Mkuu dizaini ya thatha & Lumumba buku 7 co ltd unadhani wanaelewa hao..? Wanakurupuka tu wakiona post imetajwa ccm kujibu.. Hii alieandika Nyanyoro ni kubwa kwao hawawezi kuielewa.. Ndo maana hata makala za Jenerali na Mabalaa wa Mabalaa hawatiagi mguu kusoma kule.. Ni kuwasamehe tu hawa njaa zilizoanzia kwenye ubongo zinawasumbua..
ni kweli tupu isiyo kuwa na mawaa!!!!