Hivi wewe ulitumwa? si na wewe gawa za kwako.Au huna,kama huna kachukue kuleeeeee na wewe usubiri msiba kwenu ugawe.We umeona akigawa, kama huna cha kuweka humu💃safi sana kamanda nyarandu
Hivi wewe ulitumwa? si na wewe gawa za kwako.Au huna,kama huna kachukue kuleeeeee na wewe usubiri msiba kwenu ugawe.We umeona akigawa, kama huna cha kuweka humu💃safi sana kamanda nyarandu
kutokana na maelezo ya mtoa post kwamba nyarandu kagawa...kwa upande wangu sioni kesi kigawa kadi msibani...ni kazi nzuri tu kama serikali haitaki mikutano na makongamano ambayo ndo kaz zake hizoHivi wewe ulitumwa? si na wewe gawa za kwako.Au huna,kama huna kachukue kuleeeeee na wewe usubiri msiba kwenu ugawe.We umeona akigawa, kama huna cha kuweka humu[emoji126]
Lugha mnaharibu na sasa mmehamia hadi majina ya watu... hivi nyie washamba na limbukeni kwa nini hamrudi mapangoni mlikotoka? Si Kiswahili, si Kiingereza na nadhani hata lugha zenu mnazoziita za asili mnaziharibu hivi hivi...tafadhali mtuachie majina yetu kama yalivyo.Inawezekana huu msiba umetengenezwa na Nyarandu!
Hakuna kuchagua mtu hapo.Woooote wapate kadi Mkuu kama zipo.Usiangalie rangi za mavazi.Tanzania ni yetu.Hakuna kubagua mtu.Tulishabaguliwa na wakolono yatosha.SASA BASI.............Nyalandu amedhamiria kuiteketeza ccm Singida
View attachment 1117785View attachment 1117786View attachment 1117787
Picha ipi anagawa kadi?
Hivi hata angekuwa anagawa kadi, kati ya hela anazogawa Makonda na hizo kadi ni nini hasa kingefuzu kuwa mjadala?
Hata kama anagawa kadi so what!?
Uzushi mtupu!
Nyalandu kishaamua kuiteketeza ccm , na tayari kila kitu kimepangwa kudadeki ! kama mbwai iwe mbwai tu !Nia ni kumbambikia kesi FAKE ili wamfunge.
Ushujaa wa Nyalandu umetukuka !Siasa za awamu hii ni vita, silaha uliyonayo ndo unaitumia au hujawahi kuona wengine wanafanya siasa msibani?
Mbona cjaon mkono wa Nyalandu ulioshika kadi. Kwa upande wangu nimeona kuna mzee kashika kadi yake kifuani uku nyalandu akiangalia wazee wawili wakisalimiana.Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Mwache agawe kadi, nyie gaweni ISTInaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Lilimkunja twiga hadi akaingia kwenye ndege halafu likaenda kushika makalio ya askari wa wanyama pori.Hili ni lijizi enzi za uwaziri wa utalii lilifanikisha kuibiwa kwa tembo, fisi, zebra, nyani ni jizi hilo.
Huyu mzee nadhani alikuwa na kadi yake anatembea nayo mfukoni kwake.Mkuu alipokwenda kumsalimia tu mzee akaichomoa.Ishara kwamba tupo pamoja Mkuu.Hii ni baada ya maziko kwisha.Singida Bwana.......... Nyie Nendeni tu.Mkirudi mtanikuta hapa.Mbona cjaon mkono wa Nyalandu ulioshika kadi. Kwa upande wangu nimeona kuna mzee kashika kadi yake kifuani uku nyalandu akiangalia wazee wawili wakisalimiana.
Endeleeni kujidanganya na kujifariji.. Tatzo upinzani mmekosa ajenda.. Mmezuiliwa mikutano ya kisiasa, mpo mpo tu mpaka miaka mitano inaelekea kukata.2020 kila mmoja atapambana kivyake hata huyo jiwe hatoweza kujigawa kila Jimbo maana hata yeye atakuwa hajui hatima ya uraisi wake.
Mbeleko Lina mwisho wake hasa Kwa nafasi za ubunge na madiwani hawa polisi waliopo hawatoshi Tanzania nzima
Kwani Mkuu J4 Mjusi ni naniNyie j4 mjusi mlimleaaa mkamtumia pia
Ova
Kuna uzi uko humu amezungumziwa kiundaniKwani Mkuu J4 Mjusi ni nani