livewise1
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 837
- 972
Salaam!
Nilihadihiwa jana na workmate namna alivyoachwa kwenye mataa na aliyekuwa mpenzi wake.
Wamedumu kwa mwaka 1, mwezi wa 7 huu uliopita bibie akanyuti bila taarifa kuwa ameamua kuachana na brother.
Namna alivyompata, alikuja kuomba ushauri namna gani ata cope maisha ya u single mother baada ya kufiwa na mumewe akiwa ameachiwa na mtoto anaesoma grade 4.
Akashauriwa daily routine zake ziweje na aendesheje duka bila kuathiri malezi halisi kwa binti yake.
Baada ya kuona ushauri wa mshauri ni mzuri basi bibie akafunguka na kumuomba brother wawe wapenzi [hiyo ni baada ya muda kupita wakiwasiliana]
Akampa mshauri nafasi wakapendana mpaka wakapanga mipango mikubwa ya kutengeneza family.
Brother akavaa Majukumu ikiwemo kumshauri namna gani biashara itakuwa kubwa...
Baada ya miezi 8 hatua ikaonekana lakini bibie akawa anarusha ratiba ya kuowana. Jamaa akaona sio mbaya kulingana na historia ya bibie [ametoka kufiwa hata miaka 3 haijapita]
Kumbe lengo ilikuwa kumuweka brother karibu ili anufaike na ushauri na sio mpaka ndoa...mwezi wa 7 huu akawa amenyuti kimyaaa hapokei simu wala hajibu meseji...na akawa amehama makazi na frame ya biashara.
Jamaa akaenda kuripoti police kuwa bibie haonekani na simu haipokelewi, so hajui hali gani aliyonayo huko labda kafa.
Akaambiwa watafuatilia, lakini kabla hajafika nyumbani sms ikaingia kutoka kwa bibie.
"Najua unanitafuta sana, nimeamua kukuacha kimya kimya kwa sababu ningekwambia ungeniambia maneno nilainike nishindwe kukuacha bure...unapangilia sana maneno ukiongea mimi huwa nashidwa kufanya uamuzi wangu nikikuskiliza, naona inatosha sasa kila mtu aishi kivyake nashukuru kwa msaada wako na pia tambua sio kila kitu utakachopenda utakipata. Utakuwa mjinga kama utaendelea kunitafuta maana mimi sina haja na wewe tena. Nakutakia maisha mema upate mtu mwingine uowe ushakuwa mkubwa na unatosha kubeba majukumu"
Baada ya kukaa huko aliko mwezi mmoja tu mambo yameenda mrama anaomba radhi arudi tena.
Jamaa anajiuliza ampe second chance bibie au amuache tu?!
[Maana hajui tatizo litajirudia ama limeshapita ndio maana anaomba radhi]
Ushauri wako zingatia;
-hali ya mlimbwende (mjane)
-jitihada zake ktk kulea family (maturity)
-Juhudi alizowekeza Jamaa kumsaida bibie.
Wasalaam.