gunga yenna
Member
- Apr 11, 2019
- 90
- 25
Alipakia kwenye ndege Tupolov kubwa Sana.Atasema mwenyewe aliwapakiaje siku akibanwa awarudishe.
Alipakia kwenye ndege Tupolov kubwa Sana.Atasema mwenyewe aliwapakiaje siku akibanwa awarudishe.
Lakini umasikini unatokana na nini Singida??Hahahahaha, hongera kwa lugha ya kichina.Jamaa kanitafsiria kasema unafaa uambiwe (nitafsie nielewe)ikondu ra mwanyokwe,ikhokuuu.
Lakini umasikini unatokana na nini Singida??
Mkoa huo unapitiwa na barabara kuu, ardhi ni nzuri pia kuna fursa ya ufugaji. Mtapitisha kila aina ya chama kuwa na wabunge tofauti, lakini kama lengo ni maendeleo basi wananchi wahamasishwe kufanya kazi kwa bidii kulingana na fursa zilizopo humo Mkoani, wabunge wana mchango kwenye Jimbo, lakini si
kuwawekea pesa mifukoni wapiga kura wao, wanasaidia kuboresha fursa zilizopo ambazo zinaibuliwa na wapiga kura wake.
Wanasingida tafuteni chimbuko la umasikini wenu unatokana na nini msikimbilie siasa kuwa ni suluhisho la umasikini wenu.
Kuna fursa kama vile;usafiri wa uhakika pande zote kusafirisha mazao kama vitunguu,alizeti,mahindi,mtama ulezi,uwele na maharage.Pia tusisahau mifugo ni mingi (fursa).Lakini umasikini unatokana na nini Singida??
Mkoa huo unapitiwa na barabara kuu, ardhi ni nzuri pia kuna fursa ya ufugaji. Mtapitisha kila aina ya chama kuwa na wabunge tofauti, lakini kama lengo ni maendeleo basi wananchi wahamasishwe kufanya kazi kwa bidii kulingana na fursa zilizopo humo Mkoani, wabunge wana mchango kwenye Jimbo, lakini si
kuwawekea pesa mifukoni wapiga kura wao, wanasaidia kuboresha fursa zilizopo ambazo zinaibuliwa na wapiga kura wake.
Wanasingida tafuteni chimbuko la umasikini wenu unatokana na nini msikimbilie siasa kuwa ni suluhisho la umasikini wenu.
He is an opportunity seekerInaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Hatujaona anapogawa kadi zaidi tumeona akisalimia wazee na vijana. Mtoa post acha wivu.Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Kwani unateseka dada yangu? Hiyo ni operesheni Chadema Msingi, siyo yeye tu iko Tanzania nzima na sasa ndiyo tunamalizia,Chadema akili nyingi,CCM mabavu bila akili.Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
OK,umeongea vizuri kabisa,haya ndiyo mawazo yanayotakiwa.Sio akina Dripboy (Hanje/Digha)wana bwabwaja tu,wanachojua wao CCM ikishindwa katika jimbo hilo basi wana Singida kaskazini watakuwa peponi tofauti na wakati walipokuwa viongozi wa chama katika eneo hilo kabla ya maslahi yao kuguswa na Utawala wa Awamu ya Tano.
Kumbe kubwa zaidi ni juhudi zao katika kufanya kazi na kutumia fursa zilizopo ikizingatiwa eneo hilo ni very productive/fertile na fursa zipo nyingi tu.
Kama watu wataendelea kuwa na mawazo ya kizamani katika kujiletea maendeleo hata kije chama hicho wanachokipigia chapuo itakuwa kazi bure.
Vijana (wa kike na kiume)waache kukimbilia Arusha,Manyara na Kilimanjaro kwenda kwenda kuwa vibarua wa kukata majani ya ng'ombe,kuuza vimigahawa, vibarua mashambani,kuuza viduka uchwara nk.
Wafanyie hizo shughuli Singida ndipo umaskini utapungua kama sio kwisha kabisa.
Hao hao akina Hanje/Digha waliokuwa wapambe wa mbunge huyo sasa hivi wanapita vichochoroni na kuhamasisha watu waunge upande alipo sasa hivi huyo mbunge wa zamani wa CCM.
Bado wana kasumba yao ya zamani kuwa wao ndio Nyalandu na Nyalandu ndio wao kwenye kijiwe chao Kirima baa(sasa hivi watakuwa wamehama kijiwe)
Unafiki hawaachi, wanauma na kupuliza.Hawafuati itikadi ya chama bali mtu aliko kwa maslahi yao binafsi.Hao wapambe nuksi watumie umaarufu wao(kama wanao) kuhamasisha wana Singida wafanye kazi kwa bidii na kwa malengo ili kumpiga vita adui umaskini.
My take:Kuondoa umaskini kwa wana Singida ni juhudi katika kazi na kuzitafuta fursa ziliko na kuzitumia ipasavyo.Mkoa wa Singida unaingilika pande zote kwa barabara nzuri kabisa za lami.
Kiongozi wangu gunga yenna tupo pamoja?
Mkandahari mtu wa Kandahar hakika mchovu wa hoja kaa pembeni.Mwache agawe tu, na wewe ukitaka kagawe zako. Wivu wa kike tu umekujaa
WAKATI AKIIBA USALAMA WALIKUWA WAPI? JE RAIS ALIKUWEPO? KULIKUWA HAKUNA IGP? UMAMIAJI JE NAO WALIKUWA WAMELAZWA WOTE AU?Hili ni lijizi enzi za uwaziri wa utalii lilifanikisha kuibiwa kwa tembo, fisi, zebra, nyani ni jizi hilo
NDO maana nyie mwatumia policcm?Ngoja makamanda wamtapeli akishaishiwa atatulia
Peleka majina na vielelezo ulivyonavyo polisi, husikii weye?Chadema yanatunza majizi
Polepole nae anagawa mbona hamsemi?Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Sasa mbona mnasajili mapolisi?Chama chenyewe kimejifia alafu nyalandu sio mjenga chama.