Nyalandu anagawa kadi za CHADEMA misibani Singida

Nyalandu anagawa kadi za CHADEMA misibani Singida

Nadhani ndio papaa aliebakia mbadala Wa mamvi....sasa hamna budi kumtengenezea mafuriko ya uongo ili mipango mingine iende.

Sent from my H8402 using JamiiForums mobile app
 
Acha uzushi ila makada wako uchwara walipotinga kwenye mazishi ya aliyekuwa mwenyekiti wa IPP na mavazi yao ya kijani hilo hukuliona na hukulalamika,elewa hii ni nchi yetu wote sio wateule wachache wanaoshabikia pale Lumumba,ipo siku kila mmoja wetu humu atakuwa na furaha,just imagine our country inakuwa na JUDICIARY huru,freedom of expression,freedom of press,NEC huru,social services zinazofanya kazi etc etc ,tutafika huko
Ndugu kwanza mimi sipingi kugawa card popote pale , lakini wanaChadema nanyi muwache unafiki kama hawa wanaccm wenzangu wanaopinga hili la nyalandu.

Polepole alipokuwa mazishini kwa Mengi, mlimtukana kwa kuvaa shati la kijani, hakuna tusi lililo wachwa.
 
Picha ipi anagawa kadi?
Hivi hata angekuwa anagawa kadi, kati ya hela anazogawa Makonda na hizo kadi ni nini hasa kingefuzu kuwa mjadala?
Makonda hagawi kadi anagawa vitambulisho kwa wafanyabiashara maarufu machinga bila kuuliza itikadi ya mtu, Nyalandu anagawa za Chadema yupo ki itikadi zaidi misibani na kimaslahi na si kufariji waombolezaji ni balaa hili.
 
Acha uzushi ila makada wako uchwara walipotinga kwenye mazishi ya aliyekuwa mwenyekiti wa IPP na mavazi yao ya kijani hilo hukuliona na hukulalamika,elewa hii ni nchi yetu wote sio wateule wachache wanaoshabikia pale Lumumba,ipo siku kila mmoja wetu humu atakuwa na furaha,just imagine our country inakuwa na JUDICIARY huru,freedom of expression,freedom of press,NEC huru,social services zinazofanya kazi etc etc ,tutafika huko
Nkanini hujakosea walionekana wakigawa kadi za CCM, nafikiri hapa kuna uchizi mtu asivae nguo za kijani kwenye msiba,bullshit.
 
Koli koli tu ndio kilichobaki hata hivyo inapendeza sana tofauti na Yale manguo yenye rangi ya majani ya upupu.
Nguo za kijani zitakutesa Sana kwa maana miaka sita ijayo utaendelea kuzishuhudia ziking'ara na kulipeleka Taifa mbele kimaendeleo.
 
hivi akitokea mwingine anagawa kadi harusini si atagawa tuu kwani kugawa kadi au kujiunga na chama flani kunamuda maalumu? tena anagawa mi nilifikiri ananunua watu.. Eboo msilete siasa za maji takataka.........kwani huko vyuoni watu si wanachukua kadi za chama fulani nyingi tuu mbona hamsemi na hao muwapige picha hii nchi sijui ina vichaa sampuli gani.....
Kugawa kadi misibani duuuu!!!
 
Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .

Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .

Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .

NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
UZURI NI KWAMBA, HAO WAZEE haya hiyo PICHA ya KWANZA, kwa ndani ANA T-SHIRT YA CCM,

pia hata katika hiyo PICHA ya pili HAO AKINA MAMA (DADA) WAME JIFUNDA SARE ZA CCM.

Asomae na afahamu.....!
 
Wajifya wang'u wanyaturu wameshituka
Wameshtuka vipi?Kuwa watampigia kura au hawatampigia?

Kipi ambacho hakukifanya anataka kwenda kumalizia?

Alivyotangaza kujiuzuru wakati ule wananchi wake walikuwa bado wanampenda au hapana?

Singida Kaskazini watakuwa na akili au za kumpigia mtu kura aliyewaacha kihuni,huku anatamani kurudi kwa mlango wa nyuma tena?

Ubunge zaidi ya miaka 15, jimbo alilihudumia vyema au aliliacha hoi bin taabani?

Hivi wapambe wake wakuu Hanje na Digha bado wanamsapoti,bado ni viongozi wa chama au?Kuna jamaa wa huko alisimulia kuwa Hanje(alikuwa M/Kiti CCM -Wilaya)ana hali mbaya kiuchumi,kwani msitiri wake Nyalandu hamgawii tena shekeli.Alikuwa na nyodo kweli kweli,sasa hivi nyodo za kijinga kwishney.

Wana kaskazini msifanywe tumbili,kataeni ujinga ujinga na mwakani msirubunike kama kweli kadi mnagawiwa.

Ujinga na umaskini wenu ndio mtaji wa wajanja wajanja wa mjini kunufaika kupitia migongo yenu.

Msikubali upuuzi wana-kaskazini.Baada ya uwaziri kuota mbawa eti CCM imekuwa mbaya?Muda wote ilikuwa nzuri alipokuwa kiongozi?

Gazeti la Jamhuri na waandishi wake akina Manyerere Jakton bado wana kopi za kiuchunguzi kuhusu madudu ya Wizara ya Maliasili na Utalii,kama hawana nakala zipo maktaba.

Acheni kurubunika kitoto HIVYO,eti sina ugomvi na wananchi,ugomvi wangu mimi na CCM tu,kwanini asiseme ugomvi wake yeye na CCM ni baada ya kuukosa Uwaziri?
 
Kabikula anayehangaika ni Nyalandu,CCM ipo imara Kama una chuki na CCM ni wewe mamilioni tunamuunga mkono JPM kwa kazi zake zinazoonekana na kupimika.
CCM Ina Serikali ipo madarakani inatawala, Chama Chako kinaendelea kuchuchumaa nje miaka 30 kikiomba CCM idondoke, sasa hapa anayehangaika ni nani tumia akili ya kuzaliwa huhitaji hata darasa moja hapo. Kabikula!!!!
 
Back
Top Bottom