Ndinda Senge
Member
- Aug 29, 2017
- 44
- 30
Hujielewi wewe!, msaada unatoa pale tu unapojisikia, yeye hakuwa kama mwakilishi wa Serikali kutoa msaada kwa watu wote kwa akili yako inawezekana?, mwache na kwa TL hao ni ndugu ndani ya mkoa mmoja acha porojo ndugu yangu Fanya yako.