unamjua Abdallah Majura?Halafu ukimtizama kwa mbali huyu ngema ni kama ana fanana na Jaji Agustino Ramadhani na kwa mbali kama late John Komba na masharubu yake...
mbona yule jamaa yetu yeye anasize?Kaokosa shati saiz yake
Mtu kama Huyo akivaa shati la njano afu ukamuangalia kutoka mbali unaweza unasema ni school bus
mkuu nimecheka hadi usingizi umekataMtu kama Huyo akivaa shati la njano afu ukamuangalia kutoka mbali unaweza unasema ni school bus