakrupuka sana,mbona mimi ni CHADEMA nakosoa nk lakini sikamatwi wala sikutani na purukushani. Polisi wapo wa aina zote nasio lazma wavae uniform. Najiuliza hivi watanzania wakitupa nchi ,nini kitatokea kwa watanzania
 
Polisi walikatana hawajamkamata. Ila baada ya video ya CCTV kuonesha ndipo wakakubali. Halafu unamkamata mtu dukani Kama gaidi.
Unakamatwa hata chooni kama una tuhuma za jinai.

Tusitetee uhalifu.
 
Tatizo mnakrupuka sana,mbona mimi ni CHADEMA nakosoa nk lakini sikamatwi wala sikutani na purukushani. Polisi wapo wa aina zote nasio lazma wavae uniform. Najiuliza hivi watanzania wakitupa nchi ,nini kitatokea kwa watanzania

..Ni wapi ktk sheria za Tanzania imeelekezwa kwamba kukosoa ni kosa, na moja ya adhabu zake ni kutekwa?

..kuna ulazima gani wa Polisi wasiokuwa na uniform kukamata watuhumiwa, na haswa wapinzani?

..uniform zipo kwa ajili ya kuwatambulisha Polisi, na kuwatofautisha na raia wa kawaida, vibaka, na majambazi. Na ndio maana ni kosa la jinai kuvaa uniform za Polisi kwa yeyote asiyekuwa askari wa jeshi hilo.

..Mimi naamini Watanzania wakiwapa nchi Chadema, Polisi wetu hawatatumika kufanya mambo ya kihuni, na maovu mengine, dhidi ya raia.
 
..mbona Ccm wamejeruhi mwana-Chadema na video zipo lakini wahusika hawajakamatwa?
Kwan hujui serikali ni ccm yaani mnataka kua sawa na chama tawala .sasa we Fanya kosa afu ukamatwe useme mbona akina fulani hamjawakamata uone cha mtema kuni
 
..Ni wapi ktk sheria za Tanzania imeelekezwa kwamba kukosoa ni kosa, na moja ya adhabu zake ni kutekwa?

..kuna ulazima gani wa Polisi wasiokuwa na uniform kukamata watuhumiwa, na haswa wapinzani?

..uniform zipo kwa ajili ya kuwatambulisha Polisi, na kuwatofautisha na raia wa kawaida, vibaka, na majambazi. Na ndio maana ni kosa la jinai kuvaa uniform za Polisi kwa yeyote asiyekuwa askari wa jeshi hilo.

..Mimi naamini Watanzania wakiwapa nchi Chadema, Polisi wetu hawatatumika kufanya mambo ya kihuni, na maovu mengine, dhidi ya raia.
Kwanza jua hakuna Askari mpelelezi anayevaa sare
Pili tukiwapa nchi chadema we utanufaika na nn ambacho saiv kinakukwamisha kwenye shughuli zako
 
..mimi sijapendekeza askari wapelelezi wavae sare.

..rai yangu ni kwamba askari wanazotumia kukamata raia ni vizuri wakavaa sare.

..naamini tukiwapa nchi Chadema huduma za kijamii zitakuwa bora zaidi, serikali itakuwa na nidhamu, na itatenda haki, na uchumi wa mtu mmoja mmoja, na nchi kwa ujumla, utakuwa kwa kasi.
 
Back
Top Bottom