Nyama safi ya popo.....

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,071
21,547
Ama wanasema tembea uone mengi na never say never. Wakati sehemu nyingi katika bara la Africa tunawachukulia popo kama viumbe vinavyohusishwa na imani za kishirikina na hata muonekano wake tu ni wa kuogofya kwa baadhi ya watu, katika baadhi ya maeneo ya bara la Asia kama Indonesia, mnyama huyu anatumika kama kitoweo maridhawa kabisa hususan wale wnaoitwa fruit bats,unaambiwa ni watamu mithili ya kuku sekela.
20180525023933.jpg
20180525023907.jpg
20180525023732.jpg
20180525024057.jpg
20180525023830.jpg
20180525023805.jpg
images%5B1%5D%5B1%5D.jpg
 
Back
Top Bottom