Kitu cha kwanza mwana anatakiwa aelewe ni kuwa demu hakumpenda toka mwanzo, she just loved what the guy was providing, amwache aende wala asiwaze mambo ya ufundi kitandani wala kumhurumia atakuja kutendwa aumizwe zaidi ya hapoSalaam!
Nilihadihiwa jana na workmate namna alivyoachwa kwenye mataa na aliyekuwa mpenzi wake.
Wamedumu kwa mwaka 1, mwezi wa 7 huu uliopita bibie akanyuti bila taarifa kuwa ameamua kuachana na brother.
Namna alivyompata, alikuja kuomba ushauri namna gani ata cope maisha ya u single mother baada ya kufiwa na mumewe akiwa ameachiwa na mtoto anaesoma grade 4.
Akashauriwa daily routine zake ziweje na aendesheje duka bila kuathiri malezi halisi kwa binti yake.
Baada ya kuona ushauri wa mshauri ni mzuri basi bibie akafunguka na kumuomba brother wawe wapenzi [hiyo ni baada ya muda kupita wakiwasiliana]
Akampa mshauri nafasi wakapendana mpaka wakapanga mipango mikubwa ya kutengeneza family.
Brother akavaa Majukumu ikiwemo kumshauri namna gani biashara itakuwa kubwa...
Baada ya miezi 8 hatua ikaonekana lakini bibie akawa anarusha ratiba ya kuowana. Jamaa akaona sio mbaya kulingana na historia ya bibie [ametoka kufiwa hata miaka 3 haijapita]
Kumbe lengo ilikuwa kumuweka brother karibu ili anufaike na ushauri na sio mpaka ndoa...mwezi wa 7 huu akawa amenyuti kimyaaa hapokei simu wala hajibu meseji...na akawa amehama makazi na frame ya biashara.
Jamaa akaenda kuripoti police kuwa bibie haonekani na simu haipokelewi, so hajui hali gani aliyonayo huko labda kafa.
Akaambiwa watafuatilia, lakini kabla hajafika nyumbani sms ikaingia kutoka kwa bibie.
"Najua unanitafuta sana, nimeamua kukuacha kimya kimya kwa sababu ningekwambia ungeniambia maneno nilainike nishindwe kukuacha bure...unapangilia sana maneno ukiongea mimi huwa nashidwa kufanya uamuzi wangu nikikuskiliza, naona inatosha sasa kila mtu aishi kivyake nashukuru kwa msaada wako na pia tambua sio kila kitu utakachopenda utakipata. Utakuwa mjinga kama utaendelea kunitafuta maana mimi sina haja na wewe tena. Nakutakia maisha mema upate mtu mwingine uowe ushakuwa mkubwa na unatosha kubeba majukumu"
Baada ya kukaa huko aliko mwezi mmoja tu mambo yameenda mrama anaomba radhi arudi tena.
Jamaa anajiuliza ampe second chance bibie au amuache tu?!
[Maana hajui tatizo litajirudia ama limeshapita ndio maana anaomba radhi]
Ushauri wako zingatia;
-hali ya mlimbwende (mjane)
-jitihada zake ktk kulea family (maturity)
-Juhudi alizowekeza Jamaa kumsaida bibie.
Wasalaam.
Anarudi kwasababu mambo yamemuharibikia. Yakikaa sawa tena, imeisha.Salaam!

Hivi kwani hujui kwamba mapenzi hayalazimishiwiSalaam!

finyu pro ya August 2022.Mmmhh....kazi kweli kweli
Kizazi cha single mother na akili finyu +
Kweli mkuuI told you guys... ila acha niendelee kuwaambia, Mwanamke single maza ni kwajil ya kumchezea na kumuacha... Wanakuaga na akili chafu sana... Hapo usidhan anafanya hayo kwasabab amefiwa na mume au stress za maisha na mtoto na majukum. Huyo ni shetan hawez badirika kuwa binadam... Ungemfanyia wew mwanaume jamii nzima ingekupiga mawe ila wakifanya wao inaonekana ni bahat mbaya [emoji90]
Ushauri wako ni mzuri, ila we pia ni mjinga kwa kulazimisha kuwa ni mimi ili hali ni workmate wangu.“Hali ya mjane inamuhusu nini? Wapo wengi sana, na huyu ni wewe, jamaa wako awezi kuwa mjinga hivi”
Kama unataka kufungua kituo cha kulea waja wajane Basi rudiana naye, lakini kama watafuta mke, Angalia kwingine
Mi pia nilimwambia kama anahisi huyo mwanamke anampenda, basi kwanini alimkimbia na sasa arudi kisa mambo yake yameenda mrama.Kitu cha kwanza mwana anatakiwa aelewe ni kuwa demu hakumpenda toka mwanzo, she just loved what the guy was providing, amwache aende wala asiwaze mambo ya ufundi kitandani wala kumhurumia atakuja kutendwa aumizwe zaidi ya hapo