babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,949
- 6,752
Anaefuata ni MboweAliwahi kusema Nyerere ukizoea kula nyama ya watu ni ngumu kuacha. Kesho Nyalandu kuzindua rasmi kampeni ya kuunga juhudi awamu ya sita na amewasili rasmi huko jijini Dodoma leo majira ya saa kumi na dakika 45 jioni. Je! Baada ya Nyalandu kufungua dirisha hiyo kesho, tutarajie ni akina nani watafuata!
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app