Nyama safi ya popo.....

Nyama safi ya popo.....

Kuna watu wanakula kila kitu isipokuwa MAWE tu
Na mawe yangelainika wangeongeza chumvi na kula
Mnasema mmestaarabika wenzenu wanafakamia kila kitu
Tulikamata kenge wanne na jamaa akaanza kuwachinja kwa kweli huyu kiumbe alinitisha alipoweka kiganja shingoni kuzuia kisu lakini wote walikula kisu
Moto ukakokwa lakini cha ajabu nyama inatetemeka hata baada ya kupikwa sana.
Unapakuwa bado inatetemeka

Popo nimeona watu wakila ukitembelea Bangkok na Burma na Philippines utaona mama ntilie wanauza popo na pia kuna wale mende wakubwa sio wa chooni

Mende ni among richest sources za protein mkuu
 
Mende ni among richest sources za protein mkuu
Nilikuwa na mdada mmoja mwenyeji alikataa kula hotel akaniambia atakula kwa street vendor
Du niliona popo, vyura na nge pamoja na mende hao wakubwa.

Akaagiza chakula chake akachanganyiwa na mende akashusha na snake wine
Niliita taxi hapo hapo
 
Hahah ungetest tu mkuu
 
Back
Top Bottom