Kwan hujui serikali ni ccm yaani mnataka kua sawa na chama tawala .sasa we Fanya kosa afu ukamatwe useme mbona akina fulani hamjawakamata uone cha mtema kuni
..mbele ya sheria Watanzania wote wanapaswa kuwa sawa.
..sio sahihi kuwakamata wapinzani / Chadema kwa kufanya kosa fulani, huku ukiwaacha Ccm huru kwa kosa hilohilo.