Nyalandu acha siasa katika misiba

Nyalandu acha siasa katika misiba

Kuna watu walizaliwa wapuuzi. Nyalandu ni mtanzania. Arusha ipo Tanzania. Hata angekuwa ni mbunge wa Kigoma kama ameenda kusaidia watu wa Arusha huo ndo moyo tunaotaka.mtu huyu anayehoji kuwa arusha nyalandu kafuata nini ana akili timamu kweli? Hawa ndo wanaofoji vyeti. Hivi akiunguliwa moto nyumbani kwake akaja mtu toka mtaa wa tano kusaidia kuzima atauliza huyu mtu amefuata nini huku?si ataonekana taahira? Hawa watu wa namna hii jamaa mmoja Guru Master huwa anashangaa kwa nini hawakuondoka na mafuriko miaka ile ya gharika.
 
Wale wazungu wa Samaritan pulse walikuja nchini kwa mwaliko wa Mh Lazaro Nyalandu jimboni Kwake singida Kaskazini wakati wa Matatizo ya ajali inatokea hawa Wageni walikuwa njiani kurudi Arusha tayari kwa Safari ya kurudi America Ndiyo maana mmemwona mh nyalandu akihangaika Sana suala Hili Kama mratibu WA shughuli zote Za Hawa Watoto kwenda kupata matibabu Jamani hata kama hammupendi Nyalandu lakinj kafanya sehemu kubwa kama kiunganishi Kati ya Shirika la Samaritan pulse na watanzania.
Tuachieni siasa kwenye maisha ya watu huuu ubaguzi wenu wachaga itaisha lini? Acheni Tabia hii ni nchi yetu Sote mbona nyie mmejazana kwenye miji ya watu hambaguliwi? Hata hiyo Arusha siyo Mji wenu mbona Hamna hekima?
Nyalandu kuchagua kuishi Arusha ni Haki yake kikatiba
U chagga na ubaguzi unakuja jee hapo tena
 
Hakuna mbunge mzuri ambae ni hazina kubwa endapo angetumiwa kama Nyalandu. Ndio nyinyi si mnazuia Kiki yake kwa kusafirisha wagonjwa marekani kwa ndege private? Basi hicho cha mtoto kama ungemjua nyalandu
 
Watanzania tunachuki sana, mbona Nyalandu kasaidia sana?! Sasa hiyo siasa msibani iko wapi. Ni hapa Tz tu, ukifanya jema unatukanwa. Tujifunze wabongo kutambua michango ya wenzetu.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, kosa la Nyalandu hapa ni nini? Kwani kusaidia lazima utoke Arusha? Kwa wale wote waliokuwepo na kusaidia siku ile ya maafa walitoka Arusha? Kama kuna tatizo kuhusu Nyalandu ni bora useme hapa lakini kwa kusaidia watoto binafsi sioni ubaya wake uko wapi? Tuongee 'case by case' labda kama kuna lolote baya alilifanya huko zamani lakini kwa hili la juzi aa, Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni
 
Nijuavyo mimi huyu Nyarandu anaishi Arusha. Sasa sioni kwa nini asishiriki kwenye msiba. Pia, si peke yake ambaye hakwenda kutoa pole kule Kagera, hata sizo alikuja kwenda wakati watani zake wameanza kusahau yakiyowakuta. Wacha wivu! Nyarandu abarikiwe kwa ila alilofanya katika kuwafariji wafiwa na kusaidia kwa namna yoyote aliyoweza.
Hivi huyu si ni mbunge wa Singida kaskazini ? Huko kwao Huko kuna changamoto kibao kama ukosefu wa maji n. K . Je amejaribu tu angalau kutatua kero Hizo ? Poleni wana singida.
 
Wabongo ni watu wa ajabu sana. Sijui ufanye nn warizike.
 
Nimekuona na nimekushangaa ukiwa busy Arusha unazengea zengea kama nzi karibu na bucha, unatafuta nini Arusha? Hivi huu msiba ni wa Taifa ama kuna masrahi ya watu hapa?

Hata kama una mashirika yako lakini kufikia hatua ya kumwambia mkuu wa mkoa eti pesa itàkayochangwa ihusike kujenga hospitali, si jambo baya lakini mbona haya sikuyaona ukiyasema kule Kagera kwenye tetemeko? Lwakatare alisimama akaomba misaada ya kisaikolojia kwa baadhi ya wahanga ila sijawahi kuisikia hata sauti yako moja. Ama kwako Tz ni hapo Arusha tu? Achia mbali kuzungumza, sikuwahi kukushuudia ukizengea kule hata kwenda kusema pole tu ila leo uko busy Arusha. Watanzania ubaguzi wetu, chuki na roho za kwanini tusipoangalia vitatupeleka pabaya, ubaguzi ni mkubwa sana. Na hawa wanaojiita viongozi wa siasa ndo wako mstari wa mbele kushadadia.

Nyarandu, siku ikitokea kwingine kama ilivyoyokea Arusha usiache kwenda kutoa msaada kwani kusaidia eneo unalotoka tu ukawaacha wengine wasiokuwa na wa kuwasaidia si sawa, unaleta tafsiri mbaya sana

mpuuzi

nyalandu anaishi arusha

nyalandu ni mwenyekiti wa good samaritan Tanzania
 
You need to know Nyalandu ni mwenyekiti wa lile shirika hapa Tanzania na hata kabla ya wazungu wale kwenda ngorongoro wakakutana na ajal walkua wametoka Singida kukagua miradi wanayofadhili na walkua na Nyalandu kW wiki nzima sasa sjui shida yako we we mwenye post ni nin? Kuona Nyalandu akiratibu hiyo support au? Tuache ujinga wakati mwingine.Fanya na we we tuone ili tujifunze kwako

na bado nyalandu ni mkazi ws arusha
 
Nimekuona na nimekushangaa ukiwa busy Arusha unazengea zengea kama nzi karibu na bucha, unatafuta nini Arusha? Hivi huu msiba ni wa Taifa ama kuna masrahi ya watu hapa?

Hata kama una mashirika yako lakini kufikia hatua ya kumwambia mkuu wa mkoa eti pesa itàkayochangwa ihusike kujenga hospitali, si jambo baya lakini mbona haya sikuyaona ukiyasema kule Kagera kwenye tetemeko? Lwakatare alisimama akaomba misaada ya kisaikolojia kwa baadhi ya wahanga ila sijawahi kuisikia hata sauti yako moja. Ama kwako Tz ni hapo Arusha tu? Achia mbali kuzungumza, sikuwahi kukushuudia ukizengea kule hata kwenda kusema pole tu ila leo uko busy Arusha. Watanzania ubaguzi wetu, chuki na roho za kwanini tusipoangalia vitatupeleka pabaya, ubaguzi ni mkubwa sana. Na hawa wanaojiita viongozi wa siasa ndo wako mstari wa mbele kushadadia.

Nyarandu, siku ikitokea kwingine kama ilivyoyokea Arusha usiache kwenda kutoa msaada kwani kusaidia eneo unalotoka tu ukawaacha wengine wasiokuwa na wa kuwasaidia si sawa, unaleta tafsiri mbaya sana
Soma hapa acha kelele, huyu ndiye kaunganisha hii dili la safari
e30b66cfac5e51e02e53e502648e7c9e.jpg
 
Mtu afanye nini ili wakojomile tueidhike? Nyalandu alisomeshwa na haya mashirika......ama mnataka watoto watu wife? Wazo la kujenga hospital lisikukasirishe, hasira zako elekeza kwa ccm inayoendekeza uprimitive na ubabe badala ya kujenga hospitali
 
ina nini?

tunakuambia tunachokijua

Nyalandu ndio mwenyekiti wa samaritan TZ

ni mkazi wa arusha

ni mtanzania

tatizo ni nini??
Mkuu nimerusha maandishi yanayoonyesha kuwa Nyalandu ndiye aliyeunganisha hili dili kwa kuwaweka pamoja Samia na hao madaktari, Samia alipopewa ombi hilo la kutoa kibali akasema aongee na Jpm kwanza na hao madktari wa nje nao wakaomba wawasiliane na nchi yao kwanza, so aliyeleta wazo la watoto kupelekwa nje na kuwezesha hilo ni Nyalandu
 
Huyu Nyarandu ni mjinga kama wajinga wengine. Anatafuta sifa za kijinga baada ya Rais wake kumchunjia baharini. Kabaki kutapatapa tu.
 
Back
Top Bottom