Kukamatwa na polisi bila utaratibu ni utekaji! Kwa akili finyu zako unadhani kutekwa lazima kufanywe kwa siri, usahihi ni kuwa kutekwa kunaweza kufanyika hadharani.Siku hizi neno kukamatwa limegeuzwa na kuitwa kutekwa!
Yaelekea kuna habari mpya hapa baada ya Aisha Machano kwamba yupo mtu mwingine ametekwa.
View: https://x.com/mdudechadematz/status/1848059782189777138
View: https://x.com/mdudechadematz/status/1848059782189777138
🤣🤣🤣🤣🤣 vipi yamekuwa hayo tena si mlituambia ni magufuli hadi mbowe anazo video anasema msijenge tabia ya kuchukia wanaccm kuwa kipindi cha jpm wote ..wao na nyie mlikuwa shidani 🤣🤣🤣🤣Wote CCM mashetani. Hakuna mwenye nafuu.
Wasamehe, Huwa wanaelewa pole pole sana🤔🤣🤣🤣🤣🤣 vipi yamekuwa hayo tena si mlituambia ni magufuli hadi mbowe anazo video anasema msijenge tabia ya kuchukia wanaccm kuwa kipindi cha jpm wote ..wao na nyie mlikuwa dhidani 🤣🤣🤣🤣
ni muhimu kuacha kiburi,Inaelekea basi CHADEMA, Hii siyo bure!
Maana siku haipiti sasa bila mtu wa CHADEMA kupata hatihati
Kuna mkakati maalum unatekelezwa?
Ni suala la muda tuKama hawatalipa wao watalipa wato na wajukuu zao,ila kwa uhakika kabisa lazima tutalipa kisasi.
Wakikamatwa au kuzuiwa wanakimbilia X kutafuta huruma ya wananchi eti wanaonewa na kuna mbuzi wao wanaunga mkono tu hata hawahoji sababu.Tatizo CHADEMA mnafanya vurugu za makusudi kwenye zoezi la uandikishaji. Juzi Lema kakurupuka na kutaka wanafunzi wasiandikishwe
Mbona kila mara unazungumzia mambo ya kujamba jamba yaeleka huna marinda wewe, pumbavu kabisa mpakwa mafuta wewe.Chadema mtajamba cheche vipi na samia ni dictator uchwara au la 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wakikamatwa au kuzuiwa wanakimbilia X kutafuta huruma ya wananchi eti wanaonewa na kuna mbuzi (viherehere)wao wanaunga mkono tu hata hawahoji sababu.ni muhimu kuacha kiburi,
mtu alete fujo kwenye zoezi la uandikishaji wapiga kura aachwe tu...
Lazima alambe virungu kadhaa na akarestishwe korokoroni ili baadae akiachiwa asema huo ushirikina na kiki ya kutekwa huenda chadema wakamchangia chochote kitu.
Muhimu zaidi, chadema acheni ulevi mara moja 🐒
Kumbe kujamba cheche ndiyo kukosa marinda 🤣🤣🤣 naunga mkono hoja ...basi chadema mna hali mbaya sana..Mbona kila mara unazungumzia mambo ya kujamba jamba yaeleka huna marinda wewe, pumbavu kabisa mpakwa mafuta wewe.
Muda si mrefu ya hamza yatakuja kujirudiaUkipeleka ushahidi polisi unakamatwa wewe, Ukiwapa ushahidi unaitwa mchochezi,
Kwani haiwezekani kuwa alileta fujo na akaondoka eneo la tukio akakamatwa hapo dukani? Au muhalifu akiondoka eneo la tukio haruhusiwi kukamatwa?Mbona alikuwa dukani kwenye kununua simu ndipo wakamvamia?. Polisi nao wamekuwa waongo
Wanavunja sheria wakikamatwa wanasema wametekwa, kuna mmoja huko Iringa alikua anaendesha gari amelewa akagonga gari ya mtu alafu akakimbia kakimbizwa na wananchi wakamkamata polisi wakampeleka kituon akapost kuwa ametekwa na watu wasiojulikana bila kosa loloteWakikamatwa au kuzuiwa wanakimbilia X kutafuta huruma ya wananchi eti wanaonewa na kuna mbuzi wao wanaunga mkono tu hata hawahoji sababu.
huyo hakutekwa alikamatwa ni mhalifu sasa unaelekeza polisi wamkamatie wapi? hapo ndiypo walimkuta na ndiyo maana walimkamatia dukaniUmeona alipokamatwa?. Mtu yupo dukani anavamiwa na watekaji.
chadema wahuniWanavunja sheria wakikamatwa wanasema wametekwa, kuna mmoja huko Iringa alikua anaendesha gari amelewa akagonga gari ya mtu alafu akakimbia kakimbizwa na wananchi wakamkamata polisi wakampeleka kituon akapost kuwa ametekwa na watu wasiojulikana bila kosa lolote
Lengo likiwa nini. Yeye apendwe sana au aogopwe sana? Hali hii itasaidia kitu gani?Baraka za utekaji zimetoka utosini kabisa
Watekaji ni PTNi mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Iringa mjini