Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,524
- 3,156
Umejibiwa ila wewe unamajibu yako ambayo unasema kua serikali ndiyo husika.Mimi najua alitekwa na kuuwawaWewe usiye tumia "arm chair" nimekwisha kupa fursa toka mwanzo ueleze unachojuwa wewe kuhusu huo mkasa wa kusikitisha ulio mpata Mzee Kibao; lakini umebaki ukibabaika tu bila ya kusema lolote la kueleweka.