Nyama ya Mbuzi wa Kenya sio watamu kama wa Tanzania

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Mbuzi wa Kenya au nyama ya Kenya si tamu.

Nimekula nyama pale Ndarara, Last, Mchukini au pale Rombo ya kenya, Njukini, Sitafu. Nimejihakikishia Kenya hamjawahi kula nyama tamu.

Njooni Weruweru Mnadani mule nyama zenye ladha.

Kenya mnakwama wapi?

images.jpg
images-1.jpg
images-2.jpg
images-3.jpg
 
mbuzi wa tz hasa wa dar wanajichunga na kuvuka barabara kupitia zebra crossing. lazma wawe wa
tamu
 
Mbuzi wa Kenya au nyama ya Kenya si tamu.

Nimekula nyama pale Ndarara, Last, Mchukini au pale Rombo ya kenya, Njukini, Sitafu. Nimejihakikishia Kenya hamjawahi kula nyama tamu.

Njooni Weruweru Mnadani mule nyama zenye ladha.

Kenya mnakwama wapi?
Mbuzi wa Kenya wanashindia makaratasi ya big g chakula hamna. Huo utamu wataupata wapi?
Maganda ya big jii na mabaki ya mirungi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom