Naliona hilo lakini itabidi wafanye kazi ya ziada. Nyarandu anajua lililopangwa anacheza na akili zao.Nia ni kumbambikia kesi FAKE ili wamfunge.
Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Huyu anafurahia mtu akifa. Wahenga walisema kufa kufaana. Kweli wasingida mila zenu za kiajabu mnaruhusu uchuro kama huu misibani. Kwa duniani wasingida mmeweka rekodiInaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Mwisho utasema huo ujauzito wako umesababiswa na Nyalandu!Inawezekana huu msiba umetengenezwa na Nyarandu!
Nawe unalitaka hilo Jimbo? mbona mayowe mengiInaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Kuwa mwanasiasa mpinzani kwa Africa sio issue ndogo hasa ikitokea unataka siasa iwe ajira yako ndio maana gambaz wananuna Sana kwa Lisu na Mbowe huyo Wenje sina hakika ila anaweza kuunga JuhudiWamechelewa kidogo.
Lakini ni bora kuchelewa na kufanya, kuliko kuchelewa na kutofanya kabisa.
Aongeze spidi. Hiyo ndio maana ya kuwa mwanasiasa, kutafuta njia yoyote kufikisha ujumbe kwa wahusika. Wahusika wakikataa kufikiwa kwa njia hiyo, sidhani kuwa atathubutu kuendelea na njia hiyo.
Wakati huu vyama hivi vinatakiwa kufanya hivyo kila sehemu nchini.
Ngoja niulize kwa anayejua jibu. Hivi Wenje alikufa au aliondoka CHADEMA alipopoteza jimbo? Ni swali tu, nikipata jibu nitashukuru. Wapo wengi wa aina hiyo ambao ningewataja kwa swali hilo. Nimeamua kumtaja Wenje leo kama mwakilishi wao.
Mkuu wahi na wewe ujipatie kadi moja.Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Aliwapakia kwenye dreamliner au bombadier?Akalete tembo, sungura, nyani,twiga na nyumbu alio safirisha ulaya ndio aendelee kugawa vi kadi misibani
Kashindwa kuwatendea mema alipokua waziriSasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
mpelekeni mahakamaniHili ni lijizi enzi za uwaziri wa utalii lilifanikisha kuibiwa kwa tembo, fisi, zebra, nyani ni jizi hilo.
Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Picha ipi anagawa kadi?
Hivi hata angekuwa anagawa kadi, kati ya hela anazogawa Makonda na hizo kadi ni nini hasa kingefuzu kuwa mjadala?
Acha ujinga.Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .