Nyalandu acha siasa katika misiba

Nyalandu acha siasa katika misiba

Nijuavyo mimi huyu Nyarandu anaishi Arusha. Sasa sioni kwa nini asishiriki kwenye msiba. Pia, si peke yake ambaye hakwenda kutoa pole kule Kagera, hata sizo alikuja kwenda wakati watani zake wameanza kusahau yakiyowakuta. Wacha wivu! Nyarandu abarikiwe kwa ila alilofanya katika kuwafariji wafiwa na kusaidia kwa namna yoyote aliyoweza.
Abarikiwe tena sana maradufu na hawa wenye nia mbaya dhidi yake washindwe kbsa
 
Kwa taarifa yako hilo shirika lililofadhili watoto lina uhusiano na NYALANDU, vilevile ni mkazi wa Arusha, hivyo anakila sababu ya kushiriki
 
You need to know Nyalandu ni mwenyekiti wa lile shirika hapa Tanzania na hata kabla ya wazungu wale kwenda ngorongoro wakakutana na ajal walkua wametoka Singida kukagua miradi wanayofadhili na walkua na Nyalandu kW wiki nzima sasa sjui shida yako we we mwenye post ni nin? Kuona Nyalandu akiratibu hiyo support au? Tuache ujinga wakati mwingine.Fanya na we we tuone ili tujifunze kwako
Da!
Watu kwa uongo hamjambo. Hao Wageni walishuka KIA na kupokelewa na kampuni (Nina kapuni) walilala Mount Meru Hotel, kesho yake wakaanza safari Tarangire na waka overnight Tarangire, asubuhi wakaanza safari kuelekea Serengeti via Ngorongoro, na wakiwa njiani wakakutana na Hiyo ajali.
Sasa huko singida nakukutana na Nyarandu kwa wiki tatu ilikuwa lini?
 
Kwa taarifa yako hilo shirika lililofadhili watoto lina uhusiano na NYALANDU, vilevile ni mkazi wa Arusha, hivyo anakila sababu ya kushiriki
Tatizo ni watu kukurupuka wakidhani hilo shirika limeletwa na serikali bila kutambua uhusiano wa Lazaro na hao watu!

Siasa, siasa, siasa.. Hovyo kwelikweli!
 
Da!
Watu kwa uongo hamjambo. Hao Wageni walishuka KIA na kupokelewa na kampuni (Nina kapuni) walilala Mount Meru Hotel, kesho yake wakaanza safari Tarangire na waka overnight Tarangire, asubuhi wakaanza safari kuelekea Serengeti via Ngorongoro, na wakiwa njiani wakakutana na Hiyo ajali.
Sasa huko singida nakukutana na Nyarandu kwa wiki tatu ilikuwa lini?
Siasa zenu mfu peleken hukoooo,mwenzio kasaidia wamepata hata visa na passport we we umesaidia nin? Mmekalia pumba tu
 
Mzee hapo umechemka sana.

Lazaro kajitahidi kusaidia kadri ya uwezo wake.

Wewe endelea kushinda kwenye mitandao ukikosoa kila kitu.

kabla hujaleta haya malalamiko yako ungemshirikisha mbunge wa Arusha kwanza akushauri.

Nimekuona na nimekushangaa ukiwa busy Arusha unazengea zengea kama nzi karibu na bucha, unatafuta nini Arusha? Hivi huu msiba ni wa Taifa ama kuna masrahi ya watu hapa?

Hata kama una mashirika yako lakini kufikia hatua ya kumwambia mkuu wa mkoa eti pesa itàkayochangwa ihusike kujenga hospitali, si jambo baya lakini mbona haya sikuyaona ukiyasema kule Kagera kwenye tetemeko? Lwakatare alisimama akaomba misaada ya kisaikolojia kwa baadhi ya wahanga ila sijawahi kuisikia hata sauti yako moja. Ama kwako Tz ni hapo Arusha tu? Achia mbali kuzungumza, sikuwahi kukushuudia ukizengea kule hata kwenda kusema pole tu ila leo uko busy Arusha. Watanzania ubaguzi wetu, chuki na roho za kwanini tusipoangalia vitatupeleka pabaya, ubaguzi ni mkubwa sana. Na hawa wanaojiita viongozi wa siasa ndo wako mstari wa mbele kushadadia.

Nyarandu, siku ikitokea kwingine kama ilivyoyokea Arusha usiache kwenda kutoa msaada kwani kusaidia eneo unalotoka tu ukawaacha wengine wasiokuwa na wa kuwasaidia si sawa, unaleta tafsiri mbaya sana
 
Aisee hamna kiumbe cha Ajabu kama binadamu. Nyalandu amefanya connection kwa kadri alivyoweza sasa hebu toeni hata sababu moja ya kumlaumu ni ipi? Au mlitaka afanye Lema ndio ionekane kuna kitu kimefanyika? Acheni unafiki
Walitaka hivyo ila wameshindwa
 
Mbona wewe mleta uzi ndo mbaguzi, kwani Arusha siyo sehemu ya Tanzania?
 
Shida kubwa inayoikumba watu Kaskazini hasa wachaga ni ubaguzi Hapa Mshaanza kumbagua Nyalandu lakinj wachaga Mnajua kabisa Mji WA Arusha siyo Mji wenu lakini kwa ubaguzi wenu mmeshaifanya kama moshi vile ambapo mtu asiyekuwa mchaga akipata mafanikio mnampora acheni roho hii nchi yetu Sote.
Issue hapa ni wale Watoto waligofariki kusitiriwa miili yao na hao wenzao kupata matibabu BIla kujali nani Katoa nini lakini Mkianza ubaguzi wenu wa wanywa mbege migombani ni hatar kWA Taifa letu
 
Aisee hamna kiumbe cha Ajabu kama binadamu. Nyalandu amefanya connection kwa kadri alivyoweza sasa hebu toeni hata sababu moja ya kumlaumu ni ipi? Au mlitaka afanye Lema ndio ionekane kuna kitu kimefanyika? Acheni unafiki
Connection gani amefanya? Yeye hana tofauti na wapiga zumali anavizia wazungu wamesharekebisha kila kitu ye anaingia katikati
 
Hizo ni akili za wanasiasa wanaoamini kila kinachofanywa na watu kutoka chama tofauti na chake wanakosea,ila kila kinachofanywa na wale walio katika chama chake ni sahihi hata kama sio sahihi.

Siasa mbaya sana hasa kama mashabiki wake hawajitambui kama walivyo Watanzania wengi.

Unamaanisha kwakuwa wapiga kura wake ni maskini wa kutupwa basi kama anao uwezo wa kuhakikisha wale watoto wanatibiwa vizuri aachane nao kwakuwa sio wa jimbo lake??

Akili mfu hizi!
 
Nijuavyo mimi huyu Nyarandu anaishi Arusha. Sasa sioni kwa nini asishiriki kwenye msiba. Pia, si peke yake ambaye hakwenda kutoa pole kule Kagera, hata sizo alikuja kwenda wakati watani zake wameanza kusahau yakiyowakuta. Wacha wivu! Nyarandu abarikiwe kwa ila alilofanya katika kuwafariji wafiwa na kusaidia kwa namna yoyote aliyoweza.
Watanzania tuna kazi sana.zito alipojuta kuwa mtanzania alikuwa sahihi.
 
Back
Top Bottom