Laliga
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 286
- 386
Atasema mwenyewe aliwapakiaje siku akibanwa awarudishe.
Aliwapakia kwenye dreamliner au bombadier?
Aliwapakia kwenye dreamliner au bombadier?
Yani wewe ni FALA unauliza maswali alafu unajijibu mwenyewe eti unajiita Tusipotoshane Munyio muny'okweee.Wameshtuka vipi?Kuwa watampigia kura au hawatampigia?
Kipi ambacho hakukifanya anataka kwenda kumalizia?
Alivyotangaza kujiuzuru wakati ule wananchi wake walikuwa bado wanampenda au hapana?
Singida Kaskazini watakuwa na akili au za kumpigia mtu kura aliyewaacha kihuni,huku anatamani kurudi kwa mlango wa nyuma tena?
Ubunge zaidi ya miaka 15, jimbo alilihudumia vyema au aliliacha hoi bin taabani?
Hivi wapambe wake wakuu Hanje na Digha bado wanamsapoti,bado ni viongozi wa chama au?Kuna jamaa wa huko alisimulia kuwa Hanje(alikuwa M/Kiti CCM -Wilaya)ana hali mbaya kiuchumi,kwani msitiri wake Nyalandu hamgawii tena shekeli.Alikuwa na nyodo kweli kweli,sasa hivi nyodo za kijinga kwishney.
Wana kaskazini msifanywe tumbili,kataeni ujinga ujinga na mwakani msirubunike kama kweli kadi mnagawiwa.
Ujinga na umaskini wenu ndio mtaji wa wajanja wajanja wa mjini kunufaika kupitia migongo yenu.
Msikubali upuuzi wana-kaskazini.Baada ya uwaziri kuota mbawa eti CCM imekuwa mbaya?Muda wote ilikuwa nzuri alipokuwa kiongozi?
Gazeti la Jamhuri na waandishi wake akina Manyerere Jakton bado wana kopi za kiuchunguzi kuhusu madudu ya Wizara ya Maliasili na Utalii,kama hawana nakala zipo maktaba.
Acheni kurubunika kitoto HIVYO,eti sina ugomvi na wananchi,ugomvi wangu mimi na CCM tu,kwanini asiseme ugomvi wake yeye na CCM ni baada ya kuukosa Uwaziri?
mpelekeni mahakamani
Yani wewe ni FALA unauliza maswali alafu unajijibu mwenyewe eti unajiita Tusipotoshane Munyio muny'okweee.
Singida umasikini umekithiri sana watu kule wameamua kubadilika Kuna Magrupu ya mitandao ya kijamii si chini ya 15 ya WhatsApp na Facebook na huku Facebook kuna wafuasi 350K wanaonyesha walivyochoka na wabunge wapumbavu wa CCM kwenye mkoa wao.
Kuna Kingu huyu hawamtaki hata kumsikia sijui ni wa jimbo gani, Mwigulu nchemba inabidi avae helmet la sivyo mawe yatamsabahi sana.
Maandazi wewe wakati mwingine uwe unauliza maswali kisha usubiri majibu sio unauliza maswali na unajijibu
Mamako alitoa ushafu.Inawezekana huu msiba umetengenezwa na Nyarandu!
TYOMBANA MOGANGE NDEZU LUSHINDO LWA NOKOHahahahaha, hongera kwa lugha ya kichina.Jamaa kanitafsiria kasema unafaa uambiwe (nitafsie nielewe)ikondu ra mwanyokwe,ikhokuuu.
Lazima maneno kama haya yatokee kwa vile kafanya mwana chadema(KAMANDA) ila ingekuwa upande wa pili wamefanya haya basi povu,matusi na kejeri zingetawalamimi sioni tatizo kabisaa,piga kazi mh Nyalandu,mmoja wa mawaziri wazuri sana kiutendaji kuwahi kutokea japo alihudumu mwaka mmmoja tu
"Injili" ya ukombozi wa nchi yetu inahubiriwa popote, wakati wowote na kwa mtindo (njia) yoyote haijalishi uko wapi na ni saa ngapi!!Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
TYOMBANA MOGANGE NDEZU LUSHINDO LWA NOKO
Mamkwe subira yavuta heri tukutane January 2021 uwanja wa Taifa Mungu ni mwema tutasali atufikishe, mjadala umefungwa Mamkwe.Una ushahidi wowote wa kuyathibitisha haya Mamkwe?
Unawaelezeaje wanaokusanya kadi za chadema majukwaani?Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Unakumbuka aliiba twiga? Au ndiyo ubora wake huo!!mimi sioni tatizo kabisaa,piga kazi mh Nyalandu,mmoja wa mawaziri wazuri sana kiutendaji kuwahi kutokea japo alihudumu mwaka mmmoja tu
Unakumbuka aliiba twiga? Au ndiyo ubora wake huo!!
Noma, huyo Nyalandu wako ni public figure ambaye ni lazima watu wawe na interest naye, laiti angekuwa kajamba nani Kama ninyi washabiki wake mngekutwa mnagawa kadi za Chadema mngeonekana machizi fulani tu.Acha agawe wewe kinakuuma nini? Huenda hapo ulipo hata kula kwako tabu,badala upige mishe zako na wewe ujenge maisha yako ila umekalia kufatilia maisha ya wenzako, ninyi ndio mnaoturudisha nyuma Kama katika taifa hili, Majungu,Majungu,na kufatilia ya watu badala mfanye kazi.Usiombe siku 1 niwe na mamlaka nitatengeneza sheria ya watu wa hovyohovyo Kama wewe
Nenda na wewe kauze vitambulisho vya wajasiriamali msibani!Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .
Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .
Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638