Nyama choma yapigwa marufuku UDSM

Nyama choma yapigwa marufuku UDSM

ohhh.jpg
Hapa lazima waliohudhuria wapinge hii ban. Hiki ndo chuo cha Taifa.....lol
 
Hilo la destruction of the grounds nalikubali... Watu wamevunja chupa uwanjani yani kwa sasa huwezi kutembea peku peku maana utachanwa miguu. La traffic jams mbona liko mji mzima... La noise nalo mmh! Sina majibu nalo... But tutapamiss sana UDSM grounds maana palikuwa so convenient...
 
Seriously. ???? Watu bana....

Mi nipo coet hapa ,wadada walikamuliwa kinoma,tena wadogo zetu,Walipewa chips wakakalia deshelele,jmani udsm inakufa,TBL acheni kuuuwa elimu:

Dont drink & Drive:--Mbona bar zina parking?
Au huwa wanakunywa fanta na coke
 
on top of that condom kibao zimeokotwa kwenye parking watu kweli walikula nyama ahahahahaha

KWA HIYO MKUU UNATAKA KUNIAMBIA KUWA HIZO NYAMA WALIZOKULA KWA KUTUMIA KONDOM ZILIKUWA NAZO ZIMECHOMWA? Hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa!
 
Good!
Nilikuwa na jamaa yangu "mtu wa serikali" nilienda kumpigisha tizi pale siku ya festival,tukakuta uwanja umefungwa,kelele za muziki nyingi,viwanja vyote vinatumika kwa festival.
Akaniambia turudi jnne.Njiani akawa analalamika inakuwaje maeneo ya wazi ya michezo ambayo yanahitaji utulivu na access kwa wanamichezo yanaingiliwa hivi?
Disco,pombe na ngono ndani ya viwanja vya michezo wapi na wapi?
Kwa jinsi alivyolalamika na ukizingatia utulivu uliopo eneo lile "watu wa serikali" hupendelea sana kufanya mazoezi ya afya pale,nikajua lazima watakinukisha tu na kwa kweli nakubaliana nao.
Jnne tumeenda,tumekuta chupa za pombe na condoms,toilet papers hadi chini ya miti ile inayozunguka eneo lile karibu na barabara upande wa mawasiliano towers.

Chuo kikuu mmewatendea haki wanamichezo,hongera sana.

Tuwe na kiasi,sio kila mahali tunapageuza ukumbi wa disco.

Viwanja vya udsm ni mojawapo ya maeneo machache yaliyobakia Dar ambayo mazingira yake ni rafiki kwa wanamichezo,utulivu,pamejitenga,pamezungukwa na miti na open space inayozuia kelele na hewa chafu ya barabarani isifike pale,ukipiga tizi pale ni kama unafanya meditation kwa jinsi palivyo tulivu na hewa safi.
Hebu tafuteni sehemu nyingine kupeleka hayo mababeli yenu jamani,tuachieni dunia yetu ndogo iliyobaki na amani na utulivu,dunia kubwa mmejenga mabar,kumbi,ghorofa etc,hakuwatoshi,mmeamua kuja kutuingilia na huku kwenye kaedeni ketu kadogo kalikobakia?si haki jamani.

Mkandala mwenyewe utamkuta anazunguuka mle akipiga tizi,halafu mnamharibia edeni yake!

"Waserikali" mmenifurahisha kwa hili.Najua tu mmehusika kimaamuzi.Saafi,abomination imeondoka mahala patakatifu,TUACHENI TUPUMUWEE!
 
itakuja kupigwa ban mazima kabisa labda waipeleke mikoani na waibadilishe jina
 
Mbaya zaidi wanasoma kwa kodi ya mlalahoi. Hawa ndo kina chenge wa badae
...ndiyo! Andrew Chenge' aliyekuwa mwanasheria mkuu! Mbali na UFISADI wake, juzi tulimkabidhi kazi ya kututungia KATIBA PENDEKEZI, ambayo tumeisha ikabidhi kwa Mh. Rais JK, "kwa sasa tunasubiri wananchi waipigie kura ya kuipitisha! "bilashaka kwa uzoefu wa mbinu ***** za chama tawala sisiem WANAWEZA KUIPITISHA, ndiyo Andrew Chenge: Toka Ufisadi hadi Uandishi wa Katiba pendekezi ya wananchi wa Watanzania. "KWAHIYO AKINA CHENGE WANAKUBALIKA NCHI HII
chenge.jpg
 
Mi nipo coet hapa ,wadada walikamuliwa kinoma,tena wadogo zetu,Walipewa chips wakakalia deshelele,jmani udsm inakufa,TBL acheni kuuuwa elimu:

Dont drink & Drive:--Mbona bar zina parking?
Au huwa wanakunywa fanta na coke

Haha aisee...tamaaa...tena na vifest year ndo vimetinga
 
👈🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢🐢choma
 
Back
Top Bottom