Nyakati zilizo rahisi na kumnasa binti....

Nyakati zilizo rahisi na kumnasa binti....

Acheni tuwe maskini, wakati wenzetu toka nje wanapiga hesabu ya kupata vitalu vya gesi huko mtwara baadhi ya vijana wa kitanzania wako kwenye harakati za ufuska na kuvuta shisha.Mungu atunusuru.
 
Acheni tuwe maskini, wakati wenzetu toka nje wanapiga hesabu ya kupata vitalu vya gesi huko mtwara baadhi ya vijana wa kitanzania wako kwenye harakati za ufuska na kuvuta shisha.Mungu atunusuru.
Hilo jina ni lako halisi?
 
Harakati za mitongozo kuna wakati zinakuwa ngumu kutoka na jinsi unavyo muingia binti.

Pamoja na hayo yote lakini kunanyakati zilizo rahisi sana za kumpata binti.

Inapotokea binti akawa na migogoro na mpenzi wake huu ni wakati rahisi sana wa kumpata , kwa kutumia maneno mazuri ya kumfariji na kumtia moyo huku yakisindikizwa na mtongozo wako.

Wakati binti anapoaachwa na mpenzi wake hii pia ni neema kwa yule ambae atatupa mtongozo wake,hiki kipindi binti huwa hana msimamo anakuwa kama bendera inayofuata upepo unakolekea.

Acha kujiona hauna bahati ya kukubaliwa kila unapotupa mtongozo wako unatoka kapa, changamkia fursa hizo kama kuna binti ulikuwa unamfukuzia ukasikia ana mgogoro na mpenzi wake au kaachwa kamata fursa hapo tambaa.

Sikufundishi kuwa mviziaji..

Nanyie mabinti kuweni makini yanapotokea mambo hayo, epukana na mitongozo inayojitokeza nyakati hizo, jumba mbovu litakuangukia....

Siku anayokaribia kukata roho..!
 
Acheni tuwe maskini, wakati wenzetu toka nje wanapiga hesabu ya kupata vitalu vya gesi huko mtwara baadhi ya vijana wa kitanzania wako kwenye harakati za ufuska na kuvuta shisha.Mungu atunusuru.

Kila jambo lina mahara pake hauwe kuleta hapa habari za kujadili mambo ya gas.

Tembelea kule jukwaa la biashara au tech fuatilia post zangu kama utaona naongelea mambo haya.

All in all, hao wanao tafuta hizo pesa huko bada wanarudi kuzitumia katika mambo haya haya!!!!!!
 
Mleta mada jaribu kuifikiria mada yako vizuri, uone kama ina jenga au kubomoa jamii? chukulia kwamba umegombana/korofishana na mchumba wako, harafu mimi nikatumia ushauri/elimu uliyoitoa hapo juu, wewe utajisikiiaje?? vizuri au vibaya?? kwanini?
 
Hata kama nisengesema mimi bado hayo mambo yapo katika jamii yetu.

Kama umeisoma vizuri mada pale mwisho nimetoa onyo kwa akina dada, wawe makini kunapotokea mikanganyiko ya aina hiyo.

Nikawakumbusha na wavulana kwamba siwafundishi kuvizia...

Kunakitu ambacho na wewe unatakiwa kukijua hapa kuna ule msemo unao sema penzi kiti cha basi akitoka mtu anakaa mtu!
 
Hii ni sawa na kukutana na mjamzito ukamwambia 'nakutabiria kuzaa mtoto wa kike au wa kiume', ambayo ni oviazi.

Sasa unataka mtu atafute bwana mwingine wakati ana bwana? Oviaz mtu anatafuta bwana akiachana na wa awali.
 
ni kweli mada hiyo ni nyemelez ,visia visia ila inauhalisia fulan japokua haijeng
 
'''Inapotokea binti akawa na migogoro na mpenzi wake huu ni wakati rahisi sana wa kumpata'''

Hahaaa, Nusura nimpoteze coz ya kugombana nae, bt thanks finally tuli sove yakaisha....kuna jamaa alkua anamvizia

Kumbe ni wewe mkuu?
Bahati yako!! Mpaka lodge ya kwenda tulishapanga
 
Back
Top Bottom