angekuwa wa ccm mngetoa kauli ngumu na matusi mengi sana. ...sasa mchezo si mmeuanza ngoja upand wa pili nao waucheze ili msilalamikeWewe nenda ukagawe vitambulisho vya wajasiliamali vitanunuliwa pia
Nenda kashtakiHili ni lijizi enzi za uwaziri wa utalii lilifanikisha kuibiwa kwa tembo, fisi, zebra, nyani ni jizi hilo.
Kwani shida iko wapi? Ulitaka agawe kondom??? Kwani kavunja sheria??Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Mkuu mpelekeni mahakamaniHili ni lijizi enzi za uwaziri wa utalii lilifanikisha kuibiwa kwa tembo, fisi, zebra, nyani ni jizi hilo.
Ungeandika tofauti ningeshangaaIsije ikawa CHADEMA inasababisha misiba ili wagawe kadi!
Wewe nenda ukagawe vitambulisho vya wajasiliamali vitanunuliwa pia
Uzushi mtupu!
Hili ni lijizi enzi za uwaziri wa utalii lilifanikisha kuibiwa kwa tembo, fisi, zebra, nyani ni jizi hilo.
mnafiki mkubwa wewe,liangalie kwanza,KUNA KADI ILIYOGAWIWA HAPO,WANYATURU WATAMPA NYALANDU UBUNGEInaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Kamuulize msomali KinanaHili ni lijizi enzi za uwaziri wa utalii lilifanikisha kuibiwa kwa tembo, fisi, zebra, nyani ni jizi hilo.
wakati yeye anaiba wewe ulikuwa wapi?Hili ni lijizi enzi za uwaziri wa utalii lilifanikisha kuibiwa kwa tembo, fisi, zebra, nyani ni jizi hilo.
Uchaguzi halisi na udhibiti wa vitendo vya kihuni utaanza Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.2020 kila mmoja atapambana kivyake hata huyo jiwe hatoweza kujigawa kila Jimbo maana hata yeye atakuwa hajui hatima ya uraisi wake.
Mbeleko Lina mwisho wake hasa Kwa nafasi za ubunge na madiwani hawa polisi waliopo hawatoshi Tanzania nzima