Hakika Nyaronyo Kicheere amechanganyikiwa.
Mleta mada ana hoja ipi ya msingi? kutoteuliwa? Kati ya watanzania wote walioachwa yeye ndiyo anafaa?
kwani hao wote majina yao hayakupendekezwa regardless na makundi yepi. Nakumbuka wakati nachagua shule wakati namaliza darasa la saba, nilichagua shule kubwa kubwa tu kama Mzumbe, Ilboru, Kibaha Sekondari na zinazofanana na hizo. kwa kuwa wastani wangu haukutosha kwenda kwenye hizo shule, nilichaguliwa kujiunga na shule ya Sekondari Ruvuma. Sikulalamika na wala sikushtuka bali nilimshukuru Mungu kwa kuchaguliwa.
Hata nilipomaliza kidato ya Nne, nimechaguliwa kwenye combination ambayo haikuwa chaguo langu la kwanza, ila kwa vile nimechaguliwa sijulaumu na nilifurahia kuchaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano tena kwa shule ambayo haikuwa kwenye akili yangu.
Pia nilipomaliza kidato cha Sita, nilipenda kuwa Mwanasheria. Ila kwa vile ushindani ulikuwa mkubwa na nafasi zilikuwa chache, nilichaguliwa kujiunga na shahada ya kwanza katika masomo ya Sayansi ya Siasa na Utawala. Tena Chuo nilichopata si kilichokuwa chaguo langu namba moja. Ila kwa vile nimepata chuo huku wenzangu wakikosa, nilimshukuru Mungu.
Baada ya kumaliza chuo, maajabu yalijitokeza tena. Kwa masomo yangu, nilitegemea kupata kazi za utawala, ila haikuwa hivyo, niliajiriwa kuwa jeshini. Nikiwa Jeshini, nilitegemea kuwa nitakuwa mtawala ndani ya jeshi, wapi bana, nilijikuta napelekwa kwenye kikosi cha maji pale Kigamboni. Utawala na kuogelea wapi na wapi. haya nikiwa pale niliotegemea nittakuwa afisa wa juu kutokana na sifa yangu ya elimu, tena First Class mwenye GPA ya 4.1, nilishangaa kupangwa kwenye Lindo kama kawaida huku nikishika mtutu usiku kucha. Sikushangaa sana kwa vile nina kazi, nilimshukuru Mungu. Kwa sasa Mambo yamekaa barabarani.
Hivyo Namshangaa Mtatiro, Kushangaa kuwekwa kwenye kundi moja na Mukajanga
Tunaomba tuambiwe Abdallah Bulembo wa Wazazi wa CCM ana malengo gani yanayofanana na Yusufu Omar Chunda yule mwandishi wa habari kutoka nchi jirani ya Zazibar?
tumekupata
ha,ha,haaaa! umekurupuka THATHA umeishia darasa la ngapi? unajiendea tu maskini hata hujui lugha mujarabu na fasihi za kiswahili ha,ha,ha,haaaa. Huu ni ujumbe unajitosheleza kabisa, anyway umejiandaa kutetea hata ujinga bila kuelewa ha,ha,haaaaa. pole sana!!! WAAMBIE NA WENZIO WAELEWE NYARONYO AMEONGELEA NINI SIYO KUKURUPUKA ha,ha,haaaaaa mbavu zangu!Mleta mada ana hoja ipi ya msingi? kutoteuliwa? Kati ya watanzania wote walioachwa yeye ndiyo anafaa?
Sio yeye tu..........uteuzi huu wa Kikwete umewachanganya wengi!
Mkuu, kwanza MTATIRO MWENYEWE tukisema ukweli anasifa za kuwa kwenye Bunge la Katiba? MTATIRO asijiulize kwa nini PROF. ISSA SHIVJI ameachwa yeye ameteuliwa.
Matatiro atakuwa anachekelea kwenye MAGEGO na kumshukuru Mungu kwa vile sasa njaa yake imekwisha.
ha,ha,haaaa! umekurupuka THATHA umeishia darasa la ngapi? unajiendea tu maskini hata hujui lugha mujarabu na fasihi za kiswahili ha,ha,ha,haaaa. Huu ni ujumbe unajitosheleza kabisa, anyway umejiandaa kutetea hata ujinga bila kuelewa ha,ha,haaaaa. pole sana!!! WAAMBIE NA WENZIO WAELEWE NYARONYO AMEONGELEA NINI SIYO KUKURUPUKA ha,ha,haaaaaa mbavu zangu!
Au sisi ambao majogoo yetu hayawiki siyo vilema vilevile? Mbona hatukuulizwa ili tuandikishwe na kuteuliwa mmoja wetu kuwakilisha kundi lenye ulemavu wa majogoo?
Ina maana nani atatusemea huku hajui adha ya kuwa na jogoo lemavu lisilowika wala kuhudumia matembe? Tafadhali Kikwete acha chuki fanya uteuzi kwa umakini bila kubagua.
ha,ha,haaaa! umekurupuka THATHA umeishia darasa la ngapi? unajiendea tu maskini hata hujui lugha mujarabu na fasihi za kiswahili ha,ha,ha,haaaa. Huu ni ujumbe unajitosheleza kabisa, anyway umejiandaa kutetea hata ujinga bila kuelewa ha,ha,haaaaa. pole sana!!! WAAMBIE NA WENZIO WAELEWE NYARONYO AMEONGELEA NINI SIYO KUKURUPUKA ha,ha,haaaaaa mbavu zangu!
sawa dada Elli
Jamaa anatumia fasihi vizuri sana kuwasilisha ujumbe, hapo hakujielezea yeye kama yeye.Ameelezea mapungufu ya Rais kwenye uteuzi wa wajumbe.
Katika gazeti la ----- la leo, 13 Februari, mwandishi Nyaronyo Kicheere, ametoa mpya. Ameandika makala moja nzuri sana kuhusu uteuzi wa wajumbe wa Bunge la Katiba. Anasema, pamoja na kuwa na sifa, lakini Rais Jakaya Kikwete hakumteua.
Anasema, Sikushangaa kuachwa na Rais Kikwete kwa sababu namfahamu ------ huyu ananichukia sana tena sana. Tatizo langu kubwa ni kwamba sielewi sababu ya Rais wa nchi kunichukia kiasi hiki!
Baadhi ya maneno yaliyomo kwenye makala hiyo ni haya yafuatayo:
Makala kamili inapatikana katika ukurasa wa nne wa gazeti hilo
Huyu NANYORO atakuwa miongoni mwa wale 118 waliojipendekeza wenyewe.