Nyalandu kuvua gwanda kesho kikao cha CCM

Nyalandu kuvua gwanda kesho kikao cha CCM

Kwanini husemi kama ni tetesi? Una ushahidi upi? Au wewe ni msemaji wake?
 
Ngoja turudi tulikotaka, hapa ndio utaamini hatujawahi kujua tunachotaka. Of course wale walioumizwa na mwamba kwa kubamizwa na mirija kufungwa wanakula biriani kwa furaha.
Kwani Tulikuwa tunataka upuuzi wa Jiwe na ufisadi wake?
 
Ngoja afanye ambalo nafsi yake itafarijika.
Inawezekana alichokikimbia hakipo tena.
Au kafuata ukatibu uenezi wa chama? Maana siasa hazina urafiki wala uadui wa kudumu
 
Kwa jinsi ndugu yake Lisu alivyo fanyiwa alikuwa hana option.
Unakula kuku huku ndugu yako anapumulia mashine, kwenda kumuona tu nongwa.
Mwigulu ndio anaroho ngumu sana, alifumba macho ndigu yake alipochapwa vyuma vya miguu.
Acha arudi hakuwahi gombana na mtu ccm tena alitoka akiwa mbunge, ni shujaa anaefaa kwa chama chochote.
 
Aliwahi kusema Nyerere ukizoea kula nyama ya watu ni ngumu kuacha. Kesho Nyalandu kuzindua rasmi kampeni ya kuunga juhudi awamu ya sita na amewasili rasmi huko jijini Dodoma leo majira ya saa kumi na dakika 45 jioni. Je! Baada ya Nyalandu kufungua dirisha hiyo kesho, tutarajie ni akina nani watafuata!
Dr. Nyalandu
 
Mheshimiwa Godbless: hwbari za Manotoba, au ni Toronto? Ndugu yangu weye umesoma shule nzuri kulikuwa na novel za James Hadley Chase au Peter Cheney dina hakika. Unazikumbuka hizi?
1. Believe this, you will believe anything
2. Just another sucker
3. What is better than money ?
4. No orchids for Miss Blandish
5. Tell it to the birds.
6. Adili na Nduguze (hiki ni cha S. Robert, kinaongelea manyani?)

Hapa kinachomfaa Mhe. Nyalandu ni kipi? Au una kingine?
 
Back
Top Bottom