Nyalandu acha siasa katika misiba

Nyalandu acha siasa katika misiba

Shida kubwa inayoikumba watu Kaskazini hasa wachaga ni ubaguzi Hapa Mshaanza kumbagua Nyalandu lakinj wachaga Mnajua kabisa Mji WA Arusha siyo Mji wenu lakini kwa ubaguzi wenu mmeshaifanya kama moshi vile ambapo mtu asiyekuwa mchaga akipata mafanikio mnampora acheni roho hii nchi yetu Sote.
Issue hapa ni wale Watoto waligofariki kusitiriwa miili yao na hao wenzao kupata matibabu BIla kujali nani Katoa nini lakini Mkianza ubaguzi wenu wa wanywa mbege migombani ni hatar kWA Taifa letu
Tuliza mihemuko ukiwa katika siku zako changia kwa hoja na siyo habari za vidole juu..unaongelea ubaguzi kuna mtu kabaguliwa hapo?
 
Kwanza hiyo kazi imefanywa na wale wazungu watatu na hilo shirika ndio limewasafirisha.

Nyalandu anatajwa kusaidia tu kuishawishi serikali kutoa passport lakini kazi kubwa imefanywa na wale wazungu watatu ambao ndio waliwatoa wale watoto kutoka kwenye lile gari lililopata ajali(wreckage) na kisha kuanza mipango ya kuwahamishia US kwa matibabu zaidi.

Sio maneno yangu haya na kwa ushahidi fungua hii link hapa chini:

Iowan missionaries help to save 3 kids in Tanzania bus crash

Yeye tunaweza kumshukuru kwa kuwa kiungo tu kati ya serikali na wasamaria hawa.
Wale wazungu wa Samaritan pulse walikuja nchini kwa mwaliko wa Mh Lazaro Nyalandu jimboni Kwake singida Kaskazini wakati wa Matatizo ya ajali inatokea hawa Wageni walikuwa njiani kurudi Arusha tayari kwa Safari ya kurudi America Ndiyo maana mmemwona mh nyalandu akihangaika Sana suala Hili Kama mratibu WA shughuli zote Za Hawa Watoto kwenda kupata matibabu Jamani hata kama hammupendi Nyalandu lakinj kafanya sehemu kubwa kama kiunganishi Kati ya Shirika la Samaritan pulse na watanzania.
Tuachieni siasa kwenye maisha ya watu huuu ubaguzi wenu wachaga itaisha lini? Acheni Tabia hii ni nchi yetu Sote mbona nyie mmejazana kwenye miji ya watu hambaguliwi? Hata hiyo Arusha siyo Mji wenu mbona Hamna hekima?
Nyalandu kuchagua kuishi Arusha ni Haki yake kikatiba
 
Unamaanisha kwakuwa wapiga kura wake ni maskini wa kutupwa basi kama anao uwezo wa kuhakikisha wale watoto wanatibiwa vizuri aachane nao kwakuwa sio wa jimbo lake??

Akili mfu hizi!
Utakuwa mke wake wewe, amefanya nini cha maana pale? wazungu wamefanya kila kitu hapo usidanganye watu.
 
Katika hili nawalaumu wanasiasa wote wanaojaribu kutafuta kiki kwa wagonjwa hawa...kazi ya wanasiasa ni kuhakikisha bajeti inayotakiwa kwenye sekta ya afya inapita na kuwa inajitosheleza...hapa hatuangalii ni wanasiasa wa chama kipi.

I will respect them kama wakililia bajeti ya afya ni toshelezi...sio kwa sababu ya kuhudumia watoto watatu kati ya mamilioni.

Thanks Magufuli yuko kimya kwenye hili!
 
Tatizo ni watu kukurupuka wakidhani hilo shirika limeletwa na serikali bila kutambua uhusiano wa Lazaro na hao watu!

Siasa, siasa, siasa.. Hovyo kwelikweli!
Eti mtu asisaidie Arusha sababu hakwenda Kagera!!
Upuuzi wa kiwango cha lami, huwezi kusaidia kila mtu na kila wakati.
Ikiwa shirika ambalo yeye ni mdau wao wameshiri tunapaswa kumpongeza badala ya kumponda. Haoni wale walionunua mapambo ya mazishi ya 9ml kuwa wamefanya jambo baya, badala yake analaumu mtu aliyejitolea!!!
Hii ni akili ya kuku
 
Siyo jimbo lake la uchaguzi, wapiga kura wake ni masikini wa kutupwa.

Lissu anapiga domo Dar Mwanza n.k jimbonj kwakwe vipi? Shifika lile na wagenj walikhwa ni wa Nyalandu hivgo lazima muongozo autoe yeye.
 
Siyo jimbo lake la uchaguzi, wapiga kura wake ni masikini wa kutupwa.

Lissu anapiga domo Dar Mwanza n.k jimboni kwakwe vipi? Shirika lile na wageni walikuwa ni wa Nyalandu hivyo lazima muongozo autoe yeye.
 
Tenda wema nenda zako wabongo wajua kukosoa tu kuliko kutoa sifa
 
Wale wazungu wa Samaritan pulse walikuja nchini kwa mwaliko wa Mh Lazaro Nyalandu jimboni Kwake singida Kaskazini wakati wa Matatizo ya ajali inatokea hawa Wageni walikuwa njiani kurudi Arusha tayari kwa Safari ya kurudi America Ndiyo maana mmemwona mh nyalandu akihangaika Sana suala Hili Kama mratibu WA shughuli zote Za Hawa Watoto kwenda kupata matibabu Jamani hata kama hammupendi Nyalandu lakinj kafanya sehemu kubwa kama kiunganishi Kati ya Shirika la Samaritan pulse na watanzania.
Tuachieni siasa kwenye maisha ya watu huuu ubaguzi wenu wachaga itaisha lini? Acheni Tabia hii ni nchi yetu Sote mbona nyie mmejazana kwenye miji ya watu hambaguliwi? Hata hiyo Arusha siyo Mji wenu mbona Hamna hekima?
Nyalandu kuchagua kuishi Arusha ni Haki yake kikatiba
Unaposema kuwa hao wazungu walikuwa wanatoka jimboni kwa Nyarandu kuja ARUSHA ili kurudi US.
Ebu tuwambie kuwa ilikuwaje wapite Rotia wakati njia ya kutoka Jimbo la Nyarandu ni Minjingu via Makuyuni?

Siku ya Kuwaaga marehemu pale Stadium Arusha, wale wazungu watatu walitangaza wazi kuwa kama hali za majeruhi zitaendelea kuwa mbaya, wao wapo tayari kuwasafirisha kwenda US kwa matibabu na watagharamia gharama zote.
Ebu tueleze Nyalandu aliwatafuta hao wazungu lini.

Tuache kiki kwenye misiba
 
Utakuwa mke wake wewe, amefanya nini cha maana pale? wazungu wamefanya kila kitu hapo usidanganye watu.
Tunajadili taratibu kijana, tulia na uache mihemko.. Hayo maswali ya "utakuwa mke wake" ni utoto tu..ni vizuri ukauacha!

Turudi kwenye hoja ya msingi..

Unasema kwamba hakufanya lolote pale uwanjani? Wewe ulitaka yeye ndio awe anawapandisha kwenye ndege?

Kwa udogo wa akili yako unafikiri kitu pekee cha muhimu kufanywa na Nyalandu kilikuwa ni kushughulika pale uwanjani?

Wewe ndio uliyehakikisha na kufanikisha ujio wa ile ndege hapa Tanzania? Au wale mabwana walileta ndege kwakuwa wanakujua wewe?
 
Huyu jamaa nimetokea kumchukia sana...juzi tu nimeona uzi humu ukimshutumu kujipatia pesa za watoto masikini jimboni kwake.Wafadhili wanakuja yeye analeta mapicha picha tu...shenzzz sana huyu jamaa
 
Tunajadili taratibu kijana, tulia na uache mihemko.. Hayo maswali ya "utakuwa mke wake" ni utoto tu..ni vizuri ukauacha!

Turudi kwenye hoja ya msingi..

Unasema kwamba hakufanya lolote pale uwanjani? Wewe ulitaka yeye ndio awe anawapandisha kwenye ndege?

Kwa udogo wa akili yako unafikiri kitu pekee cha muhimu kufanywa na Nyalandu kilikuwa ni kushughulika pale uwanjani?

Wewe ndio uliyehakikisha na kufanikisha ujio wa ile ndege hapa Tanzania? Au wale mabwana walileta ndege kwakuwa wanakujua wewe?
Wewe kama amekutuma atakuwa amechemka sana, ndege ililetwa na wazungu ambao walikuwa wa kwanza kufika kwenye tukio/ajali, acheni sifa za kijinga mkuu.
 
Unaposema kuwa hao wazungu walikuwa wanatoka jimboni kwa Nyarandu kuja ARUSHA ili kurudi US.
Ebu tuwambie kuwa ilikuwaje wapite Rotia wakati njia ya kutoka Jimbo la Nyarandu ni Minjingu via Makuyuni?

Siku ya Kuwaaga marehemu pale Stadium Arusha, wale wazungu watatu walitangaza wazi kuwa kama hali za majeruhi zitaendelea kuwa mbaya, wao wapo tayari kuwasafirisha kwenda US kwa matibabu na watagharamia gharama zote.
Ebu tueleze Nyalandu aliwatafuta hao wazungu lini.

Tuache kiki kwenye misiba
Mkuu kuna watu ni wajinga wanapenda sifa kweli, bora umesema ukweli.
 
Tunajadili taratibu kijana, tulia na uache mihemko.. Hayo maswali ya "utakuwa mke wake" ni utoto tu..ni vizuri ukauacha!

Turudi kwenye hoja ya msingi..

Unasema kwamba hakufanya lolote pale uwanjani? Wewe ulitaka yeye ndio awe anawapandisha kwenye ndege?

Kwa udogo wa akili yako unafikiri kitu pekee cha muhimu kufanywa na Nyalandu kilikuwa ni kushughulika pale uwanjani?

Wewe ndio uliyehakikisha na kufanikisha ujio wa ile ndege hapa Tanzania? Au wale mabwana walileta ndege kwakuwa wanakujua wewe?
Acheni ushabiki wa kijinga.

Wale wazungu walijitolea wenyewe pasipo kutafutwa na yeyote.
Siku ya kwanza walipoishuhudia ile ajali walihisi huruma na kuamua kukatisha safari zao kutembelea mbuga za wanyama na kuanza kuwasaidia wahanga.

Siku ya kuwaaga marehemu pale stadium ARUSHA wale wazungu walikuwepo na kuahidi kuwasafirisha majeruhi kwenda kwenye matibabu us.
 
Wale wazungu wa Samaritan pulse walikuja nchini kwa mwaliko wa Mh Lazaro Nyalandu jimboni Kwake singida Kaskazini wakati wa Matatizo ya ajali inatokea hawa Wageni walikuwa njiani kurudi Arusha tayari kwa Safari ya kurudi America Ndiyo maana mmemwona mh nyalandu akihangaika Sana suala Hili Kama mratibu WA shughuli zote Za Hawa Watoto kwenda kupata matibabu Jamani hata kama hammupendi Nyalandu lakinj kafanya sehemu kubwa kama kiunganishi Kati ya Shirika la Samaritan pulse na watanzania.
Tuachieni siasa kwenye maisha ya watu huuu ubaguzi wenu wachaga itaisha lini? Acheni Tabia hii ni nchi yetu Sote mbona nyie mmejazana kwenye miji ya watu hambaguliwi? Hata hiyo Arusha siyo Mji wenu mbona Hamna hekima?
Nyalandu kuchagua kuishi Arusha ni Haki yake kikatiba
Siku hizi barabara ya Singida - Arusha inapitia Karatu? acha kutulisha matango pori wewe.
 
Badala kuwa busy na wananchi wa jimbo lake, amekuja kutafuta sifa Arusha.
Wale wazungu mwenyeji wao ni nyarandu na kwa mbaya au nzr walishuhudia ile ajali wakat inatokea wakaanza kusaidia
 
Back
Top Bottom