Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 10,798
- 19,763
Utakufa kwa kihoro kisa wivu.
Vipi mbona hukuhoji juu ya yule Mbwiga aliyelilia kuongea msibani kwa hoja ya wapiga kura wake ila msiba wa juzi hajaenda kuizika ile family iliyopoteza watu watano kisa hakukuwa na vyonbo vya habari vikirusha matangazo live.
Nachojua Nyarandu anapewa headlines kwenye hii issue ya watoto baada ya shirika la Samaritan ambalo yeye ni mwenyekiti wake hapa Tanzania kuamua kutoa msaada wa matibabu kwa hao watoto.
Hao wazungu waliotoa msaada siku ya ajali ambao wewe unawaona wa maana Sana yeye ndiye mwenyeji wao na ndiye aliratibu hata hiyo safari ya wao kwenda huko Ngorongoro.