Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,595
Mbona title ya post yako na content ya post haviendani?
Title inasema nyama choma imepigwa marufuku udsm, press release ya udsm inaonyesha ile nyama choma festival ndo haitafanyika udsm tena.
Ukisema nyama choma imepigwa marufuku udsm bila kuweka neno festival inaleta picha kwamba hata pale cafeteria nyama choma haitauzwa tena.