Nyama choma yapigwa marufuku UDSM

Nyama choma yapigwa marufuku UDSM

Njooni huku sio lazima hapo Udsm
 

Attachments

  • 1418622949533.jpg
    1418622949533.jpg
    75.8 KB · Views: 125
  • 1418622981149.jpg
    1418622981149.jpg
    105.5 KB · Views: 114
Nakumbuka demu wangu aliingiaga peke yake. Mimi sikua na kiingilio. Alirudi alfajiri. Nampenda.
 
Nakumbuka demu wangu aliingiaga peke yake. Mimi sikua na kiingilio. Alirudi alfajiri. Nampenda.
Kwani hilo tamasha la nyama choma huwa linakesha? Na alikesha Anakula nyama choma au na mbichi pia?[emoji3]
 
Hilo tangazo lingetoka November 5, 2015 hadi 17 march 2021 ungeskia ni maelekezo toka juu...
 
Back
Top Bottom