Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,912
Kweli mkuu asitudanganye kama wote ni wajinga.Acheni ushabiki wa kijinga.
Wale wazungu walijitolea wenyewe pasipo kutafutwa na yeyote.
Siku ya kwanza walipoishuhudia ile ajali walihisi huruma na kuamua kukatisha safari zao kutembelea mbuga za wanyama na kuanza kuwasaidia wahanga.
Siku ya kuwaaga marehemu pale stadium ARUSHA wale wazungu walikuwepo na kuahidi kuwasafirisha majeruhi kwenda kwenye matibabu us.