Wamezuia mikutano ya vyama sasa wanataka kadi zigawiwe wapi, mbinguni?Nenda kashtaki
Syo unabakia kupiga kelele humu
Ova
Wamezuia mikutano ya vyama sasa wanataka kadi zigawiwe wapi, mbinguni?Nenda kashtaki
Syo unabakia kupiga kelele humu
Ova
Uoga ulishakujaa kifuani hadi unakimbilia kutapeliwa as if hilo hajalipa nafasi kama likotokea!Ngoja makamanda wamtapeli akishaishiwa atatulia
Wamezuia mikutano ya vyama sasa wanataka kadi zigawiwe wapi, mbinguni?
Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Picha ipi anagawa kadi?
Hivi hata angekuwa anagawa kadi, kati ya hela anazogawa Makonda na hizo kadi ni nini hasa kingefuzu kuwa mjadala?
Uzushi mtupu!
Umesema kweli kabisa labda kama inaruhusiwa kuazima kutoka kwa marafiki zetu wa damu2020 kila mmoja atapambana kivyake hata huyo jiwe hatoweza kujigawa kila Jimbo maana hata yeye atakuwa hajui hatima ya uraisi wake.
Mbeleko Lina mwisho wake hasa Kwa nafasi za ubunge na madiwani hawa polisi waliopo hawatoshi Tanzania nzima
Isije ikawa CHADEMA inasababisha misiba ili wagawe kadi!
Kwa usemi huu unatuonyesha kuwa una matatizo ya ubongoInawezekana huu msiba umetengenezwa na Nyarandu!
mimi sioni tatizo kabisaa,piga kazi mh Nyalandu,mmoja wa mawaziri wazuri sana kiutendaji kuwahi kutokea japo alihudumu mwaka mmmoja tu
Nenda kashtaki
Syo unabakia kupiga kelele humu
Ova
Kama kuna kiongozi au 'planner' aliyekosea ni huyu aloyeanziasha sare za vyama. Hili la kila chama cha siasa kuwa na sare zake ni tatizo kubwa sana kwa umoja wetu wa kitaifa. TUONDOE HIZI SARE NA VIBENDERA BENDERA VYA CHAMA TUBAKIE NA BENDERA YA TAIFA TU. Watu tujitambulishe kwa sera na hoja za kulijenga taifa siyo kujenga vyama na kujitambulisha kwa kuvaa sare za vyama.Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
safi sana kamanda nyaranduInaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Usiseme uzushi, ni kweli anagawa kadi, tunajuaje kama hao wananchi wameomba awaletee kadi, na kutafuta wanachama ni haki ya kila chama, iwe Arusini, msibani, uwanjani kwenye soka, night club au popote.Uzushi mtupu!