Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,854
Nyalandu amewashika Mapupu mnatapatapa .
Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Lilimkunja twiga hadi akaingia kwenye ndege halafu likaenda kushika makalio ya askari wa wanyama pori.
Nielekeze niufuatilie.Utamu wa hoja humu ni kwamba kitu kisikupite ili mpae pampja Mkuu.Na kikupita humu waungwana ni wengi watakuelekeza.Niko hapa Mkuu.Kuna uzi uko humu amezungumziwa kiundani
Mkuu
Ova
Kagewe na wewe. Kwa taarifa yako na kwa wenzio unaowatumikia subirini chaguzi hAta kwa usimamizi wa maDED wenu.Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Sovereign set ha ha haRuksa kugawa kadi hata chooni!!
Hii ni nchi huru wacha kila mtu afanye siasa kwa muda wake!
Hayajielewi haya majamaa, ndio maana yanaishia kuzungusha mikono na kudeki lami.Hahahah machadema eti saivi yanaliita likamanda, sijui yalipigwa ndumba na nani
Sasa wametosa kama chambioNyie j4 mjusi mlimleaaa mkamtumia pia
Ova
Hilo ni jizi kaja huko ufipa kujificha tutamfata huko hukoKamuulize msomali Kinana
Jizi la wanyama pori wetu hilowakati yeye anaiba wewe ulikuwa wapi?
Nenda kashtaki
Syo unabakia kupiga kelele humu
Ova
Na lile lililouza nyumba za serikali kwa bei poa tena kwa kujuana na nyingine kugawia vimada wake tuliiteje?
Kwani ni kosa? mbona mie niliunga juhudi nikapewa kadi?Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Nenda kafungulie mashtakaLi Nyalandu ni jizi lilisafirisha twiga na fisi kwa wingi sana
Dola ya CCM imepigwa ganzi inashindwa kumpeleka mahakamani?Lilimkunja twiga hadi akaingia kwenye ndege halafu likaenda kushika makalio ya askari wa wanyama pori.
Nenda kafungulie mashtaka
Ova